Tetesi: Kilichompeleka Nchimbi Kwa mabalozi wa nchi za Umoja wa Ulaya

Ni commitment kwamba Uchaguzi utakuwa huru na haki.

Sasa wale si waswahili - wanajua hamna lolote maana wengi wa hao jamaa ni mashushushu by proffessional so wanajua mtu wa fix dakika za mwanzo tu.

CCM kumeshapoteza kabisa kuaminika - ni watu wa fix fix balaa.
 
Baraka zinaachaje kumiminika kwa watu hawaa?
 
Sema

Sema tuombe Mungu hawa jamaa wasije tupiga pini kama la Zimbabwe;tutafutana humu ndani na huu uchumi wa makaratasi wa Mwigulu!!
Chawa tukuka watakuambia nibora hivyo kuliko ugali wao kuguswa
 
Hivi nyie machadema huu uzushi unawasaidiaga nini hasa!!?
 
Hata ndani ya CCM Samia kajipitisha mwenyewe kuwa mgombea kibabe sana.
 
Kama taarifa hii ni kweli, basi mie ntakunywa cocktail na mbuzi nusu.
 
Hivi nyie nyumbu muda wote mnakuwa mmepakatwa?!!! Mbona mada za kijinga zimekuwa nyiiingi sana?!!!
 
Speculative but with matarajio ya kisanii kama Kawa
 
Najaribu kuwaza hawa mabeberu wakituwekea vikwazo vya uchumi alafu plus deni la Mama itakuwaje!!
Tutakuja kurudi kwenye barter trade,unamplekea unga msukuma,na yeye anakupa dagaa au nyama!!
Huyu Bibi azuiwe kutawala,akiruhusiwa mpaka 2030 nchi itakuwa mufilisi!!
 
Wana hoja utauitaje ushindi wa kishindo huku ukigombea na Mzee wa ubwabwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…