Kilichompaisha jamaa ni kelele nyingi na kuminya vyombo vya habari tu la sivyo hamna kitu alichofanya

Kwanini CCM inakwepa Maridhiano na CHADEMA?
 
Mkuu acha kupoteza muda kumfafanulia uyo fala,wewe ulisikia wapi Kikao cha Panya kikamsema vizuri Paka!
 
Baba kafaliki kaacha shamba. Mama kauza shamba kapata pesa. Kakununulia jinsi ,raba Kali na flana kali.na wewe unafulaie kweli na ulivyo kubwa unaakili .pesa imeisha na nguo zako zimechakaa na shamba limeenda. P
 
Ndugu pinga hoja kwa hoja, usitukane, weka ushahidi wa kupinga hoja iliyopo.
 
Baba kafaliki kaacha shamba. Mama kauza shamba kapata pesa. Kakununulia jinsi ,raba Kali na flana kali.na wewe unafulaie kweli na ulivyo kubwa unaakili .pesa imeisha na nguo zako zimechakaa na shamba limeenda. P
Kwa hiyo nitembee uchi kisa shamba naliangalia tu
 
Chizi pekee ndio atakubaliana na wewe....

Mnaangaika na bado, si mlijua mtafanikiwa baada ya kuondoa uhai wake
 
Si unajua wananchi wanavyopenda kuongopewa mbaya zaidi ukienda na strategy ya kutumbua tena hadharani hivyo wananchi wanapenda ili tu kumkomoa mwingine afanane nao kwa umaskini.
Mwisho wa kunukuu.......hata wanaccm wengi ambao ndio hali zao wanependa sana hii kitu
 
Yule ibilisi aliharibu akili za watanganyika wengi.
Mpaka kesho utawasikia wanamtaja angekuwa Jiwe, angekuwa Jiwe.
Hadi leo hizo akili bado hazijarekebishika kwa maendeleo na mazuri anayofanya Rais Samia?
 
Waliothubutu kukosoa walibaki wachache sana Lissu na Mdude Nyagali hata hapa Jukwaani JF watu walianza kuwa waoga sana.
Binafsi naamini uhuru wa kukosoa uendane na kusikilizwa, ila kama mnakuwa mnakosoa halafu wahusika wanawaambia wameziba masikio na kutotaka kuyaongelea hayo mnayokosoa sidhani kama kunaleta maana yeyote.
 
Chizi pekee ndio atakubaliana na wewe....

Mnaangaika na bado, si mlijua mtafanikiwa baada ya kuondoa uhai wake
We huoni mafanikio. Unaona vijana wapo mtaani wakilandalanda tena. Ajira kila kona
 
Kipindi cha jamaa umeme, maji, dola havikuwa tatizo tatizo yeye ilikuwa ni udikteta pekee
 
Binafsi naamini uhuru wa kukosoa uendane na kusikilizwa, ila kama mnakuwa mnakosoa halafu wahusika wanawaambia wameziba masikio na kutotaka kuyaongelea hayo mnayokosoa sidhani kama kunaleta maana yeyote.
Katiba yetu imetupa uhuru huo,na ni kwa afya zetu sisi raia wa jamhuri unajua ukikaa na hasira moyoni bila kuongea ni kujitafutia maradhi ya moyo tu.

Lakini ukitema nyongo angalao unapata kausingizi.

Lingine ni hulka zetu sisi Watanzania hata wewe ukipata teuzi ufafunga vioo vya gari lako ulilopewa na serikali na kuanza kumdharau common Mwananchi.

Unamkumbuka Humphrey Polepole alivyokuwa mkosoaji wa Serikali ya CCM? ? Alivyopewa cheo uliona alivyo akapeleka na Idea ya "manunuzi ya Wapinzani".

Mtanzania ana lugha mbili akiwa na njaa anaongea lugha ya moja akiteuliwa anaongea lugha nyingine.

Endelea kukosoa pale unapoona panaofaa kukosolewa na toa ushauri wa maboresho pale panapofaa kuboreshwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…