Kilichomkuta rafiki yangu kazini kwake

Kilichomkuta rafiki yangu kazini kwake

Katika maisha lazima uwe na moyo mkuu.
Inaonyesha huyo ndugu yako hajawahi kupitia magumu maana watu tumafanya mazabe kazini mpaka ikipita wiki salama unamshukuru Mungu
Sasa hapa jamaa aishije maana ishaonekana ana mpango wa kuondoka mbaya zaidi boss wake kajua na hajapata bado sehemu ya kwenda
 
Waajiri wanaojielewa huwa wanapenda wafanyakazi wenye kuwaza mbele, sio tu kuongeza elimu, bali hata maslahi bora.

Mwambie jamaa yako hajafanya kosa lolote, huyo mwajiri nae anajua hajakosewa chochote, sababu huyo rafiki yako ikitokea akaondoka kwa kupata kazi pengine, bado mwajiri ataongeza mtu mwingine.

Kuajiriwa sehemu sio sababu ya kuzeekea ofisi hiyo, maisha ya ajira ni kama kupanda ngazi, ikitokea umeshuka iwe bahati mbaya tu.
 
Waajiri wanaojielewa huwa wanapenda wafanyakazi wenye kuwaza mbele, sio tu kuongeza elimu, bali hata maslahi bora.

Mwambie jamaa yako hajafanya kosa lolote, huyo mwajiri nae anajua hajakosewa chochote, sababu huyo rafiki yako ikitokea akaondoka kwa kupata kazi pengine, bado mwajiri ataongeza mtu mwingine.
Asante sana mkuu kwa ujumbe wako nitampa aupitie,

Nadhani kijana kashtushwa na hali ya boss wake kumbadilikia
 
Hakuna boss ambaye haelewi kuhusu green pastures if is real boss .

Kuhusu boss kutomchangamikia hiyo ni temporary situation ambayo itaondoka yenyewe .

Mwambie azingtie kufanya Kazi Kama zamani

Asijenge hofu - maana hofu inaua na kukufanya uishi kinyonge

Mwisho mwambie azingatie

Kujutuma kazini
Uaminifu
Kuwa positive
 
Asante sana kaka mkubwa ushauri wa maana sana huu, Hizi nondo zitamtia sana na kumrudishia spirit ya kazi, maana jamaa anasema amekosa amani maana huyu boss wa kampuni Z wanaishi nae safi sana ila baada ya kubadilika anatamani aikimbie kazi nadhani uwoga
 
Sasa aache kazi kwann jamani. Akomae tu kama wanataka kumtoa wamfukuze wao ila tu muhimu awe makini Sanaa! Wanamtafutia sababu sasa hivi.
 
Everything in life is a challenge. And if something happens to you, it means that you can overcome it. Be strong and believe....
Hata Hilo litapita mwambie awe mtulivu
 
Back
Top Bottom