Kilichompata Andrew Mayalla Baba wa Pascal Mayalla kutoka Kwenye system (Wasiojulikana wanaotambulika)

stop thinking childishly, sijui bongo zenu zimebeba nini? unaanzaje kufikiri kwamba ile takataka ya kolomije itapewa nchi?
 
Sisi sio maiti kihivo labda atakuwa raisi wa wasumukuma.

Kumpa msukuma leseni ya udereva ni sawa na kuruhusu umasikini utamalaki.

Tulionywa tukapuuzia tunavuna mapando yetu.Sio kila Jamii ni wazuri kwenye udereva wengine yatakiwa waishie kwenye utingo tu
 
Ya mbeleni ni upepo na sio hesabu.Siasa ni upepo na sio hesabu.Ogopa Sana watu wakimya
 


Ana network kubwa sana huyo kwanza level ya umri wake ndio wengi wameshika nchi, jumlisha tasnia zake aina ya confidence. naishia hapa ukipata nafasi corona ikiisha msalimie mkononi na umwangalie machoni straight. nimeona niwachekeshe kidogo kwa jokes
 

Kama alitabiri na mimi natabiri haitokuwa na utarudi hapa kurudia maneno haya haitokuwa. Siri ni kubwa hata huyo dogo hajuwi. Hii ni Tz. Muokota makopo pia anawezakuwa anakunywa chai ikulu. Usishangae.
 
Kuna wakati unaona notification ya JF kuhusu uzi fulani then unakuta unakimbia mbiombio. Ukifika tu unakuta uandishi wa uzi huo ni mbaya na hauna hata maudhui.
 
Hana cv, kwanza ana utata wa majina,elimu,
 
Au tukutajie Rais ajaye upate mshituko? Analindwa nakupata kila support japo wengi hatuto amini. Ndipo mtajuwa ikulu kuna watu wanapower za ziada.
 
Ndeo leo nimejua bwana paskali ana ID mbili naona leo kuleta mafa na ID hii
 
Au tukutajie Rais ajaye upate mshituko? Analindwa nakupata kila support japo wengi hatuto amini. Ndipo mtajuwa ikulu kuna watu wanapower za ziada.
Hata jk alitabiri mrithi wake ikawa sivo ndivo,labda tu Ingekuwa ni nchi ya kifalme ya kupeana mjomba,mtoto wa dada,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…