Kilichompata Andrew Mayalla Baba wa Pascal Mayalla kutoka Kwenye system (Wasiojulikana wanaotambulika)

Wanahabari hasa nguli kama P wanapokea tips ili ziweze kuenea kwa jamii kwa kupima kiwango cha joto au kufubaza joto lililopo

Anaweza asiwe TISS lakini akatumiwa na tiss bila yeye kujua but all in all hata wewe ukiwa mchambuzi mahiri wa habari na mwenye uzoefu wa ndani na nje lazima uwe na ushawishi kwa jamii na huo ushawishi utengeneza marafiki wengi wa kuaminika na wasio wa kuaminika lakin daima unapaswa kuangalia maslahi yanayopalilia kazi yako hivyo P anafanya kazi ya habari hapa JF kwa kuwa magazeti yako limited na hana nafasi news room hapa bongo
 
😂😂😂😂
Namheshimu Mayalla, lakini amekwisha 'tabiri' majina mengimengi ya 2025, akiwemo Mbalawa, Makonda, Makamba N.K.

Yeyote kati ya hawa akiwa basi uzi mahususi utafukuliwa na utabiri utakua umetimia.

Ngoja namimi nikupe utabiri, chaguo la Magufuli (yeyote yule atakayekua) litaangupia pua 2025 iwe isiwe.
 
Wana bodi za asubuhi!nisiwachoshe niende moja kwa moja!
Kuna huyu pascal huyu!ndio huyu mwenzetu wa jf hv ni mwandishi wa kawaida kama wengine?Alijuaje Jpm ni mgombea wa uraisi mwaka 2015? Na kajuaje tena 2015 ni makonda?yeye ni nani?maana hata Kadinali pengo alisema hayo hayo je ye ni mutu ya kile kitengo?Maana ule mwiko wa kuachiana vijiti kati ya dini kubwa mbili unaenda kuvunjwa?Je mbona hatusikii japo uteuzi kwa huyu pascal kakosea wapi?
Inaonekana pascal habahatishi ana uhakika na kalamu yake inachoandika maana hata yule kigogo kachagiza yawezekana makonda akaula kule mbeleni je kabahatisha tu?
Kwa wale wanaomwelewa vizuri huyu jamaa watupe picha ili nyuzi zake niwe nazisoma kwa umakini zaidi naanza kumuogopa huyu jamaa!!!

paschal Mayalla njoo hapa tukusikie wewe mwenyewe.
 
Use of HUMINT. Their primary component.

-Kaveli-
 
Wana bodi za asubuhi!nisiwachoshe niende moja kwa moja!
Kuna huyu pascal huyu!ndio huyu mwenzetu wa jf hv ni mwandishi wa kawaida kama wengine?Alijuaje Jpm ni mgombea wa uraisi mwaka 2015? Na kajuaje tena 2015 ni makonda?yeye ni nani?maana hata Kadinali pengo alisema hayo hayo je ye ni mutu ya kile kitengo?Maana ule mwiko wa kuachiana vijiti kati ya dini kubwa mbili unaenda kuvunjwa?Je mbona hatusikii japo uteuzi kwa huyu pascal kakosea wapi?
Inaonekana pascal habahatishi ana uhakika na kalamu yake inachoandika maana hata yule kigogo kachagiza yawezekana makonda akaula kule mbeleni je kabahatisha tu?
Kwa wale wanaomwelewa vizuri huyu jamaa watupe picha ili nyuzi zake niwe nazisoma kwa umakini zaidi naanza kumuogopa huyu jamaa!!!
Rekebisha kidogo miaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom