Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makonda 2025 sio 2015 mhariri msaada hapo!!
Makonda mbona anatosha!kama hatoshi kwako anatosha kwa wale anaowatosheleza!!
Wana bodi za asubuhi!nisiwachoshe niende moja kwa moja!
Kuna huyu pascal huyu!ndio huyu mwenzetu wa jf hv ni mwandishi wa kawaida kama wengine?Alijuaje Jpm ni mgombea wa uraisi mwaka 2015? Na kajuaje tena 2015 ni makonda?yeye ni nani?maana hata Kadinali pengo alisema hayo hayo je ye ni mutu ya kile kitengo?Maana ule mwiko wa kuachiana vijiti kati ya dini kubwa mbili unaenda kuvunjwa?Je mbona hatusikii japo uteuzi kwa huyu pascal kakosea wapi?
Inaonekana pascal habahatishi ana uhakika na kalamu yake inachoandika maana hata yule kigogo kachagiza yawezekana makonda akaula kule mbeleni je kabahatisha tu?
Kwa wale wanaomwelewa vizuri huyu jamaa watupe picha ili nyuzi zake niwe nazisoma kwa umakini zaidi naanza kumuogopa huyu jamaa!!!
Anitabirie na mimi huyo ndugu
Nani kakuuliza kama anatosha? Mzee unaanzisha uzi na kujijibu mwenyewe, una hasira nao auMakonda mbona anatosha!kama hatoshi kwako anatosha kwa wale anaowatosheleza!!
Rekebisha kidogo miakaWana bodi za asubuhi!nisiwachoshe niende moja kwa moja!