Kilichonifanya niachane na forex ni hiki hapa

Agiza mirinda nyeusi ya baridi au pepsi big nakuja kulipia mzeee
umemaliza kila kitu ila bado wabishi tuuu
Kwa jinsi nilivyo siwezi fanya biashara kwa myaka minne nikiwa napata hasara tu bila kuiyacha iyo biashara mahna akili yangu iko faster Sana kua na plan B .. iyo forex mnayo sema Kuna jamaa yangu anakomaa nayo ila mwisho wasiku anachokijua nikupiga watu mizinga kitaa .. . Sisemi Ni mbaya ila Maisha nimafupi na time is money .. unaisoma for 4 years una practice for more than 2 years unaingiza pesa yako na bado unaliwa mbaya .. huu si mchezo wa bahati na sibu ? Exactly Ni Bonanza kabisa Sasa Kama moja ya vigezo vya brokers nikua na sifa za utapeli so WTF is going on here [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na bado utatamani uingie ibadani ? Kwa uwelewa wangu mdogo iyo forex inafaa ucheze ukiwa tajiri ili Kama utafaidika Bas na upige mpunga zaidi .. na siyo kua Hood Hustler et utegemee ku win utachoma myaka na myaka .. acheni izi story za eti fulani anagorofa Ana magari kupitia hii issue unauwakika gani kua Ni iyo iyo issue , Unafaamu asili yake ukoo wake life style yake elimu yake Imani yake ? Acheni izo Mambo kitu Kama huoni faida yake for years .. kwanini uendelee kuchoma myaka akati Dem wako akizengua kwa siku moja tu unapiga chini why kwenye forex ? it means mko addicted fr fr [emoji16]
 
tulia mtoto mzuri wewe.
 
People don't like to hear that successful trading requires time, dedication to the craft, and some deeply personal work.

What sells better are discourses that appeal to people's short-term inclinations.
 
Over the years, I have found that trading isn't necessarily about what you know.


It's about how you behave.


And behavior is hard to teach, even to really smart people.Especially if you are stubborn, it is even worse. We should accept that, things are not always how we think about them. We should adapt ourselves to new ideas.


After all, its not the most stronger who survives, its the most adaptable!You can teach behavior, but it takes a disciplined mind to enforce it.
Behavior is based on “what you know.” Human beings act in accordance with what they think and believe. Behavior is subservient to programming which is instilled through decisive thought. What we choose to believe about ourselves and the world around us determines our behavior.
 
The thing with trading is that once you've earned your mastery, you have it. A bit like swimming or driving.

And you could take a hit someday (vicissitudes are a reality of life) but you'd still have the skills to rebuild everything in record time.

That's the beauty of it.
 

Sema Mi nmependa sana hiyo term yako ya "Myaka" kwamba unamaanisha miaka au sio?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila umeandika message nzuri safi sana na inaeleweka...naungana na wewe budda[emoji120] well said
 
If you can't do it ,it doesn't mean it can't be done . Tulia lima migomba kwa wingi utapata zote ni njia za kuhastle
 

Equity Bank
 
If you can't do it ,it doesn't mean it can't be done . Tulia lima migomba kwa wingi utapata zote ni njia za kuhastle
Sijasema it can't be done .. u can absolutely make it if u play smart .. now my issue z to those who wanna succeed through it but there an't any sign for them to win .. why shouldn't they try something else than spending a lot of time on the same hard sh*t ..? kumiliki mashamba was one of my dream now it's time to make it possible .. forex is good .. but isiwe sababu yakuto kufanya vituvingine Kama unauwezo .. ukitegemea kitu kimoja tu siku kikikuzingua utarudi kweny umande bila kutarajia .. Kuna watu Wana ma office ma kubwa tu town apa .. ila utakuta pia Wana ma ng'ombe .. Wana mashamba wengine Wana majumba yakupangisha .. etc .. to be rich needs to do more than one thing..

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
If you can't do it ,it doesn't mean it can't be done . Tulia lima migomba kwa wingi utapata zote ni njia za kuhastle
then those who can't do when they talk usiwaingilie usipokuwa na uhakika wa utofauti wa matokeo yako.
unafanya kama walokole tu yaani wanahubiri mungu anahuruma ila hawaendi kuwaombea wenye shida kweli wapate huruma hiyo
ha ha ha ha ha
 
Tajiri Kichwa kweli sio kila biashara inaweza kuwa vile unavyotaka,
ila hakuna biashara isiyokuwa na uhakika wa hesabu ya faida,
hata kama isipofikia malengo ila faida hesabu yake huonekana na kuwa wazi kabisa,
 
we ni pimbi
biashara gani ufaidike baada ya 20years kama sio kichaa
 
we ni pimbi
biashara gani ufaidike baada ya 20years kama sio kichaa
Wewe ni bonge la Genius mkuu. Hukutakiwa kuzaliwa Afrika ndugu
Yaani una akili kinouma nadhani hata simu unayoitumia umeitengeneza mwenyewe. Acha vichaa na wajinga tujazane ujinga wewe fanya vya kijanja mkuu na waerevu wenzako.
 
then those who can't do when they talk usiwaingilie usipokuwa na uhakika wa utofauti wa matokeo yako.
unafanya kama walokole tu yaani wanahubiri mungu anahuruma ila hawaendi kuwaombea wenye shida kweli wapate huruma hiyo
ha ha ha ha ha
Kama imekushinda tulia unawavunja morali wanaoanza
 
Nawajua watu wanaishi kwa forex tu na hawapo hata huko insta wala kujionyesha wewe kama imekushinda kama mimi kaa kwa kutulia mkuu [emoji23]sio kwa ajili yetu.
Nawaza kwa sauti, "Inachukua muda gani kujua kama forex imekushinda, maana nina miaka 3 kwenye hii biashara ila nakula za uso sana tena sanaa licha kuwa maarifa na uzoefu juu ya Forex...
 
Nawaza kwa sauti, "Inachukua muda gani kujua kama forex imekushinda, maana nina miaka 3 kwenye hii biashara ila nakula za uso sana tena sanaa licha kuwa maarifa na uzoefu juu ya Forex...
Kushindwa kutrade forex kwa mafanikio siyo suala la muda gani umetumia kwenye forex bali kushindwa kutrade forex profitably and consistently ni zao la kutokuwa na 1. Trading plan na hivyo kuifanya forex kuwa kama gambling machine (REMEMBER: If you fail to plan, you are planning to fail) 2. Elimu na ufahamu shahihi na wa kutosha kuhusu forex 3. Trading strategy yako mwenyewe na ambayo umeitest na kuprove kwamba ina win ratio kubwa. KWANGU MIMI UKIKOSA MOJAWAPO YA HAYO AU YOTE BASI WEWE NENDA TU KACHIMBE CHUMVI UVINZA.
 
Asante sana kwa hints kiongozi, nazifanyia kazi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…