britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
- #81
Kukopi si ishu ishu ni ujumbe huo,Kakopy kopy na kuunga unga tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukopi si ishu ishu ni ujumbe huo,Kakopy kopy na kuunga unga tu
Unaona niliyojibu Kwa mtuKakopy kopy na kuunga unga tu
Wala siyo ,hayo ni baadhi ya maneno ya kweli ambayo hata Pascal Mayalla aliwahi kuyaandika sehem,
Siwezi na sina ubavu wa kumtisha PASCO ,
Najua mchango wa pascal hapa jamiiJamiif, akitoweka hapa nadhani hata Mimi kuja hapa ntapunguza maana namsoma Sana, Sana Sana,
Nimechukua maneno ya Kati Kati ya thread yake moja ili yajadiliwe , unajua pascla anaandika zhreat ndefu mno, ambazo watanzania wengi ni wavivu kusoma, sasa vipengele kama hivi muhim nimegindua kwamba watu hawakuwahi kupasoma hapo,
Any way pia Wenda na Pascal Mayalla ni wale wa kijitonyama wastaafu ?haha
MkuuKukopi si ishu ishu ni ujumbe huo,
Ndiyo ule wa Tiss kutesa watu ?Mkuu
Ushausoma uzi original wa mayalla??
Wala siyo ,hayo ni baadhi ya maneno ya kweli ambayo hata Pascal Mayalla aliwahi kuyaandika sehem,
Siwezi na sina ubavu wa kumtisha PASCO ,
Najua mchango wa pascal hapa jamiiJamiif, akitoweka hapa nadhani hata Mimi kuja hapa ntapunguza maana namsoma Sana, Sana Sana,
Nimechukua maneno ya Kati Kati ya thread yake moja ili yajadiliwe , unajua pascla anaandika zhreat ndefu mno, ambazo watanzania wengi ni wavivu kusoma, sasa vipengele kama hivi muhim nimegindua kwamba watu hawakuwahi kupasoma hapo,
Any way pia Wenda na Pascal Mayalla ni wale wa kijitonyama wastaafu ?haha
Vip mtaalamumtaalam britanicca
Kwahiyo hao kazi yao ni nin hasaHiyo ndo kazi ya kijitonyama toka kitambo sana ,sema watoto wa leo hawajui kitu,wameishia kutoa lawama na kulialia hovyo
Kulinda amani ya nchiKwahiyo hao kazi yao ni nin hasa
Blackbold: Hili neno limenifanya niwe mgeni wa kiswahili. Mkuu, ebu fafanua, inawezekanaje binadamu akataifishwa?Kila nikisoma maandishi hayo juu nakumbuka pia yaliyomkuta babu yangu ambaye alipata majanga kwa Oder ya Mwalimu Nyerere kuwa lazima ataifishwe.
Amepigapiga chenga tu. Lengo ni kumtaja MulokoziMkuu andiko lako ni nzuri na lenye kusisimua lakini andiko lako limekosa mantiki......
Labda tu ungeweka wazi kuwa kulingana na mtiririko wa hayo matukio uliyoyaoanisha ulikuwa unalenga nini.....!!?
Watu wa kando ya ziwa wote wapo Hugo mkuukumbe Mwl nae alikuwa katili?
Muwe na uhakika. Mnavyochuna watu ngozi huwa ni ibada huko Mbeya?Ndiyo ninyi mnawaambiaga watoto wenu wasioe au kuolewa na hasa watu wa Mara wakati ninyi ni katili kwelikweli. Na tumeishi nanyi tunawajua. Acheni ubaguzi na ukabila wanyamanyafu!!Watu wa kando ya ziwa wote wapo Hugo mkuu
Sasa nani akuimarishie upinzani wewe tu uje kujiunga?Pamoja na kwamba TANU ,CCM kuyafanya hayo sijawahi kuwaza kujiunga upinzani japo mimi siyo CCM,
Upinzani haujaimarika sana mpaka kutushawishi kujiunga.