Kilichonifanya niachane na forex ni hiki hapa

Now mwamba ana drive Jaguar
Forex hustle is real wakuu
Mimi huwa naenda sana pale ofisini kwake kula nondo taratibu Coz maarifa hayana mwisho
I agree but uongeze na ujanja ujanja unaokaribiana na utapeli .
Huyu jamaa kajipitisha na kapitishwa kwenye tabu nyingi mpaka kafikia hapo na siyo kuweka buy or sell tu.
 
Mkuu unamoyo kumuelezea yote haya mi nishamaliza kumuita Bata tu inatosha mtu anafanya forex halafu hata hajui kuwa brokers wanaleseni..🤣
Huyu usikute hata alichagua broker wa hovyo!.
[/QUOTE]
Halafu anakwambia eti alianza forex since 2013. Lakini hadi leo haijui forex inavyo-operate duniani. HUYU NI CERTIFIED KILAZA
 
Now mwamba ana drive Jaguar
Forex hustle is real wakuu
Mimi huwa naenda sana pale ofisini kwake kula nondo taratibu Coz maarifa hayana mwisho
Hiyo Jaguar ni gari ya bei gani? Nistue ukienda skuingine mkuu..na mimi nipate maarifa hayo
 
Now mwamba ana drive Jaguar
Forex hustle is real wakuu
Mimi huwa naenda sana pale ofisini kwake kula nondo taratibu Coz maarifa hayana mwisho
ahaaa unakula nondo gani mkuu, tumbo langu huwa halishibi linataka nondo, sijui kwa nini nisingesomaga mambo ya ucumi tu
 
Jamaa anakujibu kwa busara tena kitaalam lkn wewe ndio waleta utopolo wenyewe.Kwa ujumla wewe you wanted to get rich fast so soko limekutia adabu.Mimi hapa nlipo soko lilisha nitia hasara ya zaidi ya $ 3780 lakini nkarudi kusoma upyaa na ku backtest.Nlichogundua ni kwamba human psychology ndio iliniumiza sana.Kasome kaka.
 
kaka pole sana fuatilia niliko toka naye ndio utaelewa imekuwaje
pia sina maana get rech fast ila nina maana ukielewa biashara yako nirahisi kujua namna gani unaweza kudoble faida,
nimecheza na forex miaka minne, mtaji total ilikuwa ni usd 800,
within miaka minne total withdraw 6350 huku aiwa amekula zaidi ya hiyo niliyotoa ila naona nimamake profit sababu sijawahi deposit zaidi ya hiyo niliotoa 800.
soma vyema hoja yangu utanielewa, pia sikusema neno langu ni sheria, shida ya huyo jamaa anataka aweke neno lake ni sheria.
pia zaidi ya yote mnaitetea forex huku mkiwa mmeshindwa kujibu maswali yangu kiufasaha.

above all kila mtu huvumilia biashara fulani kwa kuzingatia malengo yake yaliyo mbele,
ukiwa unawazo la kujenga tu kakibanda kadogo kakuishi hata kuuza sambusa inakufaa tu, lakini ukiwa na wazo la kumiliki real estate lazima utabadirika katika utendaji wa biashara zako.
mmoja anapowaza ndani ya miaka mitano awe sehemu fulani basi kimawazo na jitihada atakuwa tofauti na anayeweza siku yoyote atafanikiwa .

soma tena andiko langu utanielewa sio mnapinga pinga tu
 
Mkuu unamoyo kumuelezea yote haya mi nishamaliza kumuita Bata tu inatosha mtu anafanya forex halafu hata hajui kuwa brokers wanaleseni..🤣
Huyu usikute hata alichagua broker wa hovyo!.
Halafu anakwambia eti alianza forex since 2013. Lakini hadi leo haijui forex inavyo-operate duniani. HUYU NI CERTIFIED KILAZA
[/QUOTE]
soma kwa umakini nimeeleza nimeijua huo mwaka but kuifanya sijasema nimeanza huo mwaka,
mbona mnaumia sasa? kama mnamake pesa kuna haja gani yakuthibitishia umma kuwa mnamake pesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…