ndenjii handsome
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 646
- 709
Mi nataka tu kujua mchaw anapokujia usiku kukuwangia unapata dalili gan?
Usingizi flani iv wa maudhi, unalazimishwa kulala na unajitambua kabisa kuwa umeamka ila umekandamizwa ulale kinguvu.Mi nataka tu kujua mchaw anapokujia usiku kukuwangia unapata dalili gan?
Itaji-cancel yenyewe kwa sababu mzunguko wa usingizi ulivyo huwa unazunguka kutoka kwenye NREM na REM na inakadiriwa kuwa kila kipindi huchukua karibu dakika 10 hivi. Kwenye NREM ndo ule usingizi ambao hauna ndoto na REM ndo usingizi wenye ndoto na ndipo hapo Lucid dream huweza kutokea.Ungeendelea tu uone nini kitatokea[emoji1][emoji1]
Hivi kwa mfano ukiota alafu somehow ukajiaminisha kwamba huwezi kutoka kwenye hiyo ndoto itakuaje?
Hiyo ni sawa, lakini si kwamba eti mtu akipitia hiyo hali ni kuwa kavuta bangi, au kanywa pombe kali.Mtu saidia fundi
Anatoka saa mbili asubuhi anarudi saa 4 usiku kachokaa
Lengo ajiegeshe asubuhi awahi tena kibaruani
Huyu Lucid dreaming ataisikia kwako... Akilala unaweza kumwamisha mkoa na asiamke
mzeeunatumia pombe kali ya aina gani?
Mkuu Rakims msaada unahitajika huku.Usiku wa leo mida kama ya saa 10 hivi nikiwa zangu ndotoni, ufahamu wangu ulirudi hivyo nikawa najitambua kuwa naota (lucid dreaming). Basi bwana nikaanza kuipeleka ndoto vile ninavyotaka mimi. Shukrani kwa jf maana kupitia hapa ndipo nilijifunza haya mambo ya lucid dreaming japokuwa siyafanyii kazi sana ila huwa nikipata nafasi siiachi.
Basi bwana, nikaendelea kuota huku nikiwa najitambua kuwa naota na nikawa naiendesha ndoto iwe vile ninavyotaka. Ghafla nikapata wazo huko huko ndotoni kuwa, kama naota na najitambua kuwa naota, kwa nini nisitumie muda huu kufanya tahajudi (meditation) kwa kuwa ubongo na mwili wangu kwa sasa vimetulia kwa kiwango kikubwa.. Basi nikiwa hukohuko ndotoni, nikatulia na nikaanza kutamka maneno ambayo huwa napenda kuyatamka nikiwa nafanya tahajudi.
Balaa likaanzia hapo...
Ile kutamka sentensi ya kwanza tu, nilihisi kupata utulivu wa ajabu sana hadi nikashangaa. Then nikaanza kuhisi kama napigwa shoti ya umeme ndani ya kichwa kwenye ubongo humo ndani huko then hiyo shoti kaanza kusambaa kwa kushuka kwenda kifuani na kuanza kwenda sehemu nyingine za mwili. Ile hali ikaanza kunitisha, nikapata wazo kuwa huenda ni mwili unatengana na roho kwa ajili ya astral projection au ndo nakufa hivyo[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa kweli ndugu wajumbe sikutaka kusubiri kuona nini kinaendelea, ikabidi nijitikise huko huko ndotoni ile hali ikaondoka. Hata mpango wa kuendelea na lucid dreaming nikaona haufai kabisa ikabidi niamke tu.
Sasa baada ya kuamka nimejikuta nataka kujua vingi zaidi. Je, ile hali imetokea kwa bahati mbaya au ndivyo ilivyo mara zote? Kama ndivyo ilivyo mara zote, ni nini kinatokea kama ile shoti ikisambaa mwili mzima?
Majibu ya maswali haya nitayapata kwa kufanya hili jambo tena, hivyo nimepanga kurudi huu mchakato kwa mara nyingine na mara hii kama hiyo hali ikitokea tena basi nitakomaa hadi mwisho nione nini kitatolea.
Hivi huyu Alinacha au Arinacha ni nani hasa?Hiyo ndio ndoto mawazo inaitwa yaani hiyo ni ndoto arinacha sasa..
Ndoto ya ukweli ukweli ile ambayo inakupeleka mbali huko ukiiota akija kufika asubuhi hata uifikirie vipi huikumbuki hata iweje.
