Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Labda wanahabari bado wapo kwenye mgomo wao ule wa habari za Makonda?Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani
Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu
====
Edit:
Azam TV wamei-cover habari hii
[Sarc]
Sent using Jamii Forums mobile app[/S]