Well spokenAlitoa saa 48 eti kutafakari na kuangalia mwenendo na akiona vipi ataingia kutetea CHAMA CHAKE, elewa kutetea chama chake.
Je, kwanini asingewahimiza vijana wa BAVICHA kutetea chama chao kwa kugombea nafasi hiyo endapo anaona kuna hatari?
Ni lazima agombee yeye? Ikitokea ameshindwa, (NA ATASHINDWA) atatumia mbinu gani kukiokoa?
Hawez kushindwa, Labda kama Abdul hayupoAkishindwa ataaibika sana
Huyo Abdul ni nani?Hawez kushindwa, Labda kama Abdul hayupo
Mawazo ya ajabu sana haya! Kwa hiyo, Mh. Lissu hawezi kushinda, iwapo Mh. Mbowe naye akiwa mgombea? Kufunga goli, ni mpaka goli liwe tupu, yaani goli bila golikipa!?Alitoa saa 48 eti kutafakari na kuangalia mwenendo na akiona vipi ataingia kutetea CHAMA CHAKE, elewa kutetea chama chake.
Je, kwanini asingewahimiza vijana wa BAVICHA kutetea chama chao kwa kugombea nafasi hiyo endapo anaona kuna hatari?
Ni lazima agombee yeye? Ikitokea ameshindwa, (NA ATASHINDWA) atatumia mbinu gani kukiokoa?
Kwa hiyo yeye kama yeye hana chochote cha ku offer kwenye chama, ila anagombea kwa sababu tu kuna wadau wamemtaka agombee ?Baada ya kuombwa kugombea ndio kajipa muda wa kutafakari hayo aliyoyaeleza jana kwa maana asingeombwa kugombea asingepata muda wa kutafakari na kuona ulazima wa yeye kugombea?
Kamdomo kanaenda kumponza LissuLissu kaponzwa na mdomo, Mbowe asingegombea
Ameeleza sababu za yeye kugombea, kama sababu moja ametoa kwamba kuna mambo yameanzishwa na chama hivyo kwa akili ya kawaida huwezi tena kubadili makamanda njiani. Kwa hivyo lazima makamanda waendelee walewale.Kwa hiyo yeye kama yeye hana chochote cha ku offer kwenye chama, ila anagombea kwa sababu tu kuna wadau wamemtaka agombee ?
Mambo yameanzishwa pasipo wanachama kuyajua, hopeless.Ameeleza sababu za yeye kugombea, kama sababu moja ametoa kwamba kuna mambo yameanzishwa na chama hivyo kwa akili ya kawaida huwezi tena kubadili makamanda njiani. Kwa hivyo lazima makamanda waendelee walewale.
Kama Ayatollah Mbowe atagombea jua, IMEISHA HIYO!!Alitoa saa 48 eti kutafakari na kuangalia mwenendo na akiona vipi ataingia kutetea CHAMA CHAKE, elewa kutetea chama chake.
Je, kwanini asingewahimiza vijana wa BAVICHA kutetea chama chao kwa kugombea nafasi hiyo endapo anaona kuna hatari?
Ni lazima agombee yeye? Ikitokea ameshindwa, (NA ATASHINDWA) atatumia mbinu gani kukiokoa?
Acha porojo wewe kugombea ni haki ya kidemokrasia ya kikatiba ya kila mwanachademaAlitoa saa 48 eti kutafakari na kuangalia mwenendo na akiona vipi ataingia kutetea CHAMA CHAKE, elewa kutetea chama chake.