Kilichompata Msigwa UDOM iwe fundisho Kwa viongozi wanaodharau nguvu ya mitandao

kwa mfano hiyo nonsense inasaidia nini gentleman na huyo ni mrtumishi wa umma na sio udom?πŸ’
Hiyo october tunatiki ndio sio nonsense?

Bata akinya kaharisha ila kuku akiharisha kanya.
 
Jana Msigwa alitoa matamshi ya kejeri kuwa hii movement ni upuuzi, usiku wakuamkia leo akaenda UDOM, aisee amekutana na zomea zomea ya wanafunzi wanaimba No reform no election.
Hahaha,
Ndo wafahamu kuwa watu wa mitandaoni ndiyo hao hao wa mitaani.

NO REFORMS NO ELECTION πŸ“Œ
 
Yaani baada watumishi wa umma na viobgozi ni watumwa , wafanyakazi , wameajiriwa na wananchi Ila Sasa wanageuka tenaa kuwatisha boss wao. Yaani tunatishws na watu tuliowapa ajira , wameshiba mpaka wakajisahau kuwa wao ndio mabosi.
Mie umemuoa umemtoa chini hajitambui ukampa fursa Ila baadaye akaanza kukuvimbia kuwa anakumiliki.
Mange kimambi anayo akili mno anadai anachopambania ama anachotaka tukipambanie ni kuwa tuwe na uwezo wa kumuajiri mtu na pia tuwe na uwezo wa kumtoa pindi akianza kwenda kinyume na makubaliano yetu.
Sasa mtu anafika huko kwenye kiti anavimbaje anashiba anaona wengine hawastahili kuishi ama wao ni wajinga. Wanabaki kuimba amani amani ili wazidi kula vinono , Kama vipi si watuachie kazi yetu tutachagua wengine kwani wao wanadhani ndio Miungu watu kuwa hakuna wanataka hizo ajira. Sasa Jamani mie boss siheshimiwi Tena wakati mie nimekupa ajira na bado unataka kuniua
 
Kwa kazi hii ngumu unayoifanya jf ya kutetea mabumunda ya mbogamboga,aisee uongezewe kitita hapo Lumumba..!

Kitita cha buku Saba hakitoshi kwa kweli.
kueleza ukweli dhidi ya nonsense ni miongoni mwa kazi nyepesi zaidi gentleman πŸ’
 
Usitudanganye, kwamba hiyo movement eti imepenya kwenye mioyo ya watu. Suo kweli. Kwanza mioyo sio kiswahili fasaha. Ni hivi, msidanganyike na watu wachache wenye akaunti nyingi huko mtandaoni wakipost hizo kauli na wala sio movement. Kwani hujui movement inavyokua? Au unajizima data? Sisi tupo huku mtaani, hamjui tu vijana kibao wanaipongeza serikali. Suala la vijana kukopeshwa mikopo isiyo na riba imeainua sana na wanaishukuru serikali kwa upendo huo wa dhati. Vijana wengi wamefufua biashara zao na shughuli zao zingine za kiuchumi. Hawa ndio wapiga kura, nyie endeleeni kupiga zogo huko mitandaoni. Hivi mmewaona wanawake waliokwamuliwa kiuchumi huku mtaani na serikali ya Samia kwa mikopo ya 10%?
 
kwa mfano hiyo nonsense inasaidia nini gentleman na huyo ni mrtumishi wa umma na sio udom?πŸ’
🌈 Hakuna kitu kigumu kama kushindana na nyakati. Viongozi wa dini wamesema, wanafunzi nao wanasema. Itaingia michezoni na kwenye kada mbalimbali. Tutaprint karatasi nyingi za NRNE na kuzisambaza mitaani kila kundi lione.
 
Mikopo sio hisani bali ni haki yao. NRNE iko kwetu sisi watanzania tulio wengi. Nyakati ni kitu cha kuheshimu sana. Uko nje ya nyakati ndio maana umepigwa upofu.
 
Wanatumia ajenda ya mpira kama spinning, eti tarehe kumi na tano tunacheza hatuchezi , hii nchi hii
Hicho ni kiwango Cha juu Cha ujinga! Hapo Ndio unagundua ukweli unaosemwa Kila siku, kwamba Tanga na Simba zinatumika kuondoa utimamu wa akili kujadili mambo muhimu ya kitaifa.
As well media nyingi kutekwa na mijadala ya mpira badala ya agenda zinazogusa maisha ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…