Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,950
- 5,378
Yaani Bashite awe rais wa Tanzania?
Kwani Mungu tumemkosea nini sisi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Mungu tumemkosea nini sisi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhhhh futuhi kweli ni futuhi..Makonda 2025 sio 2015 mhariri msaada hapo!!
Anamtosha mke wake sio wa Tanzania.Makonda mbona anatosha!kama hatoshi kwako anatosha kwa wale anaowatosheleza!!
Nipo Burigi aiseeee! Nawalinda Twiga naona wanakimbilia Rwanda. Unazo taarifa?Haha Mkuu umepotea upo marangu au Ufipa ?
Nipo Burigi aiseeee! Nawalinda Twiga naona wanakimbilia Rwanda. Unazo taarifa?
Hebu tuambie mkuu hata kwa Codes!!!Lakini Ben saanane jamaa aliniuma sana aisee!!sabb za kupotea kwake ni za kijinga sana!ina maana hata kitengo cha propaganda kilishindwa hadi kije na spin ya FARU JOHN baada ya Ben saanane kupotea???Au tukutajie Rais ajaye upate mshituko? Analindwa nakupata kila support japo wengi hatuto amini. Ndipo mtajuwa ikulu kuna watu wanapower za ziada.
Nimecheka sana jamaa alivyokuambiaHuo mto watavukaje?