Tetesi: Kilichompeleka Nchimbi Kwa mabalozi wa nchi za Umoja wa Ulaya

No reform No erection mnahaha kweli kweli na hizo tetesi zisizo na kichwa wala miguu.
 
Bwana mkubwa hapo Mto Mbu Nina kabustani kangu ka ndizi malindi tany sana ,niachie no. ukachukue ndizi uwapelekee wajukuu!
 
Pumbav ww ni brittanica?!
Pumbavu ni wewe mtoto haramu uliyezaliwa guest House na baba usiyemjua ndiyo maana unavuta Bangi na kufagilia Utekaji mauaji ubambikaji kesi na matendo yote haramu ya kishetani
 
Pesa inayotumika kuwatesa chadema laiti ingekuwa inatumika kuleta maendeleo mda huu Tanzania ingekuwa kama Dubai
 
Nchiimbi ni wa ccm, amewaklisha Serikali! Mambo ya kiserikali yanashghlikiwa na chama kama vile hatuna mtumishi mwenye uezo! Wzr wa mambo ya nje anawaklisha nn!
 
Wasitutishe uchumi wetu uko vizuri sana kuliko wao!
 
Wewe ndiyo unahaha kwani aliyekutuma uteke uue ubambike kesi za uongo ni wazungu?
Mr dishi limeyumba amefanywa kuwa shoga kwa sababu ya kujikomba kwa wazungu; na nyie endeleeni tu mtayaona yake.
 
Wakamtafute aliyetaka kumuua Trump kwanza. Samia ni Rais wa Tanzania sio wa Ulaya anachafukaje? Kukata misaada Sweden itatusaidia kukusanya kodi zaidi ili tujitegemee wenyewe.

Unafahamu ni nchi ngapi zenye vitegauchumi vyao Tanzania?
Acheni kujidanganya mioyoni mwenu.
 
Competing against your self
 
Mod toeni asiye na nidhamu
 
Ulaya hii hii ambayo hata ulinzi inategemea Marekani?
Kwa kifupi kama Uchumi wa Dunia ungekuwa fare hawa jamaa wana nini cha kitupa? DENMARK, Ubelijiji, Sweden wana nini? Uhaolanzi, Ufaransa wana nini????
 
Ulaya hii hii ambayo hata ulinzi inategemea Marekani?
Kwa kifupi kama Uchumi wa Dunia ungekuwa fare hawa jamaa wana nini cha kitupa? DENMARK, Ubelijiji, Sweden wana nini? Uhaolanzi, Ufaransa wana nini????
Cheki hii tikiti, wewe unae nunua ndege za Airbus kutoka France, unanunua Range , land Rover,BMW, wanakusaidia kupitia UK aid, Danida, we una nini
 
Tatizo kubwa ni kwamba IKULU iko empty, na imekuwa empty muda mrefu.
Mama Samia huwa hakai ofisini kuthink through decisions na impact zake.
Kila siku yuko barabarani, na inaelekea wasaidizi wake wanafanya serious decisions bile yeye mwenyewe Rais kuelewa impact yake.
Niliwahi kuuliza , hivi nani anafanya kazi za Rais Samia maana yeye muda wote yuko barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…