Labda wanahabari bado wapo kwenye mgomo wao ule wa habari za Makonda?Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani
Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu
====
Edit:
Azam TV wamei-cover habari hii
Bwashee unaifananisha Azam tv na ITV kweli?!
Yule Bakhresa ni " tajiri"
Jack daniel ya Ngapi anko ?Unajifanya kuwa hujui katika nchi ya puerto rico vyombo vya habari vilishawekwa mfukoni siku nyingi?Unajifanya ugandamizaji wa uhuru wa kujieleza pamoja na uhuru wa habari uliotajwa na michael pompeo kwenye lile tamko lake huujui?Wewe unaishi nchi gani au ni zezeta tu usiefuatilia vitu?
. Ushakuwa mtumwaNaunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, Wamarekani are outsiders, hivyo media ya Tanzania imeshikamana na mteule na kuwapuuza mabeberu.
P
Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani
Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu
====
Edit:
Azam TV wamei-cover habari hii
1. Washakushtikizia kuwa unawapaka mafuta kwa nyuma ya chupa.Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, Wamarekani are outsiders, hivyo media ya Tanzania imeshikamana na mteule na kuwapuuza mabeberu.
P
Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, Wamarekani are outsiders, hivyo media ya Tanzania imeshikamana na mteule na kuwapuuza mabeberu.
P
Paschal Mayalla ni mwandishi wa habari asiye mnafiki ana future nzuri sana ninakutia moyo brother wewe mzalendo sana unatakiwa uchukue nafasi ya Dr AbbasNaunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, Wamarekani are outsiders, hivyo media ya Tanzania imeshikamana na mteule na kuwapuuza mabeberu.
P
Hamna anayejua hiyo habari zaidi ya watu wa Mitandaoni isitoshe siku Makonda akiwa president wataitoa hiyo habariLakini ile 500 iliyozuiliwa na Kabwe ingetoka kila chombo cha habari kingeiandika habari hiyo na Mabeberu ghafla wangekuwa ni Wafadhili
Japo leo hii karibia Wananchi wote wanajua hiyo fedha ingeenda kwenye kampeni na manunuzi ya wapinzani
Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani
Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu
====
Edit:
Azam TV wamei-cover habari hii
Hata kama isingetangazwa haiondoi ukweli kuwa DAB kapigwa ban ya kwenda USA, na very soon atafikishwa ICCNimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani
Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu
====
Edit:
Azam TV wamei-cover habari hii
Wasipotangaza ndiyo atakuwa hajapigwa ban? Huu ujinga upo kwa Tanzania ya awamu hii tu
Unajifanya kuwa hujui katika nchi ya puerto rico vyombo vya habari vilishawekwa mfukoni siku nyingi?Unajifanya ugandamizaji wa uhuru wa kujieleza pamoja na uhuru wa habari uliotajwa na michael pompeo kwenye lile tamko lake huujui?Wewe unaishi nchi gani au ni zezeta tu usiefuatilia vitu?
Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, Wamarekani are outsiders, hivyo media ya Tanzania imeshikamana na mteule na kuwapuuza mabeberu.
P
Hizo media zimeporwa freedom of fair and honest reporting na huyo huyo Makondwa akishirikiana na baba yake.Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, Wamarekani are outsiders, hivyo media ya Tanzania imeshikamana na mteule na kuwapuuza mabeberu.
P
Mbona azam tv wametangaza na ilikuwa ndo habari kuu ya kwanza TBC usitegemee kuiona ITV siku hizi wamekuwa watiifu hadi kero
Azam tv wamemtafuta Makonda ila akagoma kuzungumzia akisema hana taarifa
Sent using Jamii Forums mobile app