Ni kweli kabisa mkuu. Ikiwa watesi wataaendelea kuingilia ufundishaji, wahadhiri wataogopa kufundisha ukweli na kugeuka kuwa machawa wa CCM.Umehitimisha kinyonge sana, kiTanganyika!
Tatizo la WaTanganyika lipo kwenye kuiamini mifumo ile ile inayoratibu udhalimu dhidi yao ndiyo iwaonee huruma na kuwatendea HAKI!
Kwamba mtesi yule yule mnufaika ndiye anaombwa awe Malaika wa nuru kubadilisha ama kuondosha madhila yanayomnufaisha!
Tukifanikiwa kubadilisha mitazamo hiyo na kuthamini uwezo wa WaTanganyika tutafika mbali. Untill then.
NB: Natamani Tundu Lissu aombe kuunganishwa kwenye hiyo keshi ya Ugaidi dhidi ya Dr. Kaijage.
Bro P Salamu nyingi kwakoKwa kawaida binadamu anapokuwa kwenye matatizo na kwenye magumu, watu wenye roho za ubinaadamu, na utu, wanaumizwa na anayopitia, lakini watu wenye roho za kishetani, wanazidi kuchochea moto!, bandiko hili ni adding an insult to an injury!, kuna watu, mnajichumia laana bila kujijua kwa kumsingizia uongo kama, huu uliouleta hapa ili aonekane ni lecture kilaza!,
Kuna aina kuu tatu za miungano ya nchi,
Muungano wa Tanzania na Zanzibar, ni muungano adhimu na adimu.
- Muungano wa Union na kuunda a unitary gornment kwa kuunda union, nchi mbili au zaidi zinaungana kwa union na kuunda nchi noja. Hizi nchi zote zinapoteza its sovereignty na nchi mpya ya union. Kama GBRT.
- Muungano wa Federation, nchi moja au zaidi zinaungana kwenye baadhi tuu ya mambo, kunakuwa na federal government, lakini kila states inakuwa na utawala wake wa mambo yake ya ndani, kama US.
- Muungano wa Confederation, kama Ujerumani,
Kimataifa ni muungano wetu ni muungano wa Union, nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar zimeungana kwa union, kuunda nchi moja ya JMT, nchi zote mbili zimepoteza sovereignty zake na JMT ndio the new sovereign.
Lakini ndani ya muungano, JMT ni moja ya JMT yenye muungano wa federation ya nchi mbili, nchi mama ya JMT, na nchi mtoto ya Zanzibar yenye utawala wake wa ndani, lakini hauna sovereignty. Kimaifa Tanzania ni nchi moja tuu, Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya Tanzania yenye utawala wake wa ndani kama ilivyo Kwazulu Natal kwa Chief Mangosotho Buthelezi,
Kitendo cha kumsingizia uongo mtu aliyeko matatzoni ni kujichumia laana za bure bila wewe kujijua!.
P.
Muungano wetu ni unique, kwa upande ni union na kwa upande ni federation, ndio maana tunauita muungano adhimu na adimu, wa pekee duniani, Zanzibar japo inajiita nchi, na ina serikali yake, rais wake, bunge lake na mahakama yake, ni nchi jina tuu, lakini sio nchi bali ni sehemu ya JMT, yenye utawala wake wa ndani!, sifa kuu ya nchi ni kuwa na sovereignty, Zanzibar haina sovereignty, haina dola, wala haina sarafu, na hayo mabadiliko iliyoyafanya kwenye katiba yaku kujiita nchi ile 2010, mpaka leo katiba ya JMT, haiyatambui!. https://www.jamiiforums.com/threads...i-tuitambue-au-tumchelee-mwana-kulia.2286830/Let's face it: Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kiukweli haupo kwenye hizo definitions 3 umetoa hapo juu!
We are something else, sort of a charity union. One state desperately lost its sovereignty and sacrificed 💯 for the other that kept its sovereignty.
NB: nadhani Muungano sahihi uliishia kwenye vyama ASP na TANU kuzaa jinamizi liitwalo ccm.
Je, kulingana na definition hiyo iliyomo kitabuni, unaweza kusema Tanzania is a union government or a federation? According to your flimsy clarification, Tanzania is neither a union nor a federation. Sasa kosa la mhadhiri ni lipi hadi akamatwe na kupewa kesi ya ugaidi na serikali yako ya CCM?Kuna aina kuu tatu za miungano ya nchi,
- Muungano wa Union na kuunda a unitary gornment kwa kuunda union, nchi mbili au zaidi zinaungana kwa union na kuunda nchi noja. Hizi nchi zote zinapoteza its sovereignty na nchi mpya ya union. Kama GBRT.
