Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
No reform No electionreforms zilishafanyika gentleman,
naona unaugulia maumivu ya kuzira na kususa mambo ya msingi kilofa kabisa š
No reform No electionreforms zilishafanyika gentleman,
naona unaugulia maumivu ya kuzira na kususa mambo ya msingi kilofa kabisa š
reforms zilishafanyika gentleman,
naona unaugulia maumivu ya kuzira na kususa mambo ya msingi kilofa kabisa
kwa mfano hiyo nonsense inasaidia nini gentleman na huyo ni mrtumishi wa umma na sio udom?š
Umekata tu mauno hamna cha maana ulichoandikaUsitudanganye, kwamba hiyo movement eti imepenya kwenye mioyo ya watu. Suo kweli. Kwanza mioyo sio kiswahili fasaha. Ni hivi, msidanganyike na watu wachache wenye akaunti nyingi huko mtandaoni wakipost hizo kauli na wala sio movement. Kwani hujui movement inavyokua? Au unajizima data? Sisi tupo huku mtaani, hamjui tu vijana kibao wanaipongeza serikali. Suala la vijana kukopeshwa mikopo isiyo na riba imeainua sana na wanaishukuru serikali kwa upendo huo wa dhati. Vijana wengi wamefufua biashara zao na shughuli zao zingine za kiuchumi. Hawa ndio wapiga kura, nyie endeleeni kupiga zogo huko mitandaoni. Hivi mmewaona wanawake waliokwamuliwa kiuchumi huku mtaani na serikali ya Samia kwa mikopo ya 10%?
acha upotoshaji kamanda ni aibu zaidi kua muongo hivyo šAmepata Aibu kabambe mno!
Anawaona watu mazezeta,eti nimpandishe nani aimbe,halafu yeye akaimba kwanza,ccm wanakaza tu ila hii movement imepenyaHawa jamaa wameonesha kutaka mabadiriko ya kweli na sio pumbazo za muziki,tanzania tunaenda kuzuri sana watu wwenye kiu ya mabadiriko wakingezeka itapatikana mapinduzi ya kweli.
Sasa mbona CCM na serikali mnahaha na No Reforms, No Election!??Tatizo unakataza mke lakini wakipiga hata 10 tu Tanzania, mshindi anatangazwa. Hapo umemkomoa nani
Yaah ni kweli kabisa hii movement imepenya kias kwamba wamevurugika kiasi mana ata namba moja anapopata nafasi ya hadhara anaongea vijembe kufunguka ya moyoniAnawaona watu mazezeta,eti nimpandishe nani aimbe,halafu yeye akaimba kwanza,ccm wanakaza tu ila hii movement imepenya
Hii inapaswa kuwa agenda kubwa na inapaswa kusukumwa kila kona ya nchi watu waimbeHii Kasi ya movement ya no reform no election ni movement hatari sana. Naifananisha na movement ya MAGA, kipindi Trump anashuka kwenye escalator pale Trump tower New York,na kutangaza movement ya MAGA. Aisee viongozi wote wa Republican na Democrats waliidharau hiyo movement, ila kilichotokea kila mtu anajua.
Sasa sahivi Tanzania Kuna movement ya No reform no election,hii aliibua Tundu Lissu, CCM kama kawaida Yao wakachukulia poa, Sasa hivi hii movement ni hatari sana, imepenya hatari kwenye mioyo ya watu.mitandao yote ya kijamii ni no reform no election.
Jana Msigwa alitoa matamshi ya kejeri kuwa hii movement ni upuuzi, usiku wakuamkia leo akaenda UDOM, aisee amekutana na zomea zomea ya wanafunzi wanaimba No reform no election.
Viongozi kamwe narudia kamwe msidharau nguvu ya social media, maana wanaoandika mitandaoni ni watu sio robbot.
View attachment 3360316
Ile movement ya Against Apatheid iko TanzaniaHii Kasi ya movement ya no reform no election ni movement hatari sana. Naifananisha na movement ya MAGA, kipindi Trump anashuka kwenye escalator pale Trump tower New York,na kutangaza movement ya MAGA. Aisee viongozi wote wa Republican na Democrats waliidharau hiyo movement, ila kilichotokea kila mtu anajua.
Sasa sahivi Tanzania Kuna movement ya No reform no election,hii aliibua Tundu Lissu, CCM kama kawaida Yao wakachukulia poa, Sasa hivi hii movement ni hatari sana, imepenya hatari kwenye mioyo ya watu.mitandao yote ya kijamii ni no reform no election.
Jana Msigwa alitoa matamshi ya kejeri kuwa hii movement ni upuuzi, usiku wakuamkia leo akaenda UDOM, aisee amekutana na zomea zomea ya wanafunzi wanaimba No reform no election.
Viongozi kamwe narudia kamwe msidharau nguvu ya social media, maana wanaoandika mitandaoni ni watu sio robbot.
View attachment 3360316
Tumechoka kuzika kila wakati na wenzetu wanapoteaNo Reforms, No election!
To bad you are dumb you would have understood the old Kiswahili adage "panapo fuka Moshi kuna motokwa mfano hiyo nonsense inasaidia nini gentleman na huyo ni mrtumishi wa umma na sio udom?š
Nimelima Tofali chawa zaidi ya 50 kwenye jukwaa hili.Wanatumia ajenda ya mpira kama spinning, eti tarehe kumi na tano tunacheza hatuchezi , hii nchi hii
Ukweli unaumiza..., lakini ndio tiba kwa wanaotobangatobangaUmekata tu mauno hamna cha maana ulichoandika