Kilichompata Msigwa UDOM iwe fundisho Kwa viongozi wanaodharau nguvu ya mitandao

kueleza ukweli dhidi ya nonsense ni miongoni mwa kazi nyepesi zaidi gentleman ๐Ÿ’
Hakuna mtu atapiga kura hata muite nonsense.

Tunakaa nyumbani na tunazuia wake zetu wasitoke hiyo siku. Vijana wanaelewa somo,hao tunaenda nao sambamba na no reforms no election..
 
Kijana tangu jana Mto wa mbu unahangaika kweli. Huu ni upepo utapita tu. Tanzania tunaifahamu
 
Hakuna mtu atapiga kura hata muite nonsense.

Tunakaa nyumbani na tunazuia wake zetu wasitoke hiyo siku. Vijana wanaelewa somo,hao tunaenda nao sambamba na no reforms no election..
Tatizo unakataza mke lakini wakipiga hata 10 tu Tanzania, mshindi anatangazwa. Hapo umemkomoa nani
 
Tatizo unakataza mke lakini wakipiga hata 10 tu Tanzania, mshindi anatangazwa. Hapo umemkomoa nani
Tupo wengi kama nyuki.

Unalikumbuka vuguvugu la 2015 la wananchi wengi kusuport upinzani hadi ikapelekea CCM kupata 54% ? Sasa lile vuguvugu ndiyo hilihili katika sura ya "hatupigi kura-No reforms no election"
 
CCM isipokubali mabadiliko,yajayo yanafurahisha
 
Tupo wengi kama nyuki.

Unalikumbuka vuguvugu la 2015 la wananchi wengi kusuport upinzani hadi ikapelekea CCM kupata 54% ? Sasa lile vuguvugu ndiyo hilihili katika sura ya "hatupigi kura-No reforms no election"
Rudia kusoma comment yako! Haiendani na falsafa ya No Reforms, No Election
 
Punguza kujieleza๐Ÿ˜
 
Rudia kusoma comment yako! Haiendani na falsafa ya No Reforms, No Election
Wapi hujaelewa nikusaidie.

Ni hivi;wananchi Hawa Hawa mnaosema "aagh si CHADEMA tu hao,hawana jipya!!" Nakuahidi mwezi October watawashangaza kama vituoni mtawaona. Kutakuwa kweupe kama kumepigwa mabomu humo kwenye vituo vya kupiga kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