Kilichonifanya niachane na forex ni hiki hapa

Umefunga thread mkuu. Wabongo sijui tutafungua lini vichwa asee yani bado tupo karne ya 19 hahhaa kuna madogo wanapiga mpunga mrefu kwa hizi mambo sasa akiambiwa mambo ya NFT si atakimbilia kijijini.
 
Umeiva baba hata sijui nikupe nyota ngapi. Kama jeshini ni cheo Cha mwisho kabisa.
Mwambie jamaa nishawahi wahi tuma hela home from Russia like $4k so huku mpokeaji akapatA Tzs .
Benki wao wanazipokea Kama USD Ila wananunua kwa rate ya chini wanakupa shilling
 
aisee nimenunua sana course hizo,
kwa ufupi niliwekeza muda pamoja na fedha niweze kutoboa ila nimegungua huko nikupoteza muda ukija kuelewa tayari kumekucha
Hapo kwenye kununua kozi na kuwalipa mentors ulipgwa. Mbona kila kitu kipo online.
Pia hii kitu kukomaa huwezi komaa Kama ulitoka shule zile za spoon feeding.
 
Mkuu mpaka na wish nikupe bia mbili ama kuku choma ama sato choma mzima.
Ila umemaliza.
Kijana anatakiwa afikirie kuwa trader for 20yrs to come.
Wengi hapa patience huwa hawawezi.

FOREX & CURRENCIES TRADING FOREX TRADING STRATEGY & EDUCATION

Interbank Market​


By
ADAM HAYES

Updated Jun 9, 2021

What Is the Interbank Market?​

The interbank market is a global network utilized by financial institutions to trade currencies and other currency derivatives directly between themselves. While some interbank trading is done by banks on behalf of large customers, most interbank trading is proprietary, meaning that it takes place on behalf of the banks' own accounts. Banks use the interbank market to manage their own exchange rate and interest rate risk as well as to take speculative positions based on research.

The interbank market is a subset of the interdealer market, which is an over-the-counter (OTC) venue where financial institutions can trade a variety of asset classes among one another and on behalf of their clients, often facilitated by interdealer brokers (IDBs).
 
Mkuu umeandika kwa uchungu sana, shida sisiwatanzania tunakurupuka wakati wa kufanya kitu
 
mbona Sir.brev, Imack king wameweza kila siku wanatembea dunia kwa denge, bado nakiburi 100% mungu nisaidie nisikate tamaa, bado sanaa may be 4 years mbeleni, japo nafeli kuna watu wanafaulu kama wanafaulu kumbe inawezeka licha ya mimi kufeli.
najua kusoma na kuandika lazima nitafika tu









 
Umenikomboa kifikra mzee,,, nmezkubali hizi scenarios
 
Umenikomboa kifikra mzee,, nmezkubali hizi scenarios
 
Nadhani hiyo haikuwa hoja...hoja ilikuwa whether forex market ni real au ni scam? Yes kuna forex traders nchini ambao ni successful na wapo wanaopata losses.

Suala la kuwafahamu au kutowafahamu haimaanishi kuwa hao watu hawapo.
I know forex is real ila ni wangapi wanaofaidika nayo ukilinganisha na wanaofeli nayo
 
Hapo kwenye kununua kozi na kuwalipa mentors ulipgwa. Mbona kila kitu kipo online.
Pia hii kitu kukomaa huwezi komaa Kama ulitoka shule zile za spoon feeding.
nikweli nilianza kwanza online tu ila ilifikia mahali nahitaji nondo fulani iliyochambuliwa vyema na yenye ushibe basi ndio nikajikuta nakuwa nalipia hizo material,
lakini pia baadhi nilizinunua ili niweze kujua wale wanaouza wameweka mambo gani ya ziada nk
hao mentor hawakuwa walimu wa kukaa nao darasani lakini ilikuwa nikwamba nakaa naye kama lisaa limoja ama mawili nakuwa na maswali yangu kama mjadala naye then nampooza kidogo tu natembea
so ndio kama hivyo tu
 
Forex Ipo kichwani mwako. To study forex is study oneself.
 
Umefunga thread mkuu. Wabongo sijui tutafungua lini vichwa asee yani bado tupo karne ya 19 hahhaa kuna madogo wanapiga mpunga mrefu kwa hizi mambo sasa akiambiwa mambo ya NFT si atakimbilia kijijini.
Naam mkuu...nikisoma uzi wa huyu mdau na updates alizoongeza unaona kabisa kuwa mwamba aliamua kuacha Forex akiwa hajaifahamu vyema. Lakini anai attack as if yeye alifikia level za pro trader. Kama angefikia level hizo asingeikimbia forex.

Mtu anauliza kuwa kwanini mtu anaamua kufungua brokerage firm kama yeye ni successful trader? Kweli? Anasahau kuwa a brokerage company nayo ni biashara kama biashara zingine...so anayefungua this kind of company ameingia kwenye business in financial sector na ana make profits.

Ni sawa na insurance brokers companies...hawa kazi yao ni kupeleka order zetu za ku buy na ku sell sokoni. Same as forex broker..anapeleka order za wateja wake sokoni.

Jamaa anasema pia kwa vile forex ni virtual money so haijulikani nani anayezimiliki au kuzi control na pia ni easy kui-trace physical money than virtual currency....leo hii mtu akinilipa kwa dollar ambayo ni physical nikawa nayo mfukoni...federal bank ya Marekani watajua kuwa mimi nina currency yao? Dollar wanazo hadi wale magaidi na makundi ya waasi.

Au nilipwe hata kwa pesa ya madafu...nikiamua kukaa nazo ndani hata kwa 6 months...no one will know kuwa nina hizo pesa mpaka nizirudishe kwenye mzunguko kwa kununua huduma au bidhaa.

Hakuna single entity inayo control forex market...hii ni global market. Ni kama internet tu, no single entity duniani inayomiliki internet exclusively. Internet inamilikiwa na kila mtu/taasisi iliyosehemu ya network hii.

Hizo mambo za NFT naona nazo anaweza kusema ni utapeli...unless aambiwe akaangalie kwa Messi alitangaza NFT zake majuzi hapa...blockchain technology inaleta innovations mpya ambazo ni future ya dunia hii...
 
Huyu Jamaa anauliza kwanni ni profitable trader halafu unafungua brokerage firm, yaani ni kama aulize kwanini ni mwalimu na unafundisha halafu ufungue shule uajiri walimu wengine wakafundishe kwenye shule yako.

Kwani kuna ubaya gani mtu kuwa na more than one source of income streams?
 
Dogo usiwe unafuatilia hao jamaa Sina ninaye interact naye inst Ila hao no wahuni na wanafeki Sana maisha.
Ngoja nikuulize kitu mie siwajui hao Ila Tabia zao nazijua. Huwa hakuna kozi wanazouza ama sijui signals or something like training or lifetime mentorship, or account management.
Huku anajionyesha hela nyingi .hizo dola zinanunuliwaga Alibaba nikuambie hata wewe ukitaka unanunua. Yaani ukilipa dola Mia unapewa dola alfu kumi.ndo unakuja kufanyia mauzo.
Ukitaka umkamate mwambie akuonyeshe withdraw from his account na sms Ile ya benki utamuona mapovu.
Wapo wanaotredi demo Tena yenye real badge ama cent account wanavuta wenye greed wanapigwa.
Haujiulizi mtu anameki $100k plus afu anakuaambia kuwa umlipe 30-60$ ili ujiunge na kozi yake.
Soma vitabu dogo nadhani uko vizuri endelea kukomaa. Think for 20 yrs from now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…