Kilichompata Andrew Mayalla Baba wa Pascal Mayalla kutoka Kwenye system (Wasiojulikana wanaotambulika)

Yaani unatutaka tukumbuke yaliyotokea 1919!!! Unamaanisha historia au kama tulikuwepo?
 
Matatizo yaliyomkuta ni makubwa mno na mengine siyo ya kuweka hadharani kwa manufaa ya familia.

Pamoja na kwamba TANU ,CCM kuyafanya hayo sijawahi kuwaza kujiunga upinzani japo mimi siyo CCM,

Upinzani haujaimarika sana mpaka kutushawishi kujiunga.

Uzi unaweza kuwa wa utani kumbe unawasilisha jambo la maana kutokana na vyanzo vilivokuzunguka.

Kwahiyo kulia lia si vema bila kutafuta suluhisho maana watoto wa Kijitonyama kazi yao ni ya kitambo sana.

Mkuu bila wewe kuja kuuimarisha , je ni nani atafanay hiyo kazi, naamini tuache ubinafsi na tujitoe huku tukikumbuka haya mambo yanaanza na "mimi na wewe"
 
Nami naomba nitie maguu kwenye huu uzi kuchambua kile ambacho mwandishi amefaulu na kufeli katika kujenga hoja ili kutimiza Lengo lake. kwanza kabisa amechanganya hoja na ku-create keyword zisizokuwa na mahusiano kama CCM, TANU, Nyerere, TISS, uhaini, paschal mayalla, upinzani...etc. Hata hivyo mwandishi ameweza kufaulu kwa kuonyesha kuwa vitendo vya kidhalim vilikuwepo tangia zamani, vikitekelezwa na serikali hiyo hiyo iliyoko madarakani...

Baada ya kusema hivyo, mwandishi ajibu maswali haya kwa faida ya watu wote;-

  1. Je hoja yako ililenga kutuambia nini?
  2. je uliposema kuwa, "Kwahiyo kulia Lia si vema bila kutafta suluhisho maanamwatoto wa kijitonyama kazi Yao ni ya kitambo sana"...Ulimaanisha TISS ni magaidi? Or ulimaanisha wananchi wakubali kuuwawa simply because, TISS ni legitimate killer?
  3. why Paschal mayalla na si Kambona? Or watoto wa Marehemu Kolimba? why? why?
Mwandishi umeshindwa kufanya research ya Kina na kuleta hoja nyepesi hasa kipindi hiki ambapo shoka huungua na kuacha mpini...(Refer prof Jay song). For future reference, naomba nieleze maana ya Research/tafiti;-

Nini maana ya Research? Ni uchunguzi wa kina wenye lengo la kujifunza kuhusu tatizo linaloikumba jamii ili kupata ukweli na kufikia hitimisho jipya. kwa kimombo wanasema kuwa is the systematic investigation into and study of materials and sources in order to establish facts and reach new conclusions. Bandiko lako limekosa sifa hizi,

  1. Halina utafiti
  2. Hakuna hitimisho wala nini kifanyike (Vague)
Terrorism/Ugaidi ni nini?; matumizi ya vurugu na vitisho kinyume cha sheria , hasa dhidi ya raia, katika kutekeleza malengo ya kisiasa. Ibara ya 4(2) of the Prevention of Terrorism of 2002 provides, A person commits terrorist act if,
with terrorist intention, does an act or omission which-may seriously damage a country or an international organization
; is intended or can reasonably be regarded as having been intended to seriously intimidate a population.

HENCEFORTH, One may conclude that;-

  1. Tiss ni magaidi
  2. Serikali ya JMT ni ya kigaidi (kwa mujibu wa definition ya ugaidi?
Cheers, Prof
 
By the way kumbe kuna makaburi mengi sana ya kufukua, siku yaja itabidi tuwe na mahakama za halaiki kama za south watu waje kukiri makosa yao au gachacha kama Rwanda.
 
Mkuu andiko lako ni nzuri na lenye kusisimua lakini andiko lako limekosa mantiki......

Labda tu ungeweka wazi kuwa kulingana na mtiririko wa hayo matukio uliyoyaoanisha ulikuwa unalenga nini.....!!?

Think out of the box ndugu,
au soma mstari wa mwisho utaelewa nini anamanisha.
ila inshort ni kuwa haya mambo haya jaanza leo.
 
