nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 1,939
- 1,257
Chawa wa CCM wamekuwa wakitoa povu Kwa nchi wahisani na kuwapa majina mabaya mara mabeberu, bila kujua ata kutailiwa kwao kulifadhiliwa na mabeberu.
Sahivi Samia ana Hali mbaya kimataifa amechafuka aswaa ata yeye analijua ilo.
Nchi za Umoja wa Ulaya zilitoa statement Kwa serikali juu ya mwendendo mbaya wa Demokrasia Tanzania. Pia
Ubalozi wa Sweden ulitishia kukata misaada yote ya Sweden Kwa Tanzania, hii ilitokana na tabia chafu za serikali.
Samia na Nchimbi ndo wagombea wa CCM, waliona hatari ya kutawala bila hisani kutoka EU. Gafra wakaomba poo na kuomba mkutano wa kukutana nao.
Unaambiwa Nchimbi amepigwa spana aswa. Ameambiwa hamna aibu ya kugomea wenyewe yaani " running against your self" afu mnaita ni uchaguzi. Nchimbi ameambiwa Samia atagombea vipi kama strong contender wake amempa kesi ya uongo.
EU wameshauri yafuatayo.
1. Vyama vyote vishiriki uchaguzi
2. Lissu aachiwe huru .
3. Serikali ifanye mazungumzo na chadema wamalize tofauti zako.
N.B delegation ya Chadema ilikutana na Mabalozi siku chache zilizopita.
Mto wa Mbu,
Illinois -USA
Oktoba tunatikiNo reforms no election
Halafu we ngiri pori tangia enzi za baba wa Taifa haijatokea nchi wala mabalozi waliipa nchi yetu masharti ya ******* km hayo na haitatokea, mbwa moja tu umevimbiwa huko ulipo unakuja kuandiks uchafu km huu? We shoga unawashwa ******.Chawa wa CCM wamekuwa wakitoa povu Kwa nchi wahisani na kuwapa majina mabaya mara mabeberu, bila kujua ata kutailiwa kwao kulifadhiliwa na mabeberu.
Sahivi Samia ana Hali mbaya kimataifa amechafuka aswaa ata yeye analijua ilo.
Nchi za Umoja wa Ulaya zilitoa statement Kwa serikali juu ya mwendendo mbaya wa Demokrasia Tanzania. Pia
Ubalozi wa Sweden ulitishia kukata misaada yote ya Sweden Kwa Tanzania, hii ilitokana na tabia chafu za serikali.
Samia na Nchimbi ndo wagombea wa CCM, waliona hatari ya kutawala bila hisani kutoka EU. Gafra wakaomba poo na kuomba mkutano wa kukutana nao.
Unaambiwa Nchimbi amepigwa spana aswa. Ameambiwa hamna aibu ya kugomea wenyewe yaani " running against your self" afu mnaita ni uchaguzi. Nchimbi ameambiwa Samia atagombea vipi kama strong contender wake amempa kesi ya uongo.
EU wameshauri yafuatayo.
1. Vyama vyote vishiriki uchaguzi
2. Lissu aachiwe huru .
3. Serikali ifanye mazungumzo na chadema wamalize tofauti zako.
N.B delegation ya Chadema ilikutana na Mabalozi siku chache zilizopita.
Mto wa Mbu,
Illinois -USA
Ng'ombe wa mamaHalafu we ngiri pori tangia enzi za baba wa Taifa haijatokea nchi wala mabalozi waliipa nchi yetu masharti ya ******* km hayo na haitatokea, mbwa moja tu umevimbiwa huko ulipo unakuja kuandiks uchafu km huu? We shoga unawashwa ******.
HakikaMungu awabariki wazungu.
Anaharibiwa nq JKSamia angekuwa na akili japo kidogo angekuwa akipewa ushauri na machawa wake anachanganya na zake.
Komaa muungano ufe Tanganyika ipate uhuru wake acha maswalibritanicca hii habari ni ya kweli?!
Chawa wa CCM wamekuwa wakitoa povu Kwa nchi wahisani na kuwapa majina mabaya mara mabeberu, bila kujua ata kutailiwa kwao kulifadhiliwa na mabeberu.
Sahivi Samia ana Hali mbaya kimataifa amechafuka aswaa ata yeye analijua ilo.
Nchi za Umoja wa Ulaya zilitoa statement Kwa serikali juu ya mwendendo mbaya wa Demokrasia Tanzania. Pia
Ubalozi wa Sweden ulitishia kukata misaada yote ya Sweden Kwa Tanzania, hii ilitokana na tabia chafu za serikali.
Samia na Nchimbi ndo wagombea wa CCM, waliona hatari ya kutawala bila hisani kutoka EU. Gafra wakaomba poo na kuomba mkutano wa kukutana nao.
Unaambiwa Nchimbi amepigwa spana aswa. Ameambiwa hamna aibu ya kugomea wenyewe yaani " running against your self" afu mnaita ni uchaguzi. Nchimbi ameambiwa Samia atagombea vipi kama strong contender wake amempa kesi ya uongo.
EU wameshauri yafuatayo.
1. Vyama vyote vishiriki uchaguzi
2. Lissu aachiwe huru .
3. Serikali ifanye mazungumzo na chadema wamalize tofauti zako.
N.B delegation ya Chadema ilikutana na Mabalozi siku chache zilizopita.
