Kilichonikuta usiku wa leo, ila bado sijakoma...nitarudia tena

Ungeendelea tu uone nini kitatokea[emoji1][emoji1]
Hivi kwa mfano ukiota alafu somehow ukajiaminisha kwamba huwezi kutoka kwenye hiyo ndoto itakuaje?
Itaji-cancel yenyewe kwa sababu mzunguko wa usingizi ulivyo huwa unazunguka kutoka kwenye NREM na REM na inakadiriwa kuwa kila kipindi huchukua karibu dakika 10 hivi. Kwenye NREM ndo ule usingizi ambao hauna ndoto na REM ndo usingizi wenye ndoto na ndipo hapo Lucid dream huweza kutokea.

Kwa hiyo utasema mimi sitoki kwenye hii ndoto lakini ubongo ukishift kutoka kwenye REM kwenye NREM ina maana automatically utakuwa umekosa control ya hiyo ndoto tena.

Nimejaribu kujibu kwa kuunganisha maarifa tu.πŸ˜‚
 
Mtu saidia fundi
Anatoka saa mbili asubuhi anarudi saa 4 usiku kachokaa

Lengo ajiegeshe asubuhi awahi tena kibaruani
Huyu Lucid dreaming ataisikia kwako... Akilala unaweza kumwamisha mkoa na asiamke
Hiyo ni sawa, lakini si kwamba eti mtu akipitia hiyo hali ni kuwa kavuta bangi, au kanywa pombe kali.

Anyway, hivi ni vitu vidogo vidogo ambavyo haviwezi kuongezea kipato bali ni mapendeleo binafsi, havina ulazima wowote.

Hivyo kila mtu ashinde mechi zake.
 
Ule utafiti unasemaje, 1/4 ni vichaa wa akili eeh?
 
Mkuu Rakims msaada unahitajika huku.
 
Hivi huyu Alinacha au Arinacha ni nani hasa?
 
Andika wasia kabisa kwani this time tunakuletea shoti ya HT utambae nayo
 
Ngoja Mshana Jr aje
 
Baada ya kushiba ugali na maharage usiku hii ndo hali ambayo hutokea.
 
Aisee, hyo ilikuwa unaenda
 
Leo mkuu unajibust Tu..kila nikipiga nakutana na threads zako Tu[emoji16]
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Leo nimeamka vibaya vibaya, nipo nipo tu. Ndo nikaamua kupekua nyuzi zangu zamani kukaza ubongo.

Sema zamani nilikuwa na akili sana. Nashangaa nazidi kukua ila nazidi kuwa mjinga mjinga.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna jamaa alikua anaota ndoto usiku anamkaa anatembea had anaenda kufungua mlango anatoka nje anaingia mtaani anavuka barabara bila kugongwa na gari huku akiwa kwenye hali ya ndoto
Shida ni moja tu huwa anasahau kuvaa trouser anatoka na boksa tu akishtuka huko nje anarudi nduki mi nikajua ni bangi kumbe inawezekana nae huwa anaweza kuiendesha ndoto anavyotaka
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo nimeamka vibaya vibaya, nipo nipo tu. Ndo nikaamua kupekua nyuzi zangu zamani kukaza ubongo.

Sema zamani nilikuwa na akili sana. Nashangaa nazidi kukua ila nazidi kuwa mjinga mjinga.[emoji23][emoji23]
Ni kawaida Kwa binadamu Kaka..kuna muda akili inachoka kufanya mambo mapya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…