Kilichompata Msigwa UDOM iwe fundisho Kwa viongozi wanaodharau nguvu ya mitandao

Kilichompata Msigwa UDOM iwe fundisho Kwa viongozi wanaodharau nguvu ya mitandao

Hili suala la reforms huoni kuwa hata wewe linakugusa kwa namna fulan hv... Au ndo njaa na kutafuta uteuz ndo kunakufanya ujifanye kipofu? Em nieleze jentlomeen Tlaatlaah
 
Usitudanganye, kwamba hiyo movement eti imepenya kwenye mioyo ya watu. Suo kweli. Kwanza mioyo sio kiswahili fasaha. Ni hivi, msidanganyike na watu wachache wenye akaunti nyingi huko mtandaoni wakipost hizo kauli na wala sio movement. Kwani hujui movement inavyokua? Au unajizima data? Sisi tupo huku mtaani, hamjui tu vijana kibao wanaipongeza serikali. Suala la vijana kukopeshwa mikopo isiyo na riba imeainua sana na wanaishukuru serikali kwa upendo huo wa dhati. Vijana wengi wamefufua biashara zao na shughuli zao zingine za kiuchumi. Hawa ndio wapiga kura, nyie endeleeni kupiga zogo huko mitandaoni. Hivi mmewaona wanawake waliokwamuliwa kiuchumi huku mtaani na serikali ya Samia kwa mikopo ya 10%?
No reform No election
 
Hii Kasi ya movement ya no reform no election ni movement hatari sana. Naifananisha na movement ya MAGA, kipindi Trump anashuka kwenye escalator pale Trump tower New York,na kutangaza movement ya MAGA. Aisee viongozi wote wa Republican na Democrats waliidharau hiyo movement, ila kilichotokea kila mtu anajua.

Sasa sahivi Tanzania Kuna movement ya No reform no election,hii aliibua Tundu Lissu, CCM kama kawaida Yao wakachukulia poa, Sasa hivi hii movement ni hatari sana, imepenya hatari kwenye mioyo ya watu.mitandao yote ya kijamii ni no reform no election.

Jana Msigwa alitoa matamshi ya kejeri kuwa hii movement ni upuuzi, usiku wakuamkia leo akaenda UDOM, aisee amekutana na zomea zomea ya wanafunzi wanaimba No reform no election.

Viongozi kamwe narudia kamwe msidharau nguvu ya social media, maana wanaoandika mitandaoni ni watu sio robbot.

View attachment 3360316
Hayo ni makelele tu,hata komasava ya mondi ilivuma na sasa kimya, kufika November patakua kimya na watamuomba samia awahishe boom
 
1749368589509.jpeg
 
Usitudanganye, kwamba hiyo movement eti imepenya kwenye mioyo ya watu. Suo kweli. Kwanza mioyo sio kiswahili fasaha. Ni hivi, msidanganyike na watu wachache wenye akaunti nyingi huko mtandaoni wakipost hizo kauli na wala sio movement. Kwani hujui movement inavyokua? Au unajizima data? Sisi tupo huku mtaani, hamjui tu vijana kibao wanaipongeza serikali. Suala la vijana kukopeshwa mikopo isiyo na riba imeainua sana na wanaishukuru serikali kwa upendo huo wa dhati. Vijana wengi wamefufua biashara zao na shughuli zao zingine za kiuchumi. Hawa ndio wapiga kura, nyie endeleeni kupiga zogo huko mitandaoni. Hivi mmewaona wanawake waliokwamuliwa kiuchumi huku mtaani na serikali ya Samia kwa mikopo ya 10%?
Dustbin
 
Hayo ni makelele tu,hata komasava ya mondi ilivuma na sasa kimya, kufika November patakua kimya na watamuomba samia awahishe boom
Uzuri ni kwamba movement zote zilizofanikiwa duniani watawala wakianza kuzipuuza,,,cool
 
NO REFORM NO ELECTION
NO REFORMA NO ELECCIÓN
PAS DE RÉFORME PAS D'ÉLECTION
لا إصلاح لا انتخابات
不改革,不选举
НЕТ РЕФОРМЫ – НЕТ ВЫБОРОВ
कोई सुधार नहीं, कोई चुनाव नहीं
কোনো সংস্কার নেই, কোনো নির্বাচন নেই
SEM REFORMA, SEM ELEIÇÃO
HAKUNA MAGEUZI, HAKUNA UCHAGUZI
改革なし、選挙なし
KEINE REFORM, KEINE WAHL
개혁 없으면 선거 없다
REFORM YOK, SEÇİM YOK
NESSUNA RIFORMA, NESSUNA ELEZIONE
KHÔNG CẢI CÁCH, KHÔNG BẦU CỬ
بدون اصلاحات، بدون انتخابات
کوئی اصلاح نہیں، کوئی انتخاب نہیں
ਕੋਈ ਸੁਧਾਰ ਨਹੀਂ, ਕੋਈ ਚੋਣ ਨਹੀਂ
ไม่มีการปฏิรูป ไม่มีการเลือกตั้ง
BABU GYARA, BABU ZABE
ÌYÍPADÀ KÒ SÍ, ÌDÌBÒ KÒ SÍ
AKUKHO GUQULO, AKUKHO UKHETHELO
ምንም �ውጥ �ልመጣ ምንም ምርጫ የለም
ENWEGHỊ NDOGHARỊ, ENWEGHỊ NTULỊAKA
JIJJIIRAA HIN QABNU, FILANNOS HIN QABNU
 
Hili suala la reforms huoni kuwa hata wewe linakugusa kwa namna fulan hv... Au ndo njaa na kutafuta uteuz ndo kunakufanya ujifanye kipofu? Em nieleze jentlomeen Tlaatlaah
reforms zilishafanyika gentleman,
naona unaugulia maumivu ya kuzira na kususa mambo ya msingi kilofa kabisa 🐒
 
Back
Top Bottom