Hiyo yenu naotaga sana lakini sinaga time nayo maana niya uongo uliotukuka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Andika wasia kabisa kwani this time tunakuletea shoti ya HT utambae nayoUsiku wa leo mida kama ya saa 10 hivi nikiwa zangu ndotoni, ufahamu wangu ulirudi hivyo nikawa najitambua kuwa naota (lucid dreaming). Basi bwana nikaanza kuipeleka ndoto vile ninavyotaka mimi. Shukrani kwa jf maana kupitia hapa ndipo nilijifunza haya mambo ya lucid dreaming japokuwa siyafanyii kazi sana ila huwa nikipata nafasi siiachi.
Basi bwana, nikaendelea kuota huku nikiwa najitambua kuwa naota na nikawa naiendesha ndoto iwe vile ninavyotaka. Ghafla nikapata wazo huko huko ndotoni kuwa, kama naota na najitambua kuwa naota, kwa nini nisitumie muda huu kufanya tahajudi (meditation) kwa kuwa ubongo na mwili wangu kwa sasa vimetulia kwa kiwango kikubwa.. Basi nikiwa hukohuko ndotoni, nikatulia na nikaanza kutamka maneno ambayo huwa napenda kuyatamka nikiwa nafanya tahajudi.
Balaa likaanzia hapo...
Ile kutamka sentensi ya kwanza tu, nilihisi kupata utulivu wa ajabu sana hadi nikashangaa. Then nikaanza kuhisi kama napigwa shoti ya umeme ndani ya kichwa kwenye ubongo humo ndani huko then hiyo shoti kaanza kusambaa kwa kushuka kwenda kifuani na kuanza kwenda sehemu nyingine za mwili. Ile hali ikaanza kunitisha, nikapata wazo kuwa huenda ni mwili unatengana na roho kwa ajili ya astral projection au ndo nakufa hivyo[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa kweli ndugu wajumbe sikutaka kusubiri kuona nini kinaendelea, ikabidi nijitikise huko huko ndotoni ile hali ikaondoka. Hata mpango wa kuendelea na lucid dreaming nikaona haufai kabisa ikabidi niamke tu.
Sasa baada ya kuamka nimejikuta nataka kujua vingi zaidi. Je, ile hali imetokea kwa bahati mbaya au ndivyo ilivyo mara zote? Kama ndivyo ilivyo mara zote, ni nini kinatokea kama ile shoti ikisambaa mwili mzima?
Majibu ya maswali haya nitayapata kwa kufanya hili jambo tena, hivyo nimepanga kurudi huu mchakato kwa mara nyingine na mara hii kama hiyo hali ikitokea tena basi nitakomaa hadi mwisho nione nini kitatolea.
Ngoja Mshana Jr ajeUsiku wa leo mida kama ya saa 10 hivi nikiwa zangu ndotoni, ufahamu wangu ulirudi hivyo nikawa najitambua kuwa naota (lucid dreaming). Basi bwana nikaanza kuipeleka ndoto vile ninavyotaka mimi. Shukrani kwa jf maana kupitia hapa ndipo nilijifunza haya mambo ya lucid dreaming japokuwa siyafanyii kazi sana ila huwa nikipata nafasi siiachi.
Basi bwana, nikaendelea kuota huku nikiwa najitambua kuwa naota na nikawa naiendesha ndoto iwe vile ninavyotaka. Ghafla nikapata wazo huko huko ndotoni kuwa, kama naota na najitambua kuwa naota, kwa nini nisitumie muda huu kufanya tahajudi (meditation) kwa kuwa ubongo na mwili wangu kwa sasa vimetulia kwa kiwango kikubwa.. Basi nikiwa hukohuko ndotoni, nikatulia na nikaanza kutamka maneno ambayo huwa napenda kuyatamka nikiwa nafanya tahajudi.
Balaa likaanzia hapo...
Ile kutamka sentensi ya kwanza tu, nilihisi kupata utulivu wa ajabu sana hadi nikashangaa. Then nikaanza kuhisi kama napigwa shoti ya umeme ndani ya kichwa kwenye ubongo humo ndani huko then hiyo shoti kaanza kusambaa kwa kushuka kwenda kifuani na kuanza kwenda sehemu nyingine za mwili. Ile hali ikaanza kunitisha, nikapata wazo kuwa huenda ni mwili unatengana na roho kwa ajili ya astral projection au ndo nakufa hivyo[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa kweli ndugu wajumbe sikutaka kusubiri kuona nini kinaendelea, ikabidi nijitikise huko huko ndotoni ile hali ikaondoka. Hata mpango wa kuendelea na lucid dreaming nikaona haufai kabisa ikabidi niamke tu.
