Kilichomkuta rafiki yangu kazini kwake

Dogo si useme tu kuwa ni wewe!

Hakuna sababu ya kuishi kwa hofu, timiza majukumu yako, hakuna sababu ya kuomba msamaha wowote maana si kosa kutafuta kazi unapohitaji kufanya hivyo, mwisho endelea kusaka kazi uitakayo kwa bidii...
 
Kwanini asiandike hiyo barua akiwa nyumbani kwake,boss kamaindi jamaa kutumia muda wa kazi kufanya shughuli binafsi
 
Rafiki yako amekosea sana! Kwasababu alitumia mda wa kazini, ambao analipwa kufanya mambo yake binafsi. Nadhani ni “utovu wa nidhamu ya kazi”.

Zaidi ya hapo, mkuu wake ameona anafanya hiki kitendo, moja kwa moja,atakuwa anajua,sio mtu wa “kutegemewa” tena hapo ofisini maana mda sio mrefu anaweza kuondoka. Hii inaweza kukupunguzia chances za promotion hapo baadaye,maana hakuna umuhimu kuku promote kama wanajua hautakuwa hapo mda mrefu!

ni vizuri kuwa “honesty “ kama akiulizwa.maana paka boss amemwambia anajua,Inawezekana amekuwa anafanya “monitoring “ kama unavyo jua sio kitu kigeni boss wengi kufanya hii remotely kwa computers na simu za ofisini.

Mwambie akae kimya,aongeze juudi za kazi kuondoa mashaka. Kama akiulizwa awe mwazi itasaidia. Hachaneni na mambo ya ujanja ujanja na mwongo,meisho ni hatari
 
Amwambie boss wake wa sasa ongeze maslahi
 
Wewe ndo huyo
rafiki yako unaemuongelea, usikondee mzee wee piga kazi na pia upige maombi uko ulikoba kampuni B upate
 
Mbona huyu kama ni wewe mwenyewe?
 
Ahaa wewe kweli mwamba
 
ushauri mzuri sana nitamfikisha
 
Bonge la ushauri nitampa aipitie hii comment yako
 
Reactions: I M
Amina umemalizia na sala kabisa na jamaa alikuwa anaapply hizi za utumishi,naona mkuu wa kazi kamind sana
 
Dogo si useme tu kuwa ni wewe!

Hakuna sababu ya kuishi kwa hofu, timiza majukumu yako, hakuna sababu ya kuomba msamaha wowote maana si kosa kutafuta kazi unapohitaji kufanya hivyo, mwisho endelea kusaka kazi uitakayo kwa bidii...
Ushauri mzuri sana👏
 
Sasa hapa jamaa aishije maana ishaonekana ana mpango wa kuondoka mbaya zaidi boss wake kajua na hajapata bado sehemu ya kwenda
Hapo afanye majukumu yake kama kawaida.
Kama boss atamwona potential ataanza kumpa vi offer ili asiwaze kuondoka. Bosi asipobadilika asijali. Apige kazi huku akifukuzia ajira kana kwamba mtu ambaye hana ajira.
Hilo lililomkuta ni just catalyst, afurahie maisha.
Binafsi naona mwanga mbele yake
 
Utaachaje kazi ukiwa huna kazi ...La msingi awe mpole tu na apambane tu akifanya maombi katika Kampuni hio nyingine
 
Amina mkuu
 
Kwa hiyo uliyopo ni Red pasture?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…