kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
- Thread starter
-
- #21
Sasa hapa jamaa aishije maana ishaonekana ana mpango wa kuondoka mbaya zaidi boss wake kajua na hajapata bado sehemu ya kwendaKatika maisha lazima uwe na moyo mkuu.
Inaonyesha huyo ndugu yako hajawahi kupitia magumu maana watu tumafanya mazabe kazini mpaka ikipita wiki salama unamshukuru Mungu
ππππππdaaah umewaza mbali sanaUone mpenz wako ana chart na danga jipyaaa na ukasoma notes zote unadhani utakuwa ktk hali ya kawaida
Makosa ya kipuuzi alifanya kwa kutaka dezo ya kompyuta ya ofisi.Amegeuka kua kama muhalifu aliyeacha ushahidi eneo la tukio.An alibi!Acha kabisa na kumbuka ametumia kompyuta ya ofisi amekosa raha anataka aache kazi mwenyewe
Sasa afanyaje hapa akaombe msamaha kwa mwajiri wake ama??Makosa ya kipuuzi alifanya kwa kutaka dezo ya kompyuta ya ofisi.Amegeuka kua kama muhalifu aliyeacha ushahidi eneo la tukio.An alibi!
πππππKwa jinsi ulivyomulezea huyo rafiki yako inaonesha kabisa Huyo jamaa mwenyewe ndio wewe.
lakin hamna baya hapo labda boss wako tu awe na roho ya mbaya
Ajiandae kwa majibu ya maswali atakayokutana nayo.Asitie huruma na kujiweka dhalili.Komenti yangu ya kwanza ihusike.Sasa afanyaje hapa akaombe msamaha kwa mwajiri wake ama??
Ok asante kwa mchango wa mawazo yakoAjiandae kwa majibu ya maswali atakayokutana nayo.Asitie huruma na kujiweka dhalili.Komenti yangu ya kwanza ihusike.
Asante sana mkuu kwa ujumbe wako nitampa aupitie,Waajiri wanaojielewa huwa wanapenda wafanyakazi wenye kuwaza mbele, sio tu kuongeza elimu, bali hata maslahi bora.
Mwambie jamaa yako hajafanya kosa lolote, huyo mwajiri nae anajua hajakosewa chochote, sababu huyo rafiki yako ikitokea akaondoka kwa kupata kazi pengine, bado mwajiri ataongeza mtu mwingine.
Haujawahi kua serious wewe Faller!Kwa jinsi ulivyomulezea huyo rafiki yako inaonesha kabisa Huyo jamaa mwenyewe ndio wewe.
lakin hamna baya hapo labda boss wako tu awe na roho ya mbaya
ππfala kaamua kuniangushia jumba bovuHaujawahi kua serious wewe Faller!
Nimecheka kijinga sana halloo!
ππ
Hahaha Faller hataki kuumiza kichwa anarahisisha mambo yasiwe mengi!ππfala kaamua kuniangushia jumba bovu
Asante sana kaka mkubwa ushauri wa maana sana huu, Hizi nondo zitamtia sana na kumrudishia spirit ya kazi, maana jamaa anasema amekosa amani maana huyu boss wa kampuni Z wanaishi nae safi sana ila baada ya kubadilika anatamani aikimbie kazi nadhani uwogaHakuna boss ambaye haelewi kuhusu green pastures if is real boss .
Kuhusu boss kutomchangamikia hiyo ni temporary situation ambayo itaondoka yenyewe .
Mwambie azingtie kufanya Kazi Kama zamani
Asijenge hofu - maana hofu inaua na kukufanya uishi kinyonge
Mwisho mwambie azingatie
Kujutuma kazini
Uaminifu
Kuwa positive
Jamaa ni yeye...Kwa jinsi ulivyomulezea huyo rafiki yako inaonesha kabisa Huyo jamaa mwenyewe ndio wewe.
lakin hamna baya hapo labda boss wako tu awe na roho ya mbaya
Sawa mkuu nitamjulisha aongeze umakiniSasa aache kazi kwann jamani. Akomae tu kama wanataka kumtoa wamfukuze wao ila tu muhimu awe makini Sanaa! Wanamtafutia sababu sasa hivi.