Mto wa Mbu,
Illinois -USA
Huyo JK sasa kamgeuka yupo na majaliwa, makamba, Nape, kinana, Bashiru na wenzao wanataka majaliwe awe Rais watamwengua Mkoloni Kaburu toka Zanzibar ghafra bila kutarajiaAnaharibiwa nq JK
Kwani wewe jamaa ulikuwepo kwenye kikao cha njama za kubambika kesi ya Uongo kwa lisu?We jamaa wewe ulikuwepo kwenye kikao
Yeah right.....Wazungu wanarikiwe for speaking on our behalf as our voices been shut down.
ibirisi wa ccm kazi yao ni kuteka kuua kubambika kesi za uongo, siasa za ushindani hawawezi tenaNi commitment kwamba Uchaguzi utakuwa huru na haki.
Sasa wale si waswahili - wanajua hamna lolote maana wengi wa hao jamaa ni mashushushu by proffessional so wanajua mtu wa fix dakika za mwanzo tu.
CCM kumeshapoteza kabisa kuaminika - ni watu wa fix fix balaa.
Vyama vya uvunguni stoo mwa ccmKina Dovutwa na Lyemba
Kwa hizo Bangi ulizovuta umejiona eti wewe ni bingwa wa matusi ya kishamba sana, utetezi kwa ibirisi ccm kwa njia ya matusi ya kizamani haisaidii ccm kujinasua na uovu uonevu utekaji mauji kubambika kesi za uongo, na endapo unasaka uteuzi kwa njia hiyo usitegemee mkoloni kaburu toka Zanzibar atakuteua popoteHalafu we ngiri pori tangia enzi za baba wa Taifa haijatokea nchi wala mabalozi waliipa nchi yetu masharti ya ******* km hayo na haitatokea, mbwa moja tu umevimbiwa huko ulipo unakuja kuandiks uchafu km huu? We shoga unawashwa ******.
Chawa wa CCM wamekuwa wakitoa povu Kwa nchi wahisani na kuwapa majina mabaya mara mabeberu, bila kujua ata kutailiwa kwao kulifadhiliwa na mabeberu.
Sahivi Samia ana Hali mbaya kimataifa amechafuka aswaa ata yeye analijua ilo.
Nchi za Umoja wa Ulaya zilitoa statement Kwa serikali juu ya mwendendo mbaya wa Demokrasia Tanzania. Pia
Ubalozi wa Sweden ulitishia kukata misaada yote ya Sweden Kwa Tanzania, hii ilitokana na tabia chafu za serikali.
Samia na Nchimbi ndo wagombea wa CCM, waliona hatari ya kutawala bila hisani kutoka EU. Gafra wakaomba poo na kuomba mkutano wa kukutana nao.
Unaambiwa Nchimbi amepigwa spana aswa. Ameambiwa hamna aibu ya kugomea wenyewe yaani " running against your self" afu mnaita ni uchaguzi. Nchimbi ameambiwa Samia atagombea vipi kama strong contender wake amempa kesi ya uongo.
EU wameshauri yafuatayo.
1. Vyama vyote vishiriki uchaguzi
2. Lissu aachiwe huru .
3. Serikali ifanye mazungumzo na chadema wamalize tofauti zako.
N.B delegation ya Chadema ilikutana na Mabalozi siku chache zilizopita.
Mto wa Mbu,
Illinois -USA
Mpinzani pekee ninayemwamini Afrika ni best yangu Julius Malema wengine magava wa mabeberu na vyama vyao matawi. Yaani kweli mnajisifia Ulaya? Ndiyo maana Trump hana mpango na wanasiasa uchwara...yeye ni MAGA tu.🙏🙏Chawa wa CCM wamekuwa wakitoa povu Kwa nchi wahisani na kuwapa majina mabaya mara mabeberu, bila kujua ata kutailiwa kwao kulifadhiliwa na mabeberu.
Sahivi Samia ana Hali mbaya kimataifa amechafuka aswaa ata yeye analijua ilo.
Nchi za Umoja wa Ulaya zilitoa statement Kwa serikali juu ya mwendendo mbaya wa Demokrasia Tanzania. Pia
Ubalozi wa Sweden ulitishia kukata misaada yote ya Sweden Kwa Tanzania, hii ilitokana na tabia chafu za serikali.
Samia na Nchimbi ndo wagombea wa CCM, waliona hatari ya kutawala bila hisani kutoka EU. Gafra wakaomba poo na kuomba mkutano wa kukutana nao.
Unaambiwa Nchimbi amepigwa spana aswa. Ameambiwa hamna aibu ya kugomea wenyewe yaani " running against your self" afu mnaita ni uchaguzi. Nchimbi ameambiwa Samia atagombea vipi kama strong contender wake amempa kesi ya uongo.
EU wameshauri yafuatayo.
1. Vyama vyote vishiriki uchaguzi
2. Lissu aachiwe huru .
3. Serikali ifanye mazungumzo na chadema wamalize tofauti zako.
N.B delegation ya Chadema ilikutana na Mabalozi siku chache zilizopita.
Mto wa Mbu,
Illinois -USA
Pumbav ww ni brittanica?!Komaa muungano ufe Tanganyika ipate uhuru wake acha maswali