Checheto
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 915
- 744
Argument zako kama mtoto wa 2000Una uhakika gn mm sikuwepo zaman
Argument zako kama mtoto wa 2000Una uhakika gn mm sikuwepo zaman
Yale matrilioni wanayopiga watawala yangeweza kutumika kuinua hali ya maisha ya wananchi.Nilipata nafasi nikahudhuria tafrija hiyo fupi iliyoandaliwa na ofisi ya Mkuu wa mkoa Arusha ,
Kuna mambo machache sana nilijionea yaliyonitoa machozi Kwa muda mfupi niliokaa hapo.
Kwanza kabisa watu waliokuja kupata iftari wengi wao walikuwa watu wa kawaida au tunaweza sema watu wa hali ya chini walikuwa wengi kuliko watu wa hali ya kati na juu
Watu wengi sana walitembea Kwa miguu umbali mrefu kilomita zaidi ya 8 kutoka maeneo tofauti touti makwao kuja kwenye ofisi za Mkuu wa mkoa ambazo zipo katikati ya jiji kuja kufuturu TU. Na wengine waliomba nauli za kurudi kutoka watu mbali mbali walokuwepo hapo maana walikuwa hawana chochote.
Kilichoniliza zaidi wengi wao walikuja na makontena ya vyakula yaani zile bakuli zenye mifuniko yake Kwa kificho ambapo walibebea futari Kwa ajili ya watoto wao majumbani ,maana nilisikia wakisema ya kuwa nyumbani kulikuwa hakuna chochote na watoto walikuwa wamekunywa uji TU wakati wa kufuturu hivyo wazazi walisubiriwa warudi na chakula.
Kuna ambao walikuja na mifuko midogo midogo pia kwa kificho hivyo baada ya kufuturu Kwa haraka walienda kuunga foleni upande mwingine ili wabebe pia chakula maana baada ya kuongea nao walisema nyumbani hali ni ngumu sana na kulikuwa hakuna kilichopikwa Kwa hiyo hicho chakula walichobeba Kwa kificho ndio tegemeo la nyumbani Kwa usiku huo na kuwa kinasubiriwa familia ikafuturu na hapo tayari muda ulikuwa unaelekea saa tatu.
Wengi wa wanawawake waliokwepo na waliobeba vyakula Kwa Siri Kwa muonekano wao TU wa nje hakika miili yao imechoka Sana Kwa kupigwa na maisha maana hata sura na mavazi Yao hayana Nuru kabisa.
Jobless wengi pamoja na watoto wa mtaani pia walikuja Kwa wingi Kwa maana ilikuwa ni fursa muhimu sana kwao kubadilisha chakula
Wakina mama walio wengi ndio waliobeba chakula kwenye mapochi Yao na mifuko kupeleka watoto.
Kila mtu alitafuta namna ya kuficha chochote kitu ili mradi kifike nyumbani maana niliona wanaume wengine wakificha vitumbua na maandazi kwenye mifuko y suruali
Wasiofunga na wenyewe walikuwepo sana TU Kwa madai kuwa hali ngumu nyumbani kwa hiyo hiyo ilikuwa fursa ya Peke yake Kwa siku hiyo..
Sijui serikali ifanyeje kuwaokoa watu wa hali ya chini angalau hata Kwa mlo Moja kila siku ingewasaidia wengi.
Watu wapewe ndoano, sio samaki. Halinya umaskini ni kubwa sana TZ, na sio mikoani tu hata miji mikubwa kama Dsm.Sijui serikali ifanyeje kuwaokoa watu wa hali ya chini angalau hata Kwa mlo Moja kila siku ingewasaidia wengi.
Kuna mfuko wa kaya maskini TASAF, mfuko huo kwa asilimia kubwa unafadhiliwa na mataifa ya nje. Za kwetu zinaishia kwenye mifuko ya watu. CAG report ina madudu kibao.Serikali ianzishe mfuko wa jamii kusaidia kaya masikini kama wanavyofanya baadhi ya mataifa hasa barani Ulaya na baadhi ya mataifa ya kiarabu.
Mfuko huo ugharamie posho inayotosheleza mahitaji ya chakula ya familia kila siku.
Chakula cha siku moja hakiwezi kamwe saidia masikini. Unakula futari unadhiba ,usiku njaa iko pale pale.Basi futari hiyo imewafikia walengwa, ukitaka kufuturisha ita wenye uhitaji siyo unaandaa invitation card unaalika watu maarufu na wenye uwezo ili kutengeneza attention huku wenye uhitaji unawazuilia getini
kuna watu hata mlo mmoja hawawezi hawapati ni vyema futari hiyo ikawafikia wao kama ilivyo mafunzo na lengo sahihi la kufuturisha.
