Kilichonifanya niachane na forex ni hiki hapa

Kilichonifanya niachane na forex ni hiki hapa

Dogo usiwe unafuatilia hao jamaa Sina ninaye interact naye inst Ila hao no wahuni na wanafeki Sana maisha.
Ngoja nikuulize kitu mie siwajui hao Ila Tabia zao nazijua. Huwa hakuna kozi wanazouza ama sijui signals or something like training or lifetime mentorship, or account management.
Huku anajionyesha hela nyingi .hizo dola zinanunuliwaga Alibaba nikuambie hata wewe ukitaka unanunua. Yaani ukilipa dola Mia unapewa dola alfu kumi.ndo unakuja kufanyia mauzo.
Ukitaka umkamate mwambie akuonyeshe withdraw from his account na sms Ile ya benki utamuona mapovu.
Wapo wanaotredi demo Tena yenye real badge ama cent account wanavuta wenye greed wanapigwa.
Haujiulizi mtu anameki $100k plus afu anakuaambia kuwa umlipe 30-60$ ili ujiunge na kozi yake.
Soma vitabu dogo nadhani uko vizuri endelea kukomaa. Think for 20 yrs from now
niko fire hatari sijui lini nitapunguza speed , sijawahi ona mhamala wa bank hata mmoja asee kwa hawa jamaa, kumbe unaweza nunua dola alibaba?
 
Nani kakuambia Tena forex hasara unaijua kabisa kuliko huko ambako haijulikani. Sikia bado hujajua trading tulia fungua duka maisha yataenda.
shida unapanic tu hebu elezea kile kilichowekwa kuwa kasoro
mbona mimi nimeelezea vyema a2z?
ongea kile ambacho kinaweza kufanya mtu akaona kweli kuna faida
 
niko fire hatari sijui lini nitapunguza speed , sijawahi ona mhamala wa bank hata mmoja asee kwa hawa jamaa, kumbe unaweza nunua dola alibaba?
ha ha ha ha ha hatari na nusu
ukiona mtu anaona pesa halafu anakuita ukapate pesa kwa kumpa pesa basi wewe ndio pesa na wewe hauwezi pata pesa
 
niko fire hatari sijui lini nitapunguza speed , sijawahi ona mhamala wa bank hata mmoja asee kwa hawa jamaa, kumbe unaweza nunua dola alibaba?
Yaani izo zinanunuliwa so unaonekana una hela nyingi Sana.zile za akina Lil Wayne wanaaimba kuwa I make it rain anawarushia pesa mademu matakoni sio real dolaz ndugu.
Komaa bana utaona mwanga. Ila practice real hata ya dola Mia Kuna SoMo kubwa unajifunza kuliko demo.
Yaani siku uliofanya real like demo unameki hela.
 
Kwanini Diamond anafungu lebel yake ya WCB kama mziki unamlipa.

Mtoa mada Be Like
Yaani huendani kabisa na jina lako la elimu kwanza elimu ya mtoto wa darasa la kwanza inatosha kujibu swali lako na ukaelewa

diamond yeye ameona anapata faida kutanua wigo wake wa biashara na kuongeza thamani amejua anapaswa afungue label yake mwenyewe.
sasa hii ni biashara ambayo iko wazi kabisa unaweza maxmize profit vile vyovyote utakavyo.

sasa ukirudi katika forex hakuna kitu kama hicho huwezi maxmize profit hata siku moja zaidi yakucheza na joker tu inakuwa jackpot, pia broker yeye sio trader ananufaika na zile pesa ambazo wanotrade kwake wanaliwa.
Forex ni no matter how knowledgeable you are bado unaambiwa sio guarantee yakumake profit,

nakuuliza swali broker yupo kwa niaba ya nani? huyo anayekuwa juu ya broker anatambulika kama nani? je unaweza enda ukamkuta makao makuu yake ukamuona? wanamake vipi profit hao walio juu?

wewe ulipokuwa unajifunza forex ulilenga kupata faida but wengine tulilenga kuelewa mfumo ili tujue tunatrade vipi akili mbili tofauti kabisa
 
[emoji23] hii wiki mna nini na forex..?

Mkuu kalime tu ila Kuna watu wanatrade mpk Sasa wana miaka 8 kumi n.k mbona wao hawaachi!! Nini nyuma ya pazia..?

Addiction hao watatrade hadi wanakufa, siku wanashtuka wapo hoi na hawajui michongo mingine nje
 
ndio wanakuwa wanamitego yao yakupiga watu wengine ndio maana wanaendelea na hayo mambo
Mkuu kitu kama umeshindwa waachie wengine usiseme upigaji forex ingekuwa ni utapeli tu basi ingekuwa ishapigwa marufuku au watu kuikimbia!.
Sema Kuna watu wanaitumia Kama sehemu ya kutapeli!
 
Mkuu kitu kama umeshindwa waachie wengine usiseme upigaji forex ingekuwa ni utapeli tu basi ingekuwa ishapigwa marufuku au watu kuikimbia!.
Sema Kuna watu wanaitumia Kama sehemu ya kutapeli!
Kama sio utapeli haya niambie Tanzania umesajiliwa wapi?
Duniani kote forex imesajiliwa wapi? ujibu utoe ref za hiyo virtual money sio real money ya cash kupitia bank
 
Nawajua watu wanaishi kwa forex tu na hawapo hata huko insta wala kujionyesha wewe kama imekushinda kama mimi kaa kwa kutulia mkuu [emoji23]sio kwa ajili yetu.
usipoijua hasara huwezi kuielewa faida
 
ipo hivi your mindset of make billions from 200$,500$ ndo imekusababishia maproblem yote hayo, so ukafocus only on winning pasipo kujua how to upgrade ngazi kwa ngazi,
We unamuona mtu anamtaji wa 15000$ lakin bado anatumia 0.10lot to 0.50 uNamuona mjinga.

there is no perfect analysis but there is basic rules mtu utamkuta anafocus ktk lower tf bila kujua monthly chart imeelemea wapi,

Ni kukarir tu sell resistance sijui buy support but sometimes hazihold,

hutumii stopploss soko linapanda na kushuka unafurahia dola mia profit asubuh jion dola 50 in loss iyo ndo fx, huwezi kontrol soko bali weew ujicontrol,

binafsi human nature huniathir sana sokoni, hasa tamaa na hasira,na kutokua na subira,kutoridhika, sometime ovr or lwr confidence,
 
Biashara yoyoyte Ile ina pande2 faida au hasara same applies to Forex
Upo sahihi Kwa mtazamo wako lakini pia wapo wanaomake money daily katika hiihii biashara unayoiona SIO
nakupa mfano mmoja mzuri mfatilie 🤝Raja banks YouTube live during American session kila siku anatrade live anamake money live mkiona ukiamua kucopy mnawin pamoja ama mnaloose pamoja as well Ila mwisho wa wik ukipiga esabu loses Vs win unajiluta unaprofit zako
Rajabankss namfuatilia sana since twitch live, ye ni GJ na Gold
 
😂 hii wiki mna nini na forex..?

Mkuu kalime tu ila Kuna watu wanatrade mpk Sasa wana miaka 8 kumi n.k mbona wao hawaachi!! Nini nyuma ya pazia..?
Ehee Ukianza kucheza kamali huachi.Ni addiction kama zingine tu
 
Back
Top Bottom