Sasa baada ya kuamka nimejikuta nataka kujua vingi zaidi. Je, ile hali imetokea kwa bahati mbaya au ndivyo ilivyo mara zote? Kama ndivyo ilivyo mara zote, ni nini kinatokea kama ile shoti ikisambaa mwili mzima?
Majibu ya maswali haya nitayapata kwa kufanya hili jambo tena, hivyo nimepanga kurudi huu mchakato kwa mara nyingine na mara hii kama hiyo hali ikitokea tena basi nitakomaa hadi mwisho nione nini kitatolea.
Aisee, hyo ilikuwa unaendaUsiku wa leo mida kama ya saa 10 hivi nikiwa zangu ndotoni, ufahamu wangu ulirudi hivyo nikawa najitambua kuwa naota (lucid dreaming). Basi bwana nikaanza kuipeleka ndoto vile ninavyotaka mimi. Shukrani kwa jf maana kupitia hapa ndipo nilijifunza haya mambo ya lucid dreaming japokuwa siyafanyii kazi sana ila huwa nikipata nafasi siiachi.
Basi bwana, nikaendelea kuota huku nikiwa najitambua kuwa naota na nikawa naiendesha ndoto iwe vile ninavyotaka. Ghafla nikapata wazo huko huko ndotoni kuwa, kama naota na najitambua kuwa naota, kwa nini nisitumie muda huu kufanya tahajudi (meditation) kwa kuwa ubongo na mwili wangu kwa sasa vimetulia kwa kiwango kikubwa.. Basi nikiwa hukohuko ndotoni, nikatulia na nikaanza kutamka maneno ambayo huwa napenda kuyatamka nikiwa nafanya tahajudi.
Balaa likaanzia hapo...
Ile kutamka sentensi ya kwanza tu, nilihisi kupata utulivu wa ajabu sana hadi nikashangaa. Then nikaanza kuhisi kama napigwa shoti ya umeme ndani ya kichwa kwenye ubongo humo ndani huko then hiyo shoti kaanza kusambaa kwa kushuka kwenda kifuani na kuanza kwenda sehemu nyingine za mwili. Ile hali ikaanza kunitisha, nikapata wazo kuwa huenda ni mwili unatengana na roho kwa ajili ya astral projection au ndo nakufa hivyo😀😀😀
Kwa kweli ndugu wajumbe sikutaka kusubiri kuona nini kinaendelea, ikabidi nijitikise huko huko ndotoni ile hali ikaondoka. Hata mpango wa kuendelea na lucid dreaming nikaona haufai kabisa ikabidi niamke tu.
Sasa baada ya kuamka nimejikuta nataka kujua vingi zaidi. Je, ile hali imetokea kwa bahati mbaya au ndivyo ilivyo mara zote? Kama ndivyo ilivyo mara zote, ni nini kinatokea kama ile shoti ikisambaa mwili mzima?
Majibu ya maswali haya nitayapata kwa kufanya hili jambo tena, hivyo nimepanga kurudi huu mchakato kwa mara nyingine na mara hii kama hiyo hali ikitokea tena basi nitakomaa hadi mwisho nione nini kitatolea.
Usijaribu kila kitu mkuu itakucost[emoji16][emoji16]Watu kama niny ndo huwa mnafanya nitamani kujaribu hii kitu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bookmarked.Usijaribu kila kitu mkuu itakucost[emoji16][emoji16]
Leo mkuu unajibust Tu..kila nikipita nakutana na threads zako Tu[emoji16]Bookmarked.
Naomba niyajue hayo maneno unayoyatamka kwanza.
😂 😂 😂 😂Leo mkuu unajibust Tu..kila nikipiga nakutana na threads zako Tu[emoji16]
Ni kawaida Kwa binadamu Kaka..kuna muda akili inachoka kufanya mambo mapya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo nimeamka vibaya vibaya, nipo nipo tu. Ndo nikaamua kupekua nyuzi zangu zamani kukaza ubongo.
Sema zamani nilikuwa na akili sana. Nashangaa nazidi kukua ila nazidi kuwa mjinga mjinga.[emoji23][emoji23]