Kilichompata Msigwa UDOM iwe fundisho Kwa viongozi wanaodharau nguvu ya mitandao

Umekata tu mauno hamna cha maana ulichoandika
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mi nachekaga tu! πŸ˜…πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜πŸ€£πŸ€£
 
Hawa jamaa wameonesha kutaka mabadiriko ya kweli na sio pumbazo za muziki,tanzania tunaenda kuzuri sana watu wwenye kiu ya mabadiriko wakingezeka itapatikana mapinduzi ya kweli.
Anawaona watu mazezeta,eti nimpandishe nani aimbe,halafu yeye akaimba kwanza,ccm wanakaza tu ila hii movement imepenya
 
Anawaona watu mazezeta,eti nimpandishe nani aimbe,halafu yeye akaimba kwanza,ccm wanakaza tu ila hii movement imepenya
Yaah ni kweli kabisa hii movement imepenya kias kwamba wamevurugika kiasi mana ata namba moja anapopata nafasi ya hadhara anaongea vijembe kufunguka ya moyoni
 
Hii inapaswa kuwa agenda kubwa na inapaswa kusukumwa kila kona ya nchi watu waimbe
NO REFORMS NO ELECTION

itapendeza sana watanzania hasa tanganyika wakaisimamia hii mpaka mtaani kila mtu awe tayar kukataa uchafuzi
NO REFORMS NO ELECTION
 
Ile movement ya Against Apatheid iko Tanzania
 
kwa mfano hiyo nonsense inasaidia nini gentleman na huyo ni mrtumishi wa umma na sio udom?πŸ’
To bad you are dumb you would have understood the old Kiswahili adage "panapo fuka Moshi kuna moto
 
Wanatumia ajenda ya mpira kama spinning, eti tarehe kumi na tano tunacheza hatuchezi , hii nchi hii
Nimelima Tofali chawa zaidi ya 50 kwenye jukwaa hili.

Tuwalime sana na nyuzi zao tusicoment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…