Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Ftari limetokana na neno la kiarabu IftarNi futari na sio IFTAR mbona mnaharibu kiswahili?!
Sisi tumeiga tu na kutamka kwa mbwembwe tu 😄
Ftari limetokana na neno la kiarabu IftarNi futari na sio IFTAR mbona mnaharibu kiswahili?!
Watu masikini huwaambii kitu kuhusu ccmHalafu uskie mtu anasema CCM OYEE
Hizo ndizo hali zetu mi kwa mtazamo wangu serikali kuanzia kwa balozi wa shina wangeweka utaratibu mzuri jinsi ya kusaidia makundi ya watu lakini kingine hao nao ukifika wakati wa uchaguzi badala waweke mtu anae wajali wao wameweka mbele ushabiki wa kisiasa wanasahau kabisa hali walizo nazoNilipata nafasi nikahudhuria tafrija hiyo fupi iliyoandaliwa na ofisi ya Mkuu wa mkoa Arusha ,
Kuna mambo machache sana nilijionea yaliyonitoa machozi Kwa muda mfupi niliokaa hapo.
Kwanza kabisa watu waliokuja kupata iftari wengi wao walikuwa watu wa kawaida au tunaweza sema watu wa hali ya chini walikuwa wengi kuliko watu wa hali ya kati na juu
Watu wengi sana walitembea Kwa miguu umbali mrefu kilomita zaidi ya 8 kutoka maeneo tofauti touti makwao kuja kwenye ofisi za Mkuu wa mkoa ambazo zipo katikati ya jiji kuja kufuturu TU. Na wengine waliomba nauli za kurudi kutoka watu mbali mbali walokuwepo hapo maana walikuwa hawana chochote.
Kilichoniliza zaidi wengi wao walikuja na makontena ya vyakula yaani zile bakuli zenye mifuniko yake Kwa kificho ambapo walibebea futari Kwa ajili ya watoto wao majumbani ,maana nilisikia wakisema ya kuwa nyumbani kulikuwa hakuna chochote na watoto walikuwa wamekunywa uji TU wakati wa kufuturu hivyo wazazi walisubiriwa warudi na chakula.
Kuna ambao walikuja na mifuko midogo midogo pia kwa kificho hivyo baada ya kufuturu Kwa haraka walienda kuunga foleni upande mwingine ili wabebe pia chakula maana baada ya kuongea nao walisema nyumbani hali ni ngumu sana na kulikuwa hakuna kilichopikwa Kwa hiyo hicho chakula walichobeba Kwa kificho ndio tegemeo la nyumbani Kwa usiku huo na kuwa kinasubiriwa familia ikafuturu na hapo tayari muda ulikuwa unaelekea saa tatu.
Wengi wa wanawawake waliokwepo na waliobeba vyakula Kwa Siri Kwa muonekano wao TU wa nje hakika miili yao imechoka Sana Kwa kupigwa na maisha maana hata sura na mavazi Yao hayana Nuru kabisa.
Jobless wengi pamoja na watoto wa mtaani pia walikuja Kwa wingi Kwa maana ilikuwa ni fursa muhimu sana kwao kubadilisha chakula
Wakina mama walio wengi ndio waliobeba chakula kwenye mapochi Yao na mifuko kupeleka watoto.
Kila mtu alitafuta namna ya kuficha chochote kitu ili mradi kifike nyumbani maana niliona wanaume wengine wakificha vitumbua na maandazi kwenye mifuko y suruali
Wasiofunga na wenyewe walikuwepo sana TU Kwa madai kuwa hali ngumu nyumbani kwa hiyo hiyo ilikuwa fursa ya Peke yake Kwa siku hiyo..
Sijui serikali ifanyeje kuwaokoa watu wa hali ya chini angalau hata Kwa mlo Moja kila siku ingewasaidia wengi.View attachment 3286615
Ni utamaduni wa kimasikini. Trust me broHiyo Hali watu wameshafanya kama kautamaduni,wanafanya hivo kwenye misiba mbalimbali, kwenye harusi, hakuna maajabu hapo
Nakazia👿Umasikini ni laana.
Dunia hii bila pesa, hauna tofauti na mbwa.
Huu ni ukweli mchungu
yaani utadhani walikunywa maji ya bendera ya ccmWatu masikini huwaambii kitu kuhusu ccm
Tatizo elimu. Na kwa kukosa kwao elimu ndo wanadanganywa kirahisi, wakishapewa tu kanga za kijani wanaona maisha ndo haya.yaani utadhani walikunywa maji ya bendera ya ccm
Hii ndiyo inaitwa ''mtupie mbwa mifupa ili asiwabughudhi wakati mnakula''. Makonda anatumia umaskini wa watu ambao umetokana na uongozi mbovu wa CCM, kuwalaghai watu kwa chakula ili wasikumbuke kuhoji ufisadi na kutowajibika kwa serikali. Wataendelea kutupiwa kama mbwa mpaka lini? Wakiamka kesho, wanasema afadhali ya juzi.Nilipata nafasi nikahudhuria tafrija hiyo fupi iliyoandaliwa na ofisi ya Mkuu wa mkoa Arusha ,
Kuna mambo machache sana nilijionea yaliyonitoa machozi Kwa muda mfupi niliokaa hapo.
Kwanza kabisa watu waliokuja kupata iftari wengi wao walikuwa watu wa kawaida au tunaweza sema watu wa hali ya chini walikuwa wengi kuliko watu wa hali ya kati na juu
Watu wengi sana walitembea Kwa miguu umbali mrefu kilomita zaidi ya 8 kutoka maeneo tofauti touti makwao kuja kwenye ofisi za Mkuu wa mkoa ambazo zipo katikati ya jiji kuja kufuturu TU. Na wengine waliomba nauli za kurudi kutoka watu mbali mbali walokuwepo hapo maana walikuwa hawana chochote.
Kilichoniliza zaidi wengi wao walikuja na makontena ya vyakula yaani zile bakuli zenye mifuniko yake Kwa kificho ambapo walibebea futari Kwa ajili ya watoto wao majumbani ,maana nilisikia wakisema ya kuwa nyumbani kulikuwa hakuna chochote na watoto walikuwa wamekunywa uji TU wakati wa kufuturu hivyo wazazi walisubiriwa warudi na chakula.
Kuna ambao walikuja na mifuko midogo midogo pia kwa kificho hivyo baada ya kufuturu Kwa haraka walienda kuunga foleni upande mwingine ili wabebe pia chakula maana baada ya kuongea nao walisema nyumbani hali ni ngumu sana na kulikuwa hakuna kilichopikwa Kwa hiyo hicho chakula walichobeba Kwa kificho ndio tegemeo la nyumbani Kwa usiku huo na kuwa kinasubiriwa familia ikafuturu na hapo tayari muda ulikuwa unaelekea saa tatu.
Wengi wa wanawawake waliokwepo na waliobeba vyakula Kwa Siri Kwa muonekano wao TU wa nje hakika miili yao imechoka Sana Kwa kupigwa na maisha maana hata sura na mavazi Yao hayana Nuru kabisa.
Jobless wengi pamoja na watoto wa mtaani pia walikuja Kwa wingi Kwa maana ilikuwa ni fursa muhimu sana kwao kubadilisha chakula
Wakina mama walio wengi ndio waliobeba chakula kwenye mapochi Yao na mifuko kupeleka watoto.
Kila mtu alitafuta namna ya kuficha chochote kitu ili mradi kifike nyumbani maana niliona wanaume wengine wakificha vitumbua na maandazi kwenye mifuko y suruali
Wasiofunga na wenyewe walikuwepo sana TU Kwa madai kuwa hali ngumu nyumbani kwa hiyo hiyo ilikuwa fursa ya Peke yake Kwa siku hiyo..
Sijui serikali ifanyeje kuwaokoa watu wa hali ya chini angalau hata Kwa mlo Moja kila siku ingewasaidia wengi.View attachment 3286615
Mtu aliyepika vyakula vya aina aina nyumbani anaanzaje kubeba maandazi kwenye tukio! Hakika ni umasikini tuNi utamaduni wa kimasikini. Trust me bro
Mungu?Imenitia huzuni sana hii post,Mungu awape chakula wasio na chakula
Kwanza ukiwa mstaarabu hata kama nyumbani kwako huna hivyo vyakula huwezi kubeba. Sasa mtu katoka kwake kajiandaa kabisa kabeba na bakuli😅Mtu aliyepika vyakula vya aina aina nyumbani anaanzaje kubeba maandazi kwenye tukio! Hakika ni umasikini tu
Mungu?
How
Kama ameamua kuwapa chakula wahitaji kwanini ajifiche kwenye hilo neno futari? Huyo ana malengo yake ya kisiasa.Nilipata nafasi nikahudhuria tafrija hiyo fupi iliyoandaliwa na ofisi ya Mkuu wa mkoa Arusha ,
Kuna mambo machache sana nilijionea yaliyonitoa machozi Kwa muda mfupi niliokaa hapo.
Kwanza kabisa watu waliokuja kupata iftari wengi wao walikuwa watu wa kawaida au tunaweza sema watu wa hali ya chini walikuwa wengi kuliko watu wa hali ya kati na juu
Watu wengi sana walitembea Kwa miguu umbali mrefu kilomita zaidi ya 8 kutoka maeneo tofauti touti makwao kuja kwenye ofisi za Mkuu wa mkoa ambazo zipo katikati ya jiji kuja kufuturu TU. Na wengine waliomba nauli za kurudi kutoka watu mbali mbali walokuwepo hapo maana walikuwa hawana chochote.
Kilichoniliza zaidi wengi wao walikuja na makontena ya vyakula yaani zile bakuli zenye mifuniko yake Kwa kificho ambapo walibebea futari Kwa ajili ya watoto wao majumbani ,maana nilisikia wakisema ya kuwa nyumbani kulikuwa hakuna chochote na watoto walikuwa wamekunywa uji TU wakati wa kufuturu hivyo wazazi walisubiriwa warudi na chakula.
Kuna ambao walikuja na mifuko midogo midogo pia kwa kificho hivyo baada ya kufuturu Kwa haraka walienda kuunga foleni upande mwingine ili wabebe pia chakula maana baada ya kuongea nao walisema nyumbani hali ni ngumu sana na kulikuwa hakuna kilichopikwa Kwa hiyo hicho chakula walichobeba Kwa kificho ndio tegemeo la nyumbani Kwa usiku huo na kuwa kinasubiriwa familia ikafuturu na hapo tayari muda ulikuwa unaelekea saa tatu.
Wengi wa wanawawake waliokwepo na waliobeba vyakula Kwa Siri Kwa muonekano wao TU wa nje hakika miili yao imechoka Sana Kwa kupigwa na maisha maana hata sura na mavazi Yao hayana Nuru kabisa.
Jobless wengi pamoja na watoto wa mtaani pia walikuja Kwa wingi Kwa maana ilikuwa ni fursa muhimu sana kwao kubadilisha chakula
Wakina mama walio wengi ndio waliobeba chakula kwenye mapochi Yao na mifuko kupeleka watoto.
Kila mtu alitafuta namna ya kuficha chochote kitu ili mradi kifike nyumbani maana niliona wanaume wengine wakificha vitumbua na maandazi kwenye mifuko y suruali
Wasiofunga na wenyewe walikuwepo sana TU Kwa madai kuwa hali ngumu nyumbani kwa hiyo hiyo ilikuwa fursa ya Peke yake Kwa siku hiyo..
Sijui serikali ifanyeje kuwaokoa watu wa hali ya chini angalau hata Kwa mlo Moja kila siku ingewasaidia wengi.View attachment 3286615
Ili muendelee kuzipiga majuu huko😅😅Serikali ianzishe mfuko wa jamii kusaidia kaya masikini kama wanavyofanya baadhi ya mataifa hasa barani Ulaya na baadhi ya mataifa ya kiarabu.
Mfuko huo ugharamie posho inayotosheleza mahitaji ya chakula ya familia kila siku.