kaka pole sana fuatilia niliko toka naye ndio utaelewa imekuwaje
pia sina maana get rech fast ila nina maana ukielewa biashara yako nirahisi kujua namna gani unaweza kudoble faida,
nimecheza na forex miaka minne, mtaji total ilikuwa ni usd 800,
within miaka minne total withdraw 6350 huku aiwa amekula zaidi ya hiyo niliyotoa ila naona nimamake profit sababu sijawahi deposit zaidi ya hiyo niliotoa 800.
soma vyema hoja yangu utanielewa, pia sikusema neno langu ni sheria, shida ya huyo jamaa anataka aweke neno lake ni sheria.
pia zaidi ya yote mnaitetea forex huku mkiwa mmeshindwa kujibu maswali yangu kiufasaha.
above all kila mtu huvumilia biashara fulani kwa kuzingatia malengo yake yaliyo mbele,
ukiwa unawazo la kujenga tu kakibanda kadogo kakuishi hata kuuza sambusa inakufaa tu, lakini ukiwa na wazo la kumiliki real estate lazima utabadirika katika utendaji wa biashara zako.
mmoja anapowaza ndani ya miaka mitano awe sehemu fulani basi kimawazo na jitihada atakuwa tofauti na anayeweza siku yoyote atafanikiwa .
soma tena andiko langu utanielewa sio mnapinga pinga tu