Kilichomponza mhadhiri ‘gaidi’ wa UDOM ni hiki hapa

Kwani hapa tuko mahakamani, au tunachangia mjadala? Mtoa mada hajatoa sababu mwanzoni mwa mada yake? Au huna macho!
Au una sababu halisi za huo ugaidi? Si uzitoe hapa? Unaficha nini?
Kama hakuna ushahidi hakutakiwa hata kuliweka bandiko hapa achilia mbali watu kujadili
 
Miaka ile vyuo vikuu actually vilikuwa vitatu tu (UDSM, Mzumbe na SUA) wahadhiri walikuwa wanatoa madarasa huru sana juu ya mambo mbalimbali ya kitaifa.
Ukisikia mdahalo pale Nkurumah basi jua watu watatoa nondo za maana.
 
Anything can happen to you as you live in the shithole kantri like ours
 
Hawatanyamaza,yanamwisho HAya!
 
Hii mada ingekua nzuri usingelalia upande ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…