- Muungano wa Federation, nchi moja au zaidi zinaungana kwenye baadhi tuu ya mambo, kunakuwa na federal government, lakini kila states inakuwa na utawala wake wa mambo yake ya ndani, kama US.
- Muungano wa Confederation, kama Ujerumani,
Neno 'total surrender ' hukuliona kwenye kitabu?Kwa hiyo aliweka interpretation zake kwenye vitabu vya watu wasomi wengine
Kama katiba ya JMT haiyatambui hayo mabadiliko ya katiba ya Zanzibar ina maana hata serikali yake iliyochaguliwa kupitia katiba ya 2010 si itakuwa batili kwa mujibu wa katiba ya JMT?na hayo mabadiliko iliyoyafanya kwenye katiba yaku kujiita nchi ile 2010, mpaka leo katiba ya JMT, haiyatambui!.
Sasa katika hizo aina za muungano ulizotaja..mbona huu wa kwetu hauingii popote?Kwa kawaida binadamu anapokuwa kwenye matatizo na kwenye magumu, watu wenye roho za ubinaadamu, na utu, wanaumizwa na anayopitia, lakini watu wenye roho za kishetani, wanazidi kuchochea moto!, bandiko hili ni adding an insult to an injury!, kuna watu, mnajichumia laana bila kujijua kwa kumsingizia uongo kama, huu uliouleta hapa ili aonekane ni lecture kilaza!,
Kuna aina kuu tatu za miungano ya nchi,
Muungano wa Tanzania na Zanzibar, ni muungano adhimu na adimu.
- Muungano wa Union na kuunda a unitary gornment kwa kuunda union, nchi mbili au zaidi zinaungana kwa union na kuunda nchi noja. Hizi nchi zote zinapoteza its sovereignty na nchi mpya ya union. Kama GBRT.
- Muungano wa Federation, nchi moja au zaidi zinaungana kwenye baadhi tuu ya mambo, kunakuwa na federal government, lakini kila states inakuwa na utawala wake wa mambo yake ya ndani, kama US.
- Muungano wa Confederation, kama Ujerumani,
Kimataifa ni muungano wetu ni muungano wa Union, nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar zimeungana kwa union, kuunda nchi moja ya JMT, nchi zote mbili zimepoteza sovereignty zake na JMT ndio the new sovereign.
Lakini ndani ya muungano, JMT ni moja ya JMT yenye muungano wa federation ya nchi mbili, nchi mama ya JMT, na nchi mtoto ya Zanzibar yenye utawala wake wa ndani, lakini hauna sovereignty. Kimaifa Tanzania ni nchi moja tuu, Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya Tanzania yenye utawala wake wa ndani kama ilivyo Kwazulu Natal kwa Chief Mangosotho Buthelezi,
Kitendo cha kumsingizia uongo mtu aliyeko matatzoni ni kujichumia laana za bure bila wewe kujijua!.
P.
Sasa huu ni muungano wa aina gani mkuu? Kwani Rais wa Zanzibar ni kama Rais wa TFF? Sio kiongozi wa nchi? Nini maana ya neno NCHI?Kama alisema kuna Tanzania haina Union Government anapotosha
Zanzibar haina total sovereignty.
Mamlaka yake ni kwa mambo ya ndani tu ila inapokuja kwa maswala ya nje yanayoliwasilisha Taifa yale mambo yanayotambulisha Taifa yamebakia kwa serikali ya JMT.
Kuna watu wapo shallow sana hasa kizazi Cha 1980s mwishoni kuja 2000s,sijui Wana shida gani?..no critical thinking,hawasomi,hata kuandika na kutamka kiswahili shidaKwa kawaida binadamu anapokuwa kwenye matatizo na kwenye magumu, watu wenye roho za ubinaadamu, na utu, wanaumizwa na anayopitia, lakini watu wenye roho za kishetani, wanazidi kuchochea moto!, bandiko hili ni adding an insult to an injury!, kuna watu, mnajichumia laana bila kujijua kwa kumsingizia uongo kama, huu uliouleta hapa ili aonekane ni lecture kilaza!,
Kuna aina kuu tatu za miungano ya nchi,
Muungano wa Tanzania na Zanzibar, ni muungano adhimu na adimu.
