KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,320
- Thread starter
-
- #181
haujaelewa mada yangu ndugu na haujaelewa kapuku ni naniMakapuku si ndio kama huyu mleta mada analia lia...... hajui maana ya consistent hajui risk management..... anyway am busy nasubiri NFP badae saa tisa na nusu
unapoweka lot size kubwa mtaji ukiwa mdogo tafasiri yake nikwamba unauhakika na soko lako,FX ni hesabu..... huwezi uka inverst dola 200 ukaweka lot size ya 10x3 or 10x2 hayo ni makosa makubwa ukiwa na dola 200 target profit ya dola 3 mpaka 4......kwa lot size ya0. 01x3 or 0.01x4...
Hata market ikienda against ww unakuwa na loss ya 4 USD unaweka dola 200 unataka kesho upate dola 400 utajiri wa haraka haraka upuuzi....
Ukiweka lot size kubwa mtaji mdogo hapo unakuwa unafanya gambling
Kuwa Broker ni mtaji mkubwa hao ma broker wanatred vile vile.....unapoweka lot size kubwa mtaji ukiwa mdogo tafasiri yake nikwamba unauhakika na soko lako,
sasa kama unauhakika nasoko na bado mtu anakupangia namna yakwenda na soko hakuna maana yakuwa na elimu,
elimu nikwamba usome uelewe ujitambue na uweze kujiongoza katika maamuzi,
but why forex huwezi kaa ukajiongoza hata kama una elimu nzito? mwisho wasiku unaendelea tena kusimawi vilevile wala hauna uhakika wakumake profit hata kidogo,
nipe sababu za msingi za hao profitable trader kukimbilia kuwa brokers ikiwa ukiwa trader still unamake profit kubwa tu
Yaani unavyoongea unajivua nguo jinsi ambavyo bado hujaelewa what's trading and life is all about mdogo wangu.hilo ndio tatizo la forex
kwanini useme mtu anakuwa na hofu au anakuwa haraka yakupata pesa?
kama unaweza ukawa unachambua soko na ukawa na sababu yakukuonyesha kuwa hili soko sahihi kwanini usiweke lot kubwa na ukapiga mapesa?
ninachokielewa ni hiki unaweka bima sababu hauna uhakika wakupata faida , unapewa tahadhari vhungu nzima sababu unakuwa hauna uhakika wakupiga pesa namna hiyo,
nimetenga miaka minne nadeal na forex moja kwa moja na sikuwa mfanyakazi wa mahali popote mimi kijana wa nyumbani tu hivyo nakuwa na muda mwingi wakujisomea na kuongeza ujuzi
but mwisho wasiku inakuwa shida sababu there is no any mechanism of profit na biashara ikiwa hivyo tayari sio biashara kabisa hata kidogo ndio maana kaika forex huwezi fanya your ways sababu huwezi kuelewa kitu ambacho hakipo katika uhalisia,
hela yakwako elimu ya kwako ujuzi wakwako lakini bado haupaswi kupigana kwa kanuni zako.
usipokielewa hiki nimekiandika hapo juu, jua kuna shida kubwa inakukabili mbele yako juu ya maamuzi sahihi ya maisha,
neno langu sio sheria ila walau jitahidi basi kuelewa kwanini huyu mwizi kaiba kabla haujaua, unaweza kushangaa sana ukielewa sababu
Yes ni mweupe na anajiabisha pia.anakomaa na eti uweke lot size kubwa Mana kisa una uhakika.Kuwa Broker ni mtaji mkubwa hao ma broker wanatred vile vile.....
Alafu nimegundua ww ni mweupe kabisa kwenye FX.......
Currency value can change every minute huwezi kuwa 100 percent sure.....
ndio maana lazima uzingatie risk management....
Afu Ras Jeff wewe sio kuwa ndiye Ontario kweli jamani.Kuwa Broker ni mtaji mkubwa hao ma broker wanatred vile vile.....
Alafu nimegundua ww ni mweupe kabisa kwenye FX.......
Currency value can change every minute huwezi kuwa 100 percent sure.....
ndio maana lazima uzingatie risk management....
