Kilichomharibia VUNJABEI ni hiki hapa

Kilichomharibia VUNJABEI ni hiki hapa

Hiyo ni juzi sana yaani

Vunjabei kafilisika sababu za financial management,nadhani alikua anachota sana

Hajui ku-manage finances zake

Na pia hii wanasingizia wanawake si kweli...

Gharama za kutomba wanawake ni very cheap haiwezi kukuharibia eti biashara namna hiyo,ni petty cash tu hiyo

Nilijua Vunjabei ni takataka ni pale aliposhindwa tenda ya jezi za Simba,nikajua hapa hakuna mfanyabiashara kuna mpiga makelele tu kama bongo movie wengine

Bure kabisa jamaa
Vunja bei pia bidhaa zake ilikuwa low quality so mteja akienda mara moja harudi sijui kwanini wafanyabiashara huwa hawajifunzi, pia la jezi ya simba alinichosha ni kijana wa hovyo ambaye hakutumia fursa matokeo akatutesa mashabiki hadi hamu ya kununua jezi ikafq na alikuwa anapandisha hadi laki mbili
 
Vunja bei pia bidhaa zake ilikuwa low quality so mteja akienda mara moja harudi sijui kwanini wafanyabiashara huwa hawajifunzi, pia la jezi ya simba alinichosha ni kijana wa hovyo ambaye hakutumia fursa matokeo akatutesa mashabiki hadi hamu ya kununua jezi ikafq na alikuwa anapandisha hadi laki mbili
Hili ndio tatizo la biashara lake nilipita sehemu moja nikawa nasikia dogo mmoja hivi anasema nguo za vunja bei ukifua mara moja tu ujue shughuli imeisha nimepita dukani kwake naona mzunguko wa watu sio kivile kuingia dukani kwake nazani jina bado analo angebadilisha mfumo tu
 
Uongo Whozu hawezi kumaliza Advance 2007.Hukuona hata video yake akiwa yupo Bwenini shule sijajua ni Olevel au Advance akiwa anacheza wimbo wa Diamond Platinumz "Nana"??! Sasa Nana ulitoka miaka hiyo ya 2007 au?!. Kama ni kweli kamaliza hapo Galanos fuatilia vizuri miaka aliyomaliza lakini sio 2007.Watu waliomaliza chuo miaka ya 2007 ni kama Zitto Kabww, John Mnyika Etc, sasa je Kina Zitto unataka kusema wamempita darasa moja tu Whozhu?
Zitto na mnyika ni wakubwa sana 2007 walishakuwa kitaa kwenye siasa.

Hio 2007 ni kakae whozu anaitwa frank ndie aliesoma na Fred.

Fred amenizidi miaka kidogo tu na Mimi nilimaliza advance 2010
 
Zitto na mnyika ni wakubwa sana 2007 walishakuwa kitaa kwenye siasa.

Hio 2007 ni kakae whozu anaitwa frank ndie aliesoma na Fred.

Fred amenizidi miaka kidogo tu na Mimi nilimaliza advance 2010
Hapana Mnyika sio mkubwa kihivyo. Mnyika ni rika la kina Jokate
 
Fred aache kulala na wanawake ovyo ovyo wanawake wengi wana mikosi


Wengi hujua kufilisiwa na wanawake huja kwa kuwahonga nop wanawake ni sumu by nature ni kutu ilayo baraka kutoka kwa BWANA
Kumekuchaaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sidhani kama kafilisika ila kwasababu yeye alianza inawezekana anaona hailipi kama zamani,maana pia anauza dawa za binadamu,VUNJABEI PHARMACY,ni jumla na rejareja....... inawezekana nguvu amewekeza zaidi huko kwenye dawa,na asikudanganye mtu usidharau hata kiduka cha kuuza dawa mtaani kwasababu kila dawa anapata faida hata zaidi ya nusu..............kama unataka kujua faida ya dawa,uliza bei ya dawa pharmacy kkoo,then dawa hiyo hiyo pita Ubungo,Kimara au Mbezi utanielewa
Kariakoo ni cheap sio?
 
fella mwanangu alipata faida ya 70 ml ++ kwenye issue ya ikeda, lot ya pili akaagiza contena 4 , aisee kkoo nyoko, watu wakapita mpaka kwa supplier guangzhou wakashusha copy no 2 ya ikeda, saivi kawa mjanja akienda china analeta product mara moja tu watu wakishtuka anahama kwenye product nyingine, ila china haikatai mtu mzee take your time nendda na hata 4m tu tumia hao kina gsm kwenye shipping, 2m weka ya kulipia usafiri na ushuru.

Vibusiness vya charger, bluetooth earphones & speakers zinauzika.
Huyu jamaa nilisoma nae Msolwa ''St Gapare Bertoni'' Morogoro.Watu walimcheka alipofungua fremu yake ya kwanza pale survey. Alivyokuja kutoboa na kuanza kumiliki fremu kubwa washkaji wakataka wapewe discount hadi ya laki sita kwa iphone kisa classmate. Kutoboa bongo inabidi uwe na msimamo aisee. Alll in all god bless this guy
 
Back
Top Bottom