Nami naomba nitie maguu kwenye huu uzi kuchambua kile ambacho mwandishi amefaulu na kufeli katika kujenga hoja ili kutimiza Lengo lake. kwanza kabisa amechanganya hoja na ku-create keyword zisizokuwa na mahusiano kama CCM, TANU, Nyerere, TISS, uhaini, paschal mayalla, upinzani...etc. Hata hivyo mwandishi ameweza kufaulu kwa kuonyesha kuwa vitendo vya kidhalim vilikuwepo tangia zamani, vikitekelezwa na serikali hiyo hiyo iliyoko madarakani...

Baada ya kusema hivyo, mwandishi ajibu maswali haya kwa faida ya watu wote;-

  1. Je hoja yako ililenga kutuambia nini?
  2. je uliposema kuwa, "Kwahiyo kulia Lia si vema bila kutafta suluhisho maanamwatoto wa kijitonyama kazi Yao ni ya kitambo sana"...Ulimaanisha TISS ni magaidi? Or ulimaanisha wananchi wakubali kuuwawa simply because, TISS ni legitimate killer?
  3. why Paschal mayalla na si Kambona? Or watoto wa Marehemu Kolimba? why? why?
Mwandishi umeshindwa kufanya research ya Kina na kuleta hoja nyepesi hasa kipindi hiki ambapo shoka huungua na kuacha mpini...(Refer prof Jay song). For future reference, naomba nieleze maana ya Research/tafiti;-

Nini maana ya Research? Ni uchunguzi wa kina wenye lengo la kujifunza kuhusu tatizo linaloikumba jamii ili kupata ukweli na kufikia hitimisho jipya. kwa kimombo wanasema kuwa is the systematic investigation into and study of materials and sources in order to establish facts and reach new conclusions. Bandiko lako limekosa sifa hizi,

  1. Halina utafiti
  2. Hakuna hitimisho wala nini kifanyike (Vague)
Terrorism/Ugaidi ni nini?; matumizi ya vurugu na vitisho kinyume cha sheria , hasa dhidi ya raia, katika kutekeleza malengo ya kisiasa. Ibara ya 4(2) of the Prevention of Terrorism of 2002 provides, A person commits terrorist act if,
with terrorist intention, does an act or omission which-may seriously damage a country or an international organization
; is intended or can reasonably be regarded as having been intended to seriously intimidate a population.

HENCEFORTH, One may conclude that;-

  1. Tiss ni magaidi
  2. Serikali ya JMT ni ya kigaidi (kwa mujibu wa definition ya ugaidi?
Cheers, Prof

Upo sahihi na hata conclusion yako iko sahihi.
 
Tueleze zaidi kuhusu uhusiano wa Mulokozi (wa enzu za Wajerumani) na Nyerere aliyeingia kwenye siasa miaka ya awali ya 50. Sijui ulitaka kumaanisha nini kupokezana huko?
Kumpokea Nyerere katika siasa hakukuanza mwaka 1961 kama unavyodhani

Pia huyo babu kipindi kastaafu miaka ya 60+ ndo majanga yalimkuta, lakin katika miaka ya 1919 alikuwa Kijana mdogo Sana ndani ya system kama karani wa ikulu
 
Hujajiunga Upinzani kwa sababu Upinzani Haujaimarika kukushawishi? Unadhani Ni jukumu la Nani kuuimarisha? Why Not You?

Naona wewe nawe unatabia za Kinda la ndege, kusubiri, kupanua mdomo, ili umezeshwe chakula kilichotafutwa na mwingine! Such a defense is totally myopic!
 
Mkuu andiko lako ni nzuri na lenye kusisimua lakini andiko lako limekosa mantiki......

Labda tu ungeweka wazi kuwa kulingana na mtiririko wa hayo matukio uliyoyaoanisha ulikuwa unalenga nini.....!!?

Hili sio andiko lake amecopy na kupost sehemu ya makala ya Pasco Mayalla....kaedit kidogo tu
 
Unatakiwa utulie saaana ili kuelewa kuwa thread hii imelenga kumtisha Paskali Njaa
 
Wala siyo ,hayo ni baadhi ya maneno ya kweli ambayo hata Pascal Mayalla aliwahi kuyaandika sehem,

Siwezi na sina ubavu wa kumtisha PASCO ,
Najua mchango wa pascal hapa jamiiJamiif, akitoweka hapa nadhani hata Mimi kuja hapa ntapunguza maana namsoma Sana, Sana Sana,

Nimechukua maneno ya Kati Kati ya thread yake moja ili yajadiliwe , unajua pascla anaandika zhreat ndefu mno, ambazo watanzania wengi ni wavivu kusoma, sasa vipengele kama hivi muhim nimegindua kwamba watu hawakuwahi kupasoma hapo,

Any way pia Wenda na Pascal Mayalla ni wale wa kijitonyama wastaafu ?haha
 
Back
Top Bottom