Kilichompata Andrew Mayalla Baba wa Pascal Mayalla kutoka Kwenye system (Wasiojulikana wanaotambulika)

Kilichompata Andrew Mayalla Baba wa Pascal Mayalla kutoka Kwenye system (Wasiojulikana wanaotambulika)

Nakosea bwana ilikuwa 1919-1945 lakin wajerumani ndo walikuwapo kabla ya waingereza

Kama unakumbuka Mzee mlokozi baada ya kwenda vita ya pili ya dunia alikaa pale bagamoyo akapewa bendera 2 na watawala kwamba ukiona meli inakuja ina bendera ya waingereza inyooshe hii ili msiendelee kushanbuliwa, ukiona wana ya namna hii ni ya wajerumani basi Sisi ndo tutakuwa tumeshinda nyoosha hii
Mmh ndugu yangu, hebu pitia kumbukumbu zako vizuri. Wajerumani wameacha kututawala mnamo mwaka 1919 nadhani baada ya vita ya kwanza ya dunia. Rekebisha ndugu.
 
Mmh ndugu yangu, hebu pitia kumbukumbu zako vizuri. Wajerumani wameacha kututawala mnamo mwaka 1919 nadhani baada ya vita ya kwanza ya dunia. Rekebisha ndugu.
Ndiyo nimerekebisha
 
Mkuu kwa akili zangu hizi fupi nimekuelewa kuwa haya masuala ya walinzi wa amani kufanya haya yanayofanywa hawajaanza leo yalianza muda sana ila japo kwa sasa kama yanazidi
 
Mkuu kwa akili zangu hizi fupi nimekuelewa kuwa haya masuala ya walinzi wa amani kufanya haya yanayofanywa hawajaanza leo yalianza muda sana ila japo kwa sasa kama yanazidi
Hakika
 
Umesema hufikirii kujiunga na Upinzani na wala wewe sio CCM, na kwamba upinzani bado haujaimarika! Sasa tuambie unataka nani akuimarishie upinzani ili wewe uje kujiunga!??
 
Tueleze zaidi kuhusu uhusiano wa Mulokozi (wa enzu za Wajerumani) na Nyerere aliyeingia kwenye siasa miaka ya awali ya 50. Sijui ulitaka kumaanisha nini kupokezana huko?
 
Sidhani kama pascal mayala mwenyewe atathubutu kucomment...ukitembelea kwenye magroup jamaa anachonga ngenga kuhusu serikali hii ya JPM bila kuweka akiba.Kimambi nae simuoni sijui inakuwaje.
 
Vita ya pili ya dunia ama vita ya kwanza ya dunia? Maana kama ni yapili sidhani kama mjerumani alikuwepo Tanganyika.
 
Nyerere naye alikuwa noma, alimpiga pini mhandisi Kazibure alikuwa fundi mitambo redio Tanzania(RTD) enzi hizo baada ya kukatisha kurusha hotuba yake live, alimnyanganya vyeti vyake yule mzee wa watu, ilibidi Mzee kazibure abadili gea angani na awe Mwalimu wa physics na hesabu pale azania na Tambaza , baadae Mzee kazibure alifariki .
 
Nakosea bwana ilikuwa 1919 lakin wajerumani ndo walikuwapo kabla ya waingereza

Kama unakumbuka Mzee mlokozi baada ya kwenda vita ya pili ya dunia alikaa pale bagamoyo akapewa bendera 2 na watawala kwamba ukiona meli inakuja ina bendera ya waingereza inyooshe hii ili msiendelee kushanbuliwa, ukiona wana ya namna hii ni ya wajerumani basi Sisi ndo tutakuwa tumeshinda nyoosha hii
Hivi kuna mtu anayeyakumbuka haya bado anaishi ..............!!?
 
Back
Top Bottom