kwa nini mpende ukitonga wa hela nyepesi umekaa zenyewe zinakuja???
Nakuhurumia hujui unachokiongea ni Nini mkuu. Hakuna hela nyepesi popote. Na Tena katika trading Kuna ugumu ingawa kwa nje inaonekana Kama ni kubonyeza cursor tu hela inaingia.
Yaani hii no ngumu Sana na ukiingia unajua ni hela nyepesi utaishia kulia.
Lazima uwe tayari kujifunza minimum five years na sio guarantee ya kutusua.
Iko Ivi trading and investing in financial instruments is career like any other career.
Unajua lawyer anasotea miaka mingapi mpaka anapata mhuri wake ama mhasibu kupata CPA.
Ama unadhani aliangalia YouTube videos,akasoma PDF kadhaa.
Yaani hii ni taaluma na Tena ni ngumu.
Sema watu wanaowapa watu wanawaaminisha kuwa ni nyepesi haiko ivyo.
Lazima uwe ni passion yako,uwe na burning desire from your heart.
Lazima ukipende kitu,ni sawa mtu kuwa mwanamziki,mcheza gofu,athletes ama base baller ,kicker boxer ama ulijua alilala siku moja akaamka akajikuta tayari amefanikiwa,
You've to have Michael Jordan talent,Line Bryant,Tiger wood,Anord Shwaznerger.
Ku achieve heavy performance endeavor ni kazi Sana.
Kila mtu anataka kwenda mbunguni Ila hakuna anayetaka kufa, kila mtu anataka kuwa champion Ila hakuna anayetaka kupiga njia ya champion.
Acheni msiwe mnaongea vitu ambavyo hamjui undani wake jamani.
So hata kununua mpunga nahifadhi afu Bei ikikua niiuze nayo sio kazi.
Mbona unaweza ukanunua yen ya mjapan ukakaa nayo afu ikipanda thamani dhidi ya dola ya mmarekani ama Tzs unaiuza.
Kama unaona digital haikufai fanya manual tu Wala hakuna shida.
Ama nanunua share za koka value ikipanda share zangu ziko more valuable.
Pia kumbuka biashara Ina pande mbili.
Mwaka 1996 USD 1 =600Tzs Kuna mganda nilimuuziaga sabuni ya protex mbili akanipa 1$ kila sabuni sh 600 nikachenji afu nikapata hela yetu ya TZs.
Wwe nunua Rand ya sauzi kaa nayo afu ikipanda unauza si utapata hela nyingi Sana.
Hii makitu bana achana nayo.
Jamani nahitaji kuwa professional surgeon,Soma vitabu, hudhuria weekend courses,watch YouTube videos about surgery,baada ya miezi 6 utakuwa mtalaamu utakuwa unatafutwa.
Does it sense.
Hata maduka ya kuuza pesa za kigeni huyaoni.
Ukishakatwa na nyoka Jani likikugusa tu lazima uruke.
Mkuu ni wengi wanatamani wawe juu Ila sio wote.
Be ready kwa ilo ni maisha Kama maisha mengine uliyozea.
So mpunga usipopanda nakula hasara unakubaliana namie.
Kama Nina pesa nyingi nasubiria mpaka msimu utatokea ukame utapanda nitauza.
So fanya hii Kama inakufaa.
Waweza Leta ndizi zako tokea karagwe unafika sokoni fuso Kama Mia lazima ukatike mtaji upende usipende.
Ukijikuta ni wewe alone capital yako itaenda hata 5 times ama ni uwongo.
Sema Kama umekariri manual komaa.
Crypto zilipokuja walizikataa saivi iko kitu $50k+ Ila hapo 2007/8 ilikuwa Bei gani unajua.
Your homework