Kilichonifanya niachane na forex ni hiki hapa

Ngonjera tupu. Don't pretend that you know things better than others. Leave alone those who are still trading forex. Remember NOT EVERYTHING IS FOR EVERY ONE. FIND WHAT YOU CAN AFFORD TO DO BETTER.
acha upuuzi wewe nimesema neno langu sio sheria hayo ninmaamuzi yangu na sababu zangu sasa ngonjera zinatoka wapi?
inauma ukweli mkiambiwa ama?
 
Hujui kitu ww.....kauze utumbo au maandazi FX haikufai market itakuwa ilikufua kweli kaa pembeni acha wanaume tufanye kazi
kwahiyo mwenzetu unasubiria kujenga gorofa na forex au sio? na wakat huohuo unaendelea kukomaa na maisha mengine
#nonsense
 
we don't have perfect analysis, we have basic rules
 
ukiwa na maarifa mengi inawezekana kukuza 10usd to 500usd, kwa muda mfupi with both high and low lot size, ukiwa na maarifa madogo ni vyema ukaingia ukiwa na capital kubwaa coz ni rahisi kuhandle negative pips nyingi kuliko ukiwa na low capital
 
 
haujaelewa mada yangu ndugu na haujaelewa kapuku ni nani
house always win usipoelewa kanuni bado utaendelea kupigwa always, utavumilia na kupoteza muda utakuja kuamka ukiwa umekwisha chelewa
Hujui kitu ww.....kauze utumbo au maandazi FX
kwahiyo mwenzetu unasubiria kujenga gorofa na forex au sio? na wakat huohuo unaendelea kukomaa na maisha mengine
#nonsense
Mimi nafanya kazi at the same time nina trade...
you got that! haya mambo kama yamekupitia kushoto acha usilazimishe wengine wakufuate ww looser.......
waachie wengine wanaojua.....
usije pasuka mkyundu wote
 
uko sahihi mzee mwanaume aliyewekewa limbwata na mke wake hawezi kujitambua hasilani,

biashara usiyoilewa hasara yake huwezi kujua unapoteza nini,

laiti ungejua thamani ya muda huwezwa kuthaminishwa na uwezo wa kufikiri basi ungejitambua pia.

samaki havuliwi feli mzee huyo hununuliwa jifunze kuelewa nyavu na bahari yako kabla haujajiona wewe ndio mvuvi hodari
 
Jana hiyo ww kiazi.....
watu tumetengeneza profit kama kawa kama dawa

 
Aiseee umeharisha kinoma !
 
Mkuu acha usanii weka transaction hizo kila mtu anaweza
Transaction kama hii ya jana au!?
ukiona huwezi unapita vile sipo hapa kwa ajili ya kushawishi yyte.....
nilitaka kumjibu huyo kilaza hapo juu kuna watu wanaweza

 
We endelea kukariri maisha tu uone wanao watakqvyo kuja kukushangaa uko mbeleni, alafu alekuambia fx Kuna pesa rahis Nani who told you hahaha unakesha usiku mzima kusubir confirmation ,unafikir no ku click tu so Kila mtu Angelia na lambo mjini hapa, fx sio kwa watu wenye roho laini laini hivi we unaweza endelea kuwa normal ilihali asubuh tu umetoka Kila loss ya 2000$+ mi nakumbuka sometime unapata had homa unalal mud huo huo fx is simple money in harsh way. Ila ukishamaster aisee fx ni tamu Sana Sana tu Ila msoto lazima
 

Kila biashara haiwezi kwenda vile unavyotaka, maana kuna ushindani ata huko forex lazima uwepo baina ya wauzaji na wanunuzi. Kikubwa ukikiheshimu unachofanya kitakupa faida ata baada ya mwaka, miaka. Ngoja sisi tuendelee kuuza tofali tuu

Unatumia bank gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…