- Muungano wa Union na kuunda a unitary gornment kwa kuunda union, nchi mbili au zaidi zinaungana kwa union na kuunda nchi noja. Hizi nchi zote zinapoteza its sovereignty na nchi mpya ya union. Kama GBRT.
- Muungano wa Federation, nchi moja au zaidi zinaungana kwenye baadhi tuu ya mambo, kunakuwa na federal government, lakini kila states inakuwa na utawala wake wa mambo yake ya ndani, kama US.
- Muungano wa Confederation, kama Ujerumani,
Kimataifa ni muungano wetu ni muungano wa Union, nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar zimeungana kwa union, kuunda nchi moja ya JMT, nchi zote mbili zimepoteza sovereignty zake na JMT ndio the new sovereign.
Lakini ndani ya muungano, JMT ni moja ya JMT yenye muungano wa federation ya nchi mbili, nchi mama ya JMT, na nchi mtoto ya Zanzibar yenye utawala wake wa ndani, lakini hauna sovereignty. Kimaifa Tanzania ni nchi moja tuu, Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya Tanzania yenye utawala wake wa ndani kama ilivyo Kwazulu Natal kwa Chief Mangosotho Buthelezi,
Kitendo cha kumsingizia uongo mtu aliyeko matatzoni ni kujichumia laana za bure bila wewe kujijua!.
P.
Uko shallow sanaSasa huu ni muungano wa aina gani mkuu? Kwani Rais wa Zanzibar ni kama Rais wa TFF? Sio kiongozi wa nchi? Nini maana ya neno NCHI?
What if muungano ukivunjika..kuna compasation yyte kutoka hyo nchi?tunapaswa kuoji kujengwa kitu binafsi
Sio kitu chochote cha Umma❗️ icho ni chako ww na kizazi chako watakuja kutumia siku moja kijengwa popote ndani ya Tanzania hufai kuchukia 👈
badala yake tunapaswa kuwashukuru viongozi kwa kutujengea icho kitu ni chetu
milele✍️
*MadaMaada tamu sana na ubalikiwe mteta maada
Kwa hiyo aliweka interpretation zake kwenye vitabu vya watu wasomi wengine
As long as ni mambo ya ndani ya Zanzibar, sisi hayatuhusu!, kitu alichofanya muungwana JK, ni kuwatambua viongozi wa SUK, akawatengenezea protokali yao, serikali ya JMT inaitambua SMZ, ila katiba ndio haiutambui ubatili uliofanywa na katiba ya Zanzibar ile 2010, katiba ya JMT bado linaitambua ile katiba ya Zanzibar ya 1984 iliyofutwa na toleo la 2010 ambalo hatulitambui!.Kama katiba ya JMT haiyatambui hayo mabadiliko ya katiba ya Zanzibar ina maana hata serikali yake iliyochaguliwa kupitia katiba ya 2010 si itakuwa batili kwa mujibu wa katiba ya JMT?
ameanza kuwa lecturer lini?ufafanuzi wa namna hiyo kautoa mara ngapi?mbona hakuwahi kukamatwa??Neno 'total surrender ' hukuliona kwenye kitabu?
Je, kama union ni total surrender ya mamlaka kutoka nchi huru mbili ama zaidi wewe unaona alitoa tafsiri yake au alifafanua kama definition ilivyo?
Nchi Iko sawa tu,isipokua yenu mliyopanga oktoba hayakutokea ndiyo mnaona haiko sawaKuanzia October 29 nchi hii haoko sawa
Tuamini tu kweli mhadhiri kakamatwa kwa hizo sababu ulizosema,japo hujatupa ushahidi wowote na umetumia neno 'inasemekana' kwenye taarifa yakoJe, kulingana na definition hiyo iliyomo kitabuni, unaweza kusema Tanzania is a union government or a federation? According to your flimsy clarification, Tanzania is neither a union nor a federation. Sasa kosa la mhadhiri ni lipi hadi akamatwe na kupewa kesi ya ugaidi na serikali yako ya CCM?
Kwani muungano ukivunjika wewe utapungukiwa nini mkuu? Utapata hasara gani?Nadhani ndivyo walivyokubaliana waasisi kulingana na hali zetu navyofikiri.
Maana muungano wetu ni replica ya ule wa UK.
UK wana articles of Union hata sisi tunazo.
Ila namna wanavyofanya mambo yao ni tofauti kidogo na sisi.
Mimi naona mfumo huu ni sawa tu kwakuwa ndio umesaidia kulinda Muungano mpaka sasa hivi.
Kama serikali ya Tanganyika ingekuwepo Muungano ingekuwa rahisi kuvunjika.