Mkuu yaani suala la muda uliowekeza sio guarantee. Practice make permanent but right practice makes perfect bear it in mind.nimetenga miaka minne nadeal na forex moja kwa moja na sikuwa mfanyakazi wa mahali popote mimi kijana wa nyumbani tu hivyo nakuwa na muda mwingi wakujisomea na kuongeza ujuzi
Hapa ndo panapokusumbua.point ya mafanikio na kutofanikiwa ni ndogo Sana. Ile wanasema a thin layer.hili soko sahihi k
Hujui kitu ww.....kauze utumbo au maandazi FX haikufai market itakuwa ilikufua kweli kaa pembeni acha wanaume tufanye kazihaujaelewa mada yangu ndugu na haujaelewa kapuku ni nani
house always win usipoelewa kanuni bado utaendelea kupigwa always, utavumilia na kupoteza muda utakuja kuamka ukiwa umekwisha chelewa
Wenyewe wanakwambia Forex is not for everyone.inaendelea tuuu
Alafu ulikuwa "unacheza forex" ndio maana ukakimbia pole sana mkuukaka pole sana fuatilia niliko toka naye ndio utaelewa imekuwaje
pia sina maana get rech fast ila nina maana ukielewa biashara yako nirahisi kujua namna gani unaweza kudoble faida,
nimecheza na forex miaka minne, mtaji total ilikuwa ni usd 800,
within miaka minne total withdraw 6350 huku aiwa amekula zaidi ya hiyo niliyotoa ila naona nimamake profit sababu sijawahi deposit zaidi ya hiyo niliotoa 800.
soma vyema hoja yangu utanielewa, pia sikusema neno langu ni sheria, shida ya huyo jamaa anataka aweke neno lake ni sheria.
pia zaidi ya yote mnaitetea forex huku mkiwa mmeshindwa kujibu maswali yangu kiufasaha.
above all kila mtu huvumilia biashara fulani kwa kuzingatia malengo yake yaliyo mbele,
ukiwa unawazo la kujenga tu kakibanda kadogo kakuishi hata kuuza sambusa inakufaa tu, lakini ukiwa na wazo la kumiliki real estate lazima utabadirika katika utendaji wa biashara zako.
mmoja anapowaza ndani ya miaka mitano awe sehemu fulani basi kimawazo na jitihada atakuwa tofauti na anayeweza siku yoyote atafanikiwa .
soma tena andiko langu utanielewa sio mnapinga pinga tu
tatizo nao matrader wengi wanapiga mboyoyo huko telegram. Mara signal, mara mentorship mpka unajiuliza wana roho gani ya namna ya kusaidia wengine namna hiyo .Wenyewe wanakwambia Forex is not for everyone.
Ngojea porojo na screenshot za profit toka Kwa Forex "professional traders" WA tz.
tunataka miala ya kutoa kutoka benki, mpesa, hizi porojo za demo sio sawa weka vidhibitiNgoja tuendelee na huu "utopolo"View attachment 1922883
Mbona hii kila mtu anaposti mkuu. Hebu post hela imetoka kwako imeenda kwa broker. Na imetoka kwa broker ikaja kwako kwa Mana ya kuwa umepiga hela
Hata mi nimemgundua jamaa ni mweupe kabsa kapuku uanzishe brokerage y fx utakua uongo ni yy aliamua kuexpand wigoKuwa Broker ni mtaji mkubwa hao ma broker wanatred vile vile.....
Alafu nimegundua ww ni mweupe kabisa kwenye FX.......
Currency value can change every minute huwezi kuwa 100 percent sure.....
ndio maana lazima uzingatie risk management....
That's according to you. Hata mimi naweza sema kulima tikiti is far better than sport betting. Not everything is for everyone. Do what you can afford to do.Sports betting is far better than forex..
Ngonjera tupu. Don't pretend that you know things better than others. Leave alone those who are still trading forex. Remember NOT EVERYTHING IS FOR EVERY ONE. FIND WHAT YOU CAN AFFORD TO DO BETTER.hilo ndio tatizo la forex