Kilichonifanya niachane na forex ni hiki hapa

Kilichonifanya niachane na forex ni hiki hapa

there is no perfect analysis but there is basic rules mtu utamkuta anafocus ktk lower tf bila kujua monthly chart imeelemea wapi,
Soma vyema sana hii kauli yako na ujiulize swali moja la muhimu sana kwanini kanuni iliyoaminika kukupa faida haina uhakika wakukupa achambuzi ulio yakinifu?

yaani unakubaliana naukweli halafu unaukataa tena ukweli
 
Hata darasan hamfaulu wote pambania kombe mzee wanalfaul wapo wanaofel wapo pia
shida sio wote wanafaulu shida nikwamba unafaulu halafu hauna uhakika wa kazi sasa i bora usingesoma ungeenda kusoma kitakachokupa ajila ya uhakika
 
Yaani izo zinanunuliwa so unaonekana una hela nyingi Sana.zile za akina Lil Wayne wanaaimba kuwa I make it rain anawarushia pesa mademu matakoni sio real dolaz ndugu.
Komaa bana utaona mwanga. Ila practice real hata ya dola Mia Kuna SoMo kubwa unajifunza kuliko demo.
Yaani siku uliofanya real like demo unameki hela.
sijawahi fungua account ya demo , kujifunza kwangu nilijifunza kupitia trading view, then namalizia na mt5 real money, sijawihi kutumia demo demo kabisa
 
sijawahi fungua account ya demo , kujifunza kwangu nilijifunza kupitia trading view, then namalizia na mt5 rela money, sijawihi kutumia demo demo
katika mt5 yako fungua demo account kisha rudi real account ukisha weka pair yako kaiweke sawa na kule kwenye demo kisha angalia na trading view same pair hiyohiyo utaweza kutana na kitu cha ajabu mno
 
Soma vyema sana hii kauli yako na ujiulize swali moja la muhimu sana kwanini kanuni iliyoaminika kukupa faida haina uhakika wakukupa achambuzi ulio yakinifu?

yaani unakubaliana naukweli halafu unaukataa tena ukweli
Iyo ndo biashara sasa mkuu nawashukuru wazaz wangu kunilea ktk biashara tangu ni darasa la nne, ktk biashara kuna basic kwamba nauza unga na mchele nipate faida, ila saiv wateja hawaji why unajiuliza utapata jibu utwist strategy uwek mchle mzuri upimie watu vizuri packaj nzuri na price nzuri, ivyo utarud ktk basic unauza na wateja wanakuja, ktk fx ni ivyo ivyo na ndo maana unatakiwa uzielewe candlestic, kwamba hapa kwann soko limfail kuhold, unakuja kugundua seller wameelemea sehemu flan,unakuja gundua volume n ndogo, au kuna structure ktk tf frame fulani,
au kuna news saa flan inafanya soko liwe na tahadhari, .
 
katika mt5 yako fungua demo account kisha rudi real account ukisha weka pair yako kaiweke sawa na kule kwenye demo kisha angalia na trading view same pair hiyohiyo utaweza kutana na kitu cha ajabu mno
Trading view kuna broker tofauti so dont compare na broker wako kama si the same ,candle close hutofsutiana kulingn n spread na type y broker
 
Trading view kuna broker tofauti so dont compare na broker wako kama si the same ,candle close hutofsutiana kulingn n spread na type y broker
sasa umeelewa broker ndio controller? au bado nikuletee alomfunga yanga akufundishe
 
shida sio wote wanafaulu shida nikwamba unafaulu halafu hauna uhakika wa kazi sasa i bora usingesoma ungeenda kusoma kitakachokupa ajila ya uhakika

wanajifanya wanahuruma hawa mbwa
Na bado anafundisha,

20210901121555.jpg
 
sasa umeelewa broker ndio controller? au bado nikuletee alomfunga yanga akufundishe
Inategemea na type ya broker, unaijua kaz ya dalali? Dalali wpo feki na wenye nia njema, anachokuambia dalal changanya na chako ufanya uamuzi, kuna broker atakuambia price ipo ktk zone na kuna atakae kuonysha bado 20pip kufik kt zone, hahaaa tafuta sn Maarifa. Ukichora zone or lines kwa baadhi ya STP Broker ni tofaut na ECN ! JApo tofaut n ndog ila ina maana na ndo maana tunashauriwa kutrade ktk broker mzur angalau hacheat sana
 
sasa kwanini unasema broker mzuri hacheat sana?
unamajibu humohumo ila hautaki kujiuliza haya huyo broker anajisajili kwa nani?
rudi kwenye andiko langu kuna maswali yapo ya msingi sana pale nisaidie kujibu labda na wadau wengine wanaweza wakaelewa vzuri
 
Mwambie nione sasa meseji ya bank na mpesa hapo uone mitusi maana hawajui hizo hueditiwa na sio hapo tu angalia accont type haijonyeshwa hadi mwisho
Mwambie nione sasa meseji ya bank na mpesa hapo uone mitusi maana hawajui hizo hueditiwa na sio hapo tu angalia accont type haijonyeshwa hadi mwisho
Nilikua nasubiri useme ivyo

20210901121339.jpg

IMG_20210901_124329_224.JPG
 
Back
Top Bottom