Kilichomponza mhadhiri ‘gaidi’ wa UDOM ni hiki hapa

Well narrated
 
Serikali ya mazafakas wa CCM ni ya kishetani sana. Mijadala ya kitaaluma inapaswa kuwa huru kama ilivyo mijadala ya Bunge!

Turudi kwenye mjadala. Nadhani tatizo la muungano wetu sio Zanzibar kuwa na Serikali yake, bali ni Tanganyika kutokuwa na Serikali yake. Otherwise, hadhi ya Zanzibar haitofautiani na hadhi ya states za Marekani au majimbo ya Canada. States za Marekani au majimbo ya Canada zina(yana) constitutions zake na zina(yana)jifanyia mambo yote isipokuwa foreign affairs, currency na defense. Uwepo wa Serikali ya Zanzibar hakuifanyi Zanzibar kuwa taifa.
 
Kujengwa nisawa kabisa na kujengwa mikoa mingine

Mtu mwenye akili
Anatakiwa kuoji kujengwa popote kitu binafsi
Mfano Rais Dk Samia Suluhu Hassan kama kajenga kitu binafsi chake yeye kwa pesa za Serikali tunaweza kuhoji

Lkn Miundombinu ya Umma ikijengwa popote iwe Zanzibar iwe Dodoma iwe mwanza👈

iyo ipo kwaajili ya Mtanzania yoyote kuitumia sio zambi✍️

mfano Zanzibar kuna mechi ya YANGA na Simba ni mbona Watanzania bara wengi wanaenda kule👈

kuingia uwanjani hakuchagui uyu ni Mzanzibar uyu ni kutokea Bara
Uwanja ukijaa wanazuiwa wote kuingia ✍️

so wanufaika na kile kimejengwa pale ni Watanzania wote sio wazanzibar tu 👈

au Rais Dk Samia Suluhu H
assan tu 👈

ivyo ivyo ikitokea mechi Dodoma nk. Miundombinu ya umma ni mali yetu Watanzania wote👈

Mwendo kasi ipo Dar es Sallam lkn mkitoka mikoani mnaweza kutumia nanyinyi👈

ivyo ivyo Zanzibar ipo za Umeme siku ukienda kule kutembea unaikuta unatumia 👈

miundombinu ipo kwaajili yetu Watanzania wote👈

sio kununa kisa kimejengwa Zanzibar ni upumbavu kichwani mwako👈

mbona mwendo kasi haikujengwa mikoani❗️

mbona ilo kwenu sio tatizo👈

Wachungaji wanawapotosha kijinga jinga 👈

kama umeweza kuja Dar nauri 70000 kwenda Zanzibar nauri nusu yake tu❗️ nendeni na wachumba zenu mkaenjoy👈

kwenda Zanzibar wanataka kitambulisho tu ivyo ivyo ukienda Dodoma kwa SGR watataka pia kitambulisho chako basi upangiwi siku za kukaa 👈

kama umeenda Uganda Kenya nk lazima useme unakaa siku ngapi mana kule sio kwenu👈

lkn Zanzibar ni kwenu pia ndiomana hutoulizwa unakaa siku ngapi ✍️
 
tunapaswa kuoji kujengwa kitu binafsi

Sio kitu chochote cha Umma❗️ icho ni chako ww na kizazi chako watakuja kutumia siku moja kijengwa popote ndani ya Tanzania hufai kuchukia 👈

badala yake tunapaswa kuwashukuru viongozi kwa kutujengea icho kitu ni chetu
milele✍️
 
The Dictator hataki kuusikia ukweli mchungu
 
Me nikiwa nakutana na habari hizi naumia ila sina cho chote chakufanya, Mungu awasaidie
Mkuu kuumia tu hakutoshi na una cha kufanya. Hauko salama kama unavyodhani hata kama huongelei mambo ya siasa na usifikirie kusema ''Mungu awasaidie'' wewe humo. Siyo lazima ufanye jambo kubwa sana kama unavyodhani. Unaweza kususia bidhaa, wasanii, media, timu za mpira etc ambavyo ni pro-CCM. Unaweza kususia mikutano yote ya CCM. Ukisikia chama cha haki kama CHADEMA wanafanya mktano, nenda na utoe hata sh 500. Fanya hivyo wewe, shawishi na watu wako wa karibu ambao unasikilizana. Mimi, yule na yeye tukifanya hivyo, na jamii yote itafanya na ukatili utashindwa.
 
Kumbe inayo lakini sio total?

Hayo mambo ya nje ni yapi na yana effect gani kwa mfano?

Kama unaweza jiamulia mambo yako kwa asilimia 95, maana yake unamamlaka kamili.

Nchi ina rais, bunge lake, katiba yake, serikali, utambulisho wake.

Hizo nyingine ni ufala tu in Ruto voice.

Ndiyo maana CAF wanaitambua na kuwapa previledge kama nchi kamili.

Sisi tunawaletea janja janja tu ya koti la mambo ya kimataifa na brabarah nyingi.

Hii issue ya Muungano inahitaji kuwekwa sawa, vinginevyo itajadiliwa sana. Mbona nchi nyingine zenye muungano hazina makelele kama kwetu.?
 
Mungu ibariki Udom
Wahadhiri wetu huwa wako wazi sana kutuambia ukweli wa mambo.
Mungu awatunze.
 
Yaani Tanganyika ime-surrender 100% ikaishiwa. Ajabu Zanzibar ika-surrender alafu ikabaki nazo baadhi!
View attachment 3651160
Nadhani ndivyo walivyokubaliana waasisi kulingana na hali zetu navyofikiri.

Maana muungano wetu ni replica ya ule wa UK.

UK wana articles of Union hata sisi tunazo.

Ila namna wanavyofanya mambo yao ni tofauti kidogo na sisi.

Mimi naona mfumo huu ni sawa tu kwakuwa ndio umesaidia kulinda Muungano mpaka sasa hivi.

Kama serikali ya Tanganyika ingekuwepo Muungano ingekuwa rahisi kuvunjika.
 
Kwa nini isiwepo na Selikali ya Tanganyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…