Inasikitisha sana mkuuArgument zako kama mtoto wa 2000
Kaka Mimi nishaga okokaKaka visungura vitakuua mwaka huu😁
Na hakuna hatua zinazochukuliwa, kila mwaka mambo ni Yale yaleKuna mfuko wa kaya maskini TASAF, mfuko huo kwa asilimia kubwa unafadhiliwa na mataifa ya nje. Za kwetu zinaishia kwenye mifuko ya watu. CAG report ina madudu kibao.
Watu wa sio ndio mabilioneaNilipata nafasi nikahudhuria tafrija hiyo fupi iliyoandaliwa na ofisi ya Mkuu wa mkoa Arusha ,
Kuna mambo machache sana nilijionea yaliyonitoa machozi Kwa muda mfupi niliokaa hapo.
Kwanza kabisa watu waliokuja kupata iftari wengi wao walikuwa watu wa kawaida au tunaweza sema watu wa hali ya chini walikuwa wengi kuliko watu wa hali ya kati na juu
Watu wengi sana walitembea Kwa miguu umbali mrefu kilomita zaidi ya 8 kutoka maeneo tofauti touti makwao kuja kwenye ofisi za Mkuu wa mkoa ambazo zipo katikati ya jiji kuja kufuturu TU. Na wengine waliomba nauli za kurudi kutoka watu mbali mbali walokuwepo hapo maana walikuwa hawana chochote.
Kilichoniliza zaidi wengi wao walikuja na makontena ya vyakula yaani zile bakuli zenye mifuniko yake Kwa kificho ambapo walibebea futari Kwa ajili ya watoto wao majumbani ,maana nilisikia wakisema ya kuwa nyumbani kulikuwa hakuna chochote na watoto walikuwa wamekunywa uji TU wakati wa kufuturu hivyo wazazi walisubiriwa warudi na chakula.
Kuna ambao walikuja na mifuko midogo midogo pia kwa kificho hivyo baada ya kufuturu Kwa haraka walienda kuunga foleni upande mwingine ili wabebe pia chakula maana baada ya kuongea nao walisema nyumbani hali ni ngumu sana na kulikuwa hakuna kilichopikwa Kwa hiyo hicho chakula walichobeba Kwa kificho ndio tegemeo la nyumbani Kwa usiku huo na kuwa kinasubiriwa familia ikafuturu na hapo tayari muda ulikuwa unaelekea saa tatu.
Wengi wa wanawawake waliokwepo na waliobeba vyakula Kwa Siri Kwa muonekano wao TU wa nje hakika miili yao imechoka Sana Kwa kupigwa na maisha maana hata sura na mavazi Yao hayana Nuru kabisa.
Jobless wengi pamoja na watoto wa mtaani pia walikuja Kwa wingi Kwa maana ilikuwa ni fursa muhimu sana kwao kubadilisha chakula
Wakina mama walio wengi ndio waliobeba chakula kwenye mapochi Yao na mifuko kupeleka watoto.
Kila mtu alitafuta namna ya kuficha chochote kitu ili mradi kifike nyumbani maana niliona wanaume wengine wakificha vitumbua na maandazi kwenye mifuko y suruali
Wasiofunga na wenyewe walikuwepo sana TU Kwa madai kuwa hali ngumu nyumbani kwa hiyo hiyo ilikuwa fursa ya Peke yake Kwa siku hiyo..
Sijui serikali ifanyeje kuwaokoa watu wa hali ya chini angalau hata Kwa mlo Moja kila siku ingewasaidia wengi.View attachment 3286615
Ni wachache sana wanaojaribu kuwaamsha waliolala lakini wapi. Wengi wanaishia kuwa machawa wa viongozi wanaojali matumbo yao.Wananchi wasiposimama Kwa umoja wao wakakataa hii kitu nguvu zote hata Kwa damu basi tutabaki kulia mitandoni tu
Mhhh. Na wakati umaskini ndio mtaji mkubwa kwa walio madarakani.Serikali iweke sheria kali ya uzazi wa mpango. Watu waache kuzaana hovyo bila kuwa na plan ya kutimiza mahitaji ya wanaozaliwa. Hii utasaidia kupunguza umaskini uliopitiliza. Mtu akitaka kubeba mimba afanyiwe assessment kuhusu kipato chake ambae hana uwezo hapaswi kuzaa kabisa au aishie mtoto mmoja tu.
Sio hizi karamu za kudhalilisha maskini.Kwa hivyo wewe ukialikwa kwenye karamu ya chakula hutoenda Kwa vile chakula hicho hakitakusaidia
Ile executive order ya "fyatueni serikali itasomesha" ilishatenguliwa? Maana ilipata wafuasi waaminifu muda ule ule!Siku hizi nafikiri watu wengi wamejiongeza wenyewe kuzaa Kwa mpango kutokana na elimu mbali mbali na hali halisi ya maisha