Kilichonifanya niachane na forex ni hiki hapa

Your browser is not able to display this video.

LaZima uwe na ambitious na kitu. Mbona demu mtu anasotea miaka tulivyokuwa vijaana wabalehe.
Akikumwagia hata maji ya ukoko unakomaa naye haumuachi.
Unaenda kumsubiria muda wa kutumwa sokoni unaye.
Hata akikuweka masaa name unamvumilia na njaa yako.akija akikuuliza vipi nimekuweka dia ama ,unajibu Wala hujachelewa.
That's real your ambition,dream girl uko tayari kumfia ama ni uwongo.

So why don't you die for your dream.
Na dream yako sio lazima uachieve Ila hata usipoachieve uzeeni utakuwa na amani kuwa ulipigania ndoto zako sema haukufanikisha.
Mbona mtu anadisco fourth hapo CoET udsm jamani.

Haitakiwi uwe mwoga sio kuwa ni kanuni ukikomaa utafanikisha hapana.

Mambo mengine ni beyond our human capabilities.

Kwani wanaoifanya biashara ama wasomi wanatoboa wote wengine wanaishia kulisha watt na kuwasomesha za bure. But still is life
 
Huyu jamaaa alieandika huu Uzi kanichekesha sana ila so mbaya kila MTU ana haki ya kutoa anachofikiri .Sema tatizo lako na Forex lilianza ulipowaza "kutengeneza mabillionea kumi kwenye ukoo wako kupitia Forex",labda nachoweza kusema Mimi Forex is a real business with great rewards as well as great risky .RISKY MANAGEMENT IS EVERY THING
 
akalime au akafanye biashara zingine nafasi bado ipo ya kuzalisha mabilionea kumi kwenye ukoo
 

Imagination kwa warren buffet znakusaidia nn wewe jamaa? Watu wa forex alie waroga nadhani anawacheka sana huko motoni alipo. Kuna mmoja kareply hapo juu kaandika mkeka mref hata nmeona uvivu kuusoma. Wewe fanya makeke yako hela hizo za forex zihame zije benki , zije Mpesa yako ukazitoe... uvimbe nazo tukuheshim shida iko wapi? Mambo ya cardless hayo unapata wapi ujasiri wa kuvimba na cardless na huna amount kwenye account??
 
issue sio kutrade tuuu ila issue nikwamba je itakufikisha kwenye malengooo?
muhimu iashara iwe inaweza kukua, sasa ukiwa na biashara ambayo haijarishi umeielewa kiasi gani bado hauna uhakika wa faida kipengele tayari hicho

Bro ingia kwenye cryptocurrency na stock market hautajuta lakini ushauri wangu. Jifunze na ujiridhishe ndio uanze ku investing, hautajuta utanikumbuka kwa huu ushauri wangu. Nilisoma nyuzi za Ontario tokea 2015 sijawahi kukubaliana na forex mpaka hii leo


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Experience is an edge. Hizi kazi za kawaida ama hizo fani hapo juu pamoja na kusoma miaka iyo yote bado wanazitangaza wakiweka uzoefu Kama kigezo.
Ila trading or investigating mtu anaona Kama ni kamari ni suala tu kusema head/tail.

Listen everybody gets what wants out of market. If you want to trade like gambling,if you want to a house aka casino is possible,if you want to trade for excitement, thrills or doing your impulsive trading is possible.

Trading is hard this hardest is in our mind.
Trading is life, trading inaendana na scripture za Bible kuwa usihangaikie ya kesho Wala Jana Bali itazame Leo yako.
Be at present ,be at this moment.
 
You've to hustle than what you're thinking what it would be.
I thought it was easy money on table.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…