Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
stop thinking childishly, sijui bongo zenu zimebeba nini? unaanzaje kufikiri kwamba ile takataka ya kolomije itapewa nchi?Wana bodi za asubuhi!nisiwachoshe niende moja kwa moja!
Kuna huyu pascal huyu!ndio huyu mwenzetu wa jf hivi ni mwandishi wa kawaida kama wengine?Alijuaje Jpm ni mgombea wa uraisi mwaka 2015? Na kajuaje tena 2015 ni makonda? Yeye ni nani? Maana hata Kadinali pengo alisema hayo hayo je ye ni mutu ya kile kitengo? Maana ule mwiko wa kuachiana vijiti kati ya dini kubwa mbili unaenda kuvunjwa?Je mbona hatusikii japo uteuzi kwa huyu pascal kakosea wapi?
Inaonekana pascal habahatishi ana uhakika na kalamu yake inachoandika maana hata yule kigogo kachagiza yawezekana makonda akaula kule mbeleni je kabahatisha tu?
Kwa wale wanaomwelewa vizuri huyu jamaa watupe picha ili nyuzi zake niwe nazisoma kwa umakini zaidi naanza kumuogopa huyu jamaa!!!