Kilichonipa huzuni kuu kwenye iftari ya Mkuu wa mkoa wa Arusha Bwana Makonda

Hiyo Hali watu wameshafanya kama kautamaduni,wanafanya hivo kwenye misiba mbalimbali, kwenye harusi, hakuna maajabu hapo
 
Yale matrilioni wanayopiga watawala yangeweza kutumika kuinua hali ya maisha ya wananchi.
 
Sijui serikali ifanyeje kuwaokoa watu wa hali ya chini angalau hata Kwa mlo Moja kila siku ingewasaidia wengi.
Watu wapewe ndoano, sio samaki. Halinya umaskini ni kubwa sana TZ, na sio mikoani tu hata miji mikubwa kama Dsm.

Serikali ibadilishe vipaumbele vyake viwe watu wake.
 
Serikali ianzishe mfuko wa jamii kusaidia kaya masikini kama wanavyofanya baadhi ya mataifa hasa barani Ulaya na baadhi ya mataifa ya kiarabu.
Mfuko huo ugharamie posho inayotosheleza mahitaji ya chakula ya familia kila siku.
Kuna mfuko wa kaya maskini TASAF, mfuko huo kwa asilimia kubwa unafadhiliwa na mataifa ya nje. Za kwetu zinaishia kwenye mifuko ya watu. CAG report ina madudu kibao.
 
Chakula cha siku moja hakiwezi kamwe saidia masikini. Unakula futari unadhiba ,usiku njaa iko pale pale.
 
Chakula cha siku moja hakiwezi kamwe saidia masikini. Unakula futari unadhiba ,usiku njaa iko pale pale.
Kwa hivyo wewe ukialikwa kwenye karamu ya chakula hutoenda Kwa vile chakula hicho hakitakusaidia
 
Kuna mfuko wa kaya maskini TASAF, mfuko huo kwa asilimia kubwa unafadhiliwa na mataifa ya nje. Za kwetu zinaishia kwenye mifuko ya watu. CAG report ina madudu kibao.
Na hakuna hatua zinazochukuliwa, kila mwaka mambo ni Yale yale
 
Yale matrilioni wanayopiga watawala yangeweza kutumika kuinua hali ya maisha ya wananchi.
Wananchi wasiposimama Kwa umoja wao wakakataa hii kitu nguvu zote hata Kwa damu basi tutabaki kulia mitandoni tu
 
Serikali iweke sheria kali ya uzazi wa mpango. Watu waache kuzaana hovyo bila kuwa na plan ya kutimiza mahitaji ya wanaozaliwa. Hii utasaidia kupunguza umaskini uliopitiliza. Mtu akitaka kubeba mimba afanyiwe assessment kuhusu kipato chake ambae hana uwezo hapaswi kuzaa kabisa au aishie mtoto mmoja tu.
 
Watu wa sio ndio mabilionea

USSR
 
Wananchi wasiposimama Kwa umoja wao wakakataa hii kitu nguvu zote hata Kwa damu basi tutabaki kulia mitandoni tu
Ni wachache sana wanaojaribu kuwaamsha waliolala lakini wapi. Wengi wanaishia kuwa machawa wa viongozi wanaojali matumbo yao.
 
Mhhh. Na wakati umaskini ndio mtaji mkubwa kwa walio madarakani.
 
Siku hizi nafikiri watu wengi wamejiongeza wenyewe kuzaa Kwa mpango kutokana na elimu mbali mbali na hali halisi ya maisha
Ile executive order ya "fyatueni serikali itasomesha" ilishatenguliwa? Maana ilipata wafuasi waaminifu muda ule ule!
 
Niliona wanaume wengine wakificha vitumbua na maandazi kwenye mifuko yao ya suruali πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ umaskini adui tujitahidi kupambana naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…