Kilichomponza Makonda ndicho hicho kingemponza Magufuli

Kilichomponza Makonda ndicho hicho kingemponza Magufuli

Unasema hakuna asiyemkubali magu...una utafiti wowote juu ya Hilo? Para ya mbele baada ya kuelezea tatizo la hao wapendanao kuwa Ni lugha zao mbaya(ulimi). Unabadilika Tena kuwa hakuna atayekupenda ukiwa na ulimi mbaya mfano magu na makonda. Unajua uunachokitetea au mkono unaandika tu Bila vituo?
 
Hakuna ambaye hapendi kazi za Magufuli
 
Nafikiri atafanyia kazi madai haya
Anapaswa aondoke awapishe watanzania wenye uwezo kuongoza. Yeye ndiye tatizo akae pembeni achunguzwe, na apate stahiki yake kisheria.
Ayafanyie kazi kivipi tena wakati yeyendiye kayasababisha.
Sheria na vyombo vya sheria na utoaji haki vilipaswa visiwe na macho. Lakini tumeshuhudia watu wakitendewa kiccm na kipinzani. Asiowapenda mnakoma, na awapendao wanafurahia keki ya taifa.
Apishe akae bench atizame mechi ili aone alipokosea.
 
umebadili gia angani chap.!

$asa unajishika na mzizi mrefu.

hamia Kawe,Gwajimen anamwaga mpunga mrefu zaidi
 
Lakini CCM hudai imeleta maendeleo utazani maendeleo ni Hisani ya CCM na pesa zinatoka mifukoni mwao

Watu ndio huleta maendeleo ya nchi yao wenyewe. Iwe ni CCM au UPINZAni. Chama hakijawhai kuleta maendeleo isipokuwa watu
 
umebadili gia angani chap.!

$asa unajishika na mzizi mrefu.

hamia Kawe,Gwajimen anamwaga mpunga mrefu zaidi

Kumkubali Makonda haimaanishi hana kasoro. Kumkosoa Makonda au Magufuli haimaanishi simkubali.
 
Daud Bashite aweza kuwa na mazuri yake machache lakini mengi mabaya yake yanafuta yale mazuri aliyopata kuyafanya, kitendo cha kwenda Dodoma na magari mawili kwenda kumshambulia Tundu lisu kwa risasi ni mojawapo ya sababu ya kufuta mazuri yake machache aliyotenda, FBI CIA waliopo ubalozi wa marekani walifanya uchunguzi kwa Siri kwa mbinu za kisasa wakabaini Bashite ni mtu Hatari sana ndiyo maana wakamkataa kuingia America.
 
Hakika pombe asingetoboa. Nadhani intelijensia walimuonya mapema. Ndio maana baba wa watu akapanga mbinu zote pasiwepo mgombea. Nao Akina pole pole wakaprint form moja tu kumhakikishia ushindi ndani ya chama
 
Daud Bashite aweza kuwa na mazuri yake machache lakini mengi mabaya yake yanafuta yale mazuri aliyopata kuyafanya, kitendo cha kwenda Dodoma na magari mawili kwenda kumshambulia Tundu lisu kwa risasi ni mojawapo ya sababu ya kufuta mazuri yake machache aliyotenda, FBI CIA waliopo ubalozi wa marekani walifanya uchunguzi kwa Siri kwa mbinu za kisasa wakabaini Bashite ni mtu Hatari sana ndiyo maana wakamkataa kuingia America.

Mkuu hayo hayana ushahidi, lakini kama ni kweli basi naiwe hivyo usemayo.
 
Kumkubali Makonda haimaanishi hana kasoro. Kumkosoa Makonda au Magufuli haimaanishi simkubali.
Magufuli aweza kuwa na mapungufu machache kuliko Daud Bashite, ukumbuke Magufuli kasoro zake kuu ni kama zifuatazo 1- kuzuia mikutano ya siasa kwa vyama vya upinzani 2- kuwanunua wapinzani kisha kurudia chaguzi kwa gharama kubwa 3-kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge na mengine ikiwemo kununua Ndege kwa cash bei kubwa zaidi ya bei ya kawaida, lakini Daudi Bashite kafanya mengi mabaya ikiwemo kumfirisi Yusuph manji kupora mali zake kutaja list feki ya wauza unga wakafanya blackmail akawachukulia watu mali zao na madhambi mengineyo mengi zaidi na zaidi
 
Kumkubali Makonda haimaanishi hana kasoro. Kumkosoa Makonda au Magufuli haimaanishi simkubali.
Inaelekea huzifahamu kasoro zake na kama una kasoro zake utakuwa umeambiwa chache sana jaribu kuchimba kwa undani ujue kasoro zaidi ndipo utabaini kuwa Bashite anayo mabaya mengi kuliko mazuri machache.
 
Back
Top Bottom