Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni akili za wachumia tumbo, the Bashites!Upinzani haujaimarika sana mpaka kutushawishi kujiunga
Matatizo yaliyomkuta ni makubwa mno na mengine siyo ya kuweka hadharani kwa manufaa ya familia.
Pamoja na kwamba TANU ,CCM kuyafanya hayo sijawahi kuwaza kujiunga upinzani japo mimi siyo CCM,
Upinzani haujaimarika sana mpaka kutushawishi kujiunga.
Uzi unaweza kuwa wa utani kumbe unawasilisha jambo la maana kutokana na vyanzo vilivokuzunguka.
Kwahiyo kulia lia si vema bila kutafuta suluhisho maana watoto wa Kijitonyama kazi yao ni ya kitambo sana.
Mkuu andiko lako ni nzuri na lenye kusisimua lakini andiko lako limekosa mantiki......
Labda tu ungeweka wazi kuwa kulingana na mtiririko wa hayo matukio uliyoyaoanisha ulikuwa unalenga nini.....!!?
Nami naomba nitie maguu kwenye huu uzi kuchambua kile ambacho mwandishi amefaulu na kufeli katika kujenga hoja ili kutimiza Lengo lake. kwanza kabisa amechanganya hoja na ku-create keyword zisizokuwa na mahusiano kama CCM, TANU, Nyerere, TISS, uhaini, paschal mayalla, upinzani...etc. Hata hivyo mwandishi ameweza kufaulu kwa kuonyesha kuwa vitendo vya kidhalim vilikuwepo tangia zamani, vikitekelezwa na serikali hiyo hiyo iliyoko madarakani...
Baada ya kusema hivyo, mwandishi ajibu maswali haya kwa faida ya watu wote;-
Mwandishi umeshindwa kufanya research ya Kina na kuleta hoja nyepesi hasa kipindi hiki ambapo shoka huungua na kuacha mpini...(Refer prof Jay song). For future reference, naomba nieleze maana ya Research/tafiti;-
- Je hoja yako ililenga kutuambia nini?
- je uliposema kuwa, "Kwahiyo kulia Lia si vema bila kutafta suluhisho maanamwatoto wa kijitonyama kazi Yao ni ya kitambo sana"...Ulimaanisha TISS ni magaidi? Or ulimaanisha wananchi wakubali kuuwawa simply because, TISS ni legitimate killer?
- why Paschal mayalla na si Kambona? Or watoto wa Marehemu Kolimba? why? why?
Nini maana ya Research? Ni uchunguzi wa kina wenye lengo la kujifunza kuhusu tatizo linaloikumba jamii ili kupata ukweli na kufikia hitimisho jipya. kwa kimombo wanasema kuwa is the systematic investigation into and study of materials and sources in order to establish facts and reach new conclusions. Bandiko lako limekosa sifa hizi,
Terrorism/Ugaidi ni nini?; matumizi ya vurugu na vitisho kinyume cha sheria , hasa dhidi ya raia, katika kutekeleza malengo ya kisiasa. Ibara ya 4(2) of the Prevention of Terrorism of 2002 provides, A person commits terrorist act if,
- Halina utafiti
- Hakuna hitimisho wala nini kifanyike (Vague)
with terrorist intention, does an act or omission which-may seriously damage a country or an international organization
; is intended or can reasonably be regarded as having been intended to seriously intimidate a population.
HENCEFORTH, One may conclude that;-
Cheers, Prof
- Tiss ni magaidi
- Serikali ya JMT ni ya kigaidi (kwa mujibu wa definition ya ugaidi?
Kumpokea Nyerere katika siasa hakukuanza mwaka 1961 kama unavyodhaniTueleze zaidi kuhusu uhusiano wa Mulokozi (wa enzu za Wajerumani) na Nyerere aliyeingia kwenye siasa miaka ya awali ya 50. Sijui ulitaka kumaanisha nini kupokezana huko?
Mkuu andiko lako ni nzuri na lenye kusisimua lakini andiko lako limekosa mantiki......
Labda tu ungeweka wazi kuwa kulingana na mtiririko wa hayo matukio uliyoyaoanisha ulikuwa unalenga nini.....!!?
hitimisha tuu utajua anachosemaMkuu andiko lako ni nzuri na lenye kusisimua lakini andiko lako limekosa mantiki......

Wala siyo ,hayo ni baadhi ya maneno ya kweli ambayo hata Pascal Mayalla aliwahi kuyaandika sehem,Unatakiwa utulie saaana ili kuelewa kuwa thread hii imelenga kumtisha Paskali Njaa
Si kila kitu ni cha kusemaMbona kama ulikuwa unataka kusema kitu ukasita ?
Si kila kitu ni cha kusemaMbona kama ulikuwa unataka kusema kitu ukasita ?
Si kila kitu ni cha kusemaMbona kama ulikuwa unataka kusema kitu ukasita ?
Kakopy kopy na kuunga unga tuMie hapa sijaelewa unaelezea nini, historia ya baba yake pasko au pasko mwenyewe
MkuuNdo ninyi mlikuwa mnashika mikia darasani