Kilichonishangaza kwenye Taarifa ya habari, ni chombo kimoja kilichorusha habari ya Makonda. Huu ni utaratibu mzuri dhidi ya Mabeberu

Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani

Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu

====
Edit:

Azam TV wamei-cover habari hii
Labda wanahabari bado wapo kwenye mgomo wao ule wa habari za Makonda?

[Sarc]

Sent using Jamii Forums mobile app[/S]
 
Lakini ile 500 iliyozuiliwa na Kabwe ingelitoka kila chombo cha habari kingeliandika habari hiyo na Mabeberu ghafla wangelikuwa ni Wafadhili

Japo leo hii karibia Wananchi wote wanajua hiyo fedha ingeenda kwenye kampeni na manunuzi ya wapinzani
 
Unajifanya kuwa hujui katika nchi ya puerto rico vyombo vya habari vilishawekwa mfukoni siku nyingi?Unajifanya ugandamizaji wa uhuru wa kujieleza pamoja na uhuru wa habari uliotajwa na michael pompeo kwenye lile tamko lake huujui?Wewe unaishi nchi gani au ni zezeta tu usiefuatilia vitu?
Jack daniel ya Ngapi anko ?
 
Unawaita mabeberu ? Mbona misaada kutoka kwao tunaipokea ? Basi hata wewe ni beberu
Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani

Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu

====
Edit:

Azam TV wamei-cover habari hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, Wamarekani are outsiders, hivyo media ya Tanzania imeshikamana na mteule na kuwapuuza mabeberu.
P
1. Washakushtikizia kuwa unawapaka mafuta kwa nyuma ya chupa.
2. Huyo aliyemteuwa alionywa kwanza na haku take action.
3. Ndio maana Masauni alinyamaza kimya suala la Lugola kwa kujuwa Kangi ni mteuzi wa Rais
4. Unalokubaliana nao ni suala la kuikandamiza Zanzibar tu pamoja na Lukuvi. Lakini mwenzako Lukuvi mwanawe keshazalishwa na Mpemba na kanzu ya msikitini Lukuvi kavalishwa bado wewe sasa!
 
Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, Wamarekani are outsiders, hivyo media ya Tanzania imeshikamana na mteule na kuwapuuza mabeberu.
P
Paschal Mayalla ni mwandishi wa habari asiye mnafiki ana future nzuri sana ninakutia moyo brother wewe mzalendo sana unatakiwa uchukue nafasi ya Dr Abbas
 
Lakini ile 500 iliyozuiliwa na Kabwe ingetoka kila chombo cha habari kingeiandika habari hiyo na Mabeberu ghafla wangekuwa ni Wafadhili

Japo leo hii karibia Wananchi wote wanajua hiyo fedha ingeenda kwenye kampeni na manunuzi ya wapinzani
Hamna anayejua hiyo habari zaidi ya watu wa Mitandaoni isitoshe siku Makonda akiwa president wataitoa hiyo habari
 
Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani

Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu

====
Edit:

Azam TV wamei-cover habari hii
Hata kama isingetangazwa haiondoi ukweli kuwa DAB kapigwa ban ya kwenda USA, na very soon atafikishwa ICC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana huyo ni house boy wa DAB
Unajifanya kuwa hujui katika nchi ya puerto rico vyombo vya habari vilishawekwa mfukoni siku nyingi?Unajifanya ugandamizaji wa uhuru wa kujieleza pamoja na uhuru wa habari uliotajwa na michael pompeo kwenye lile tamko lake huujui?Wewe unaishi nchi gani au ni zezeta tu usiefuatilia vitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda kama mlikuwa mