Kilichonikuta usiku wa leo, ila bado sijakoma...nitarudia tena

Kilichonikuta usiku wa leo, ila bado sijakoma...nitarudia tena

Inataka kufanana na incidence yangu nilipovuta bangi kwa mara ya kwanza. Ni mbali basiii? mwezi jana tu.

Anyways, kuvuta bhangi kumejifanya nijitambue na kutambua vitu ambavyo vingenichukua miaka au nisingevijua
Ujapatikana wapi mkuu, nataka kujiunga chamani ila sina mdau wa kuaminika.
 
Mkuu, ina maana wewe hujawahi kupitia hali ya kuwa nusu umelala na nusu uko macho?

Wataalamu wanasema hii hali hutokea pale usingizi ukiwa hatua ya REM (Rapid Eye Movement). Sijasoma science ila wenye dunia ndo wanasema hivyo.

Mimi mara nyingi huwa naipata kuanzia saa 9-12.

Unakosa moja ya starehe tamu sana mkuu.
Ile ni starehe? Nusu kufa ile we unaiita starehe? Hapana ile hali bado sijaizoea na ninaichukia sana.
 
Utotoni nilikua napenda sana sarakasi, ila nilikua naogopa kujaribu backflip,[emoji28][emoji28] Siku moja niliota nikijua kwamba naota (nikawaza hii ni ndoto na hakuna chochote kibaya kitakachotokea). Nilijifunza backflip paka nikajua nikiwa ndotoni nilivyoamka nikakimbia nje kujaribu, sikushidwa.
 
Just like that, nashangaa watu wanasema mara nimevimbiwa, mara bangi, mara pombe nk.

Hiki ndo kipindi unachoweza kufanya kila kitu ambacho huwa hukiwezi kwenye ulimwengu huu wa nyama.
 
Hayo mandoto ya hivyo tulishayazoea sisi wapiga tungi...ukilala bila kushtua ndo shida hizoo..
Hakuna cha Lucid wala Lucia hapoo..
 
Just like that, nashangaa watu wanasema mara nimevimbiwa, mara bangi, mara pombe nk.

Hiki ndo kipindi unachoweza kufanya kila kitu ambacho huwa hukiwezi kwenye ulimwengu huu wa nyama.
Ungeendelea tu uone nini kitatokea[emoji1][emoji1]
Hivi kwa mfano ukiota alafu somehow ukajiaminisha kwamba huwezi kutoka kwenye hiyo ndoto itakuaje?
 
Pia situmii bangi.

Hivi nyie watu hamjawahi kupata hali ya kuwa nusu macho nusu umelala? Yaani unatambua kabisa hapa nimelala na naota, hamjawahi?
Mtu saidia fundi
Anatoka saa mbili asubuhi anarudi saa 4 usiku kachokaa

Lengo ajiegeshe asubuhi awahi tena kibaruani
Huyu Lucid dreaming ataisikia kwako... Akilala unaweza kumwamisha mkoa na asiamke
 
Back
Top Bottom