Pre GE2025 Kilichomsukuma Mbowe kugombea ni kumkomoa Tundu Lissu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Alitoa saa 48 eti kutafakari na kuangalia mwenendo na akiona vipi ataingia kutetea CHAMA CHAKE, elewa kutetea chama chake.

Je, kwanini asingewahimiza vijana wa BAVICHA kutetea chama chao kwa kugombea nafasi hiyo endapo anaona kuna hatari?

Ni lazima agombee yeye? Ikitokea ameshindwa, (NA ATASHINDWA) atatumia mbinu gani kukiokoa?
 
Mbowe ameng'ang'ania madaraka kwa miaka mingi mpaka kufikia kuamini kuwa CHADEMA ni ya kwake binafsi, na wengine wote ni wapangaji wake!!
 
We
Alitoa saa 48 eti kutafakari na kuangalia mwenendo na akiona vipi ataingia kutetea CHAMA CHAKE, elewa kutetea chama chake.

Je, kwanini asingewahimiza vijana wa BAVICHA kutetea chama chao kwa kugombea nafasi hiyo endapo anaona kuna hatari?

Ni lazima agombee yeye? Ikitokea ameshindwa, (NA ATASHINDWA) atatumia mbinu gani kukiokoa?
Well spoken
 
Baada ya kuombwa kugombea ndio kajipa muda wa kutafakari hayo aliyoyaeleza jana kwa maana asingeombwa kugombea asingepata muda wa kutafakari na kuona ulazima wa yeye kugombea?
 
Mawazo ya ajabu sana haya! Kwa hiyo, Mh. Lissu hawezi kushinda, iwapo Mh. Mbowe naye akiwa mgombea? Kufunga goli, ni mpaka goli liwe tupu, yaani goli bila golikipa!?
Aliyekuwa Spika Mzee Msekwa, naye hakutaka kuachia hiyo nafasi. Akaingia kwenye uchaguzi, na Mzee Sitta akashinda!
Mpigieni kampeni. Hubirini mazuri yake na kuyapamba, semeni mabaya na udhaifu wa mpinzani wake, na sio matusi na hizi kejeri tunazozisikia. Kama wewe ni mpiga kura, siku ya uchaguzi, kampigie hiyo kura yako! Hizi blah blah mitandaoni na kwenye vijiwe, hazitamsaidia kabisa!
 
Baada ya kuombwa kugombea ndio kajipa muda wa kutafakari hayo aliyoyaeleza jana kwa maana asingeombwa kugombea asingepata muda wa kutafakari na kuona ulazima wa yeye kugombea?
Kwa hiyo yeye kama yeye hana chochote cha ku offer kwenye chama, ila anagombea kwa sababu tu kuna wadau wamemtaka agombee ?
 
Mnajiita chama cha Demokrasia ila hamtaki Mbowe kugombea. Uzeni sera za Lissu ili amshinde Mbowe.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kwa hiyo yeye kama yeye hana chochote cha ku offer kwenye chama, ila anagombea kwa sababu tu kuna wadau wamemtaka agombee ?
Ameeleza sababu za yeye kugombea, kama sababu moja ametoa kwamba kuna mambo yameanzishwa na chama hivyo kwa akili ya kawaida huwezi tena kubadili makamanda njiani. Kwa hivyo lazima makamanda waendelee walewale.
 
Mambo yameanzishwa pasipo wanachama kuyajua, hopeless.
 
Alitoa saa 48 eti kutafakari na kuangalia mwenendo na akiona vipi ataingia kutetea CHAMA CHAKE, elewa kutetea chama chake.

Je, kwanini asingewahimiza vijana wa BAVICHA kutetea chama chao kwa kugombea nafasi hiyo endapo anaona kuna hatari?

Ni lazima agombee yeye? Ikitokea ameshindwa, (NA ATASHINDWA) atatumia mbinu gani kukiokoa?
Kama Ayatollah Mbowe atagombea jua, IMEISHA HIYO!!
 
Alitoa saa 48 eti kutafakari na kuangalia mwenendo na akiona vipi ataingia kutetea CHAMA CHAKE, elewa kutetea chama chake.

Je, kwanini asingewahimiza vijana wa BAVICHA kutetea chama chao kwa kugombea nafasi hiyo endapo anaona kuna hatari?

Ni lazima agombee yeye? Ikitokea ameshindwa, (NA ATASHINDWA) atatumia mbinu gani kukiokoa?
Acha porojo wewe kugombea ni haki ya kidemokrasia ya kikatiba ya kila mwanachadema

Hakuna mwenye monopoly ya kusema lazims agombee yeye tu awe Lisu au Mbowe au yeyote

Ni haki ya mwanachama yeyote akiwemo Lisu na Mbowe nk

Hakuna cha ohhh mtu fulani anagombea kumkomoa fulani acha huo ujinga wako na utoto .
 
Back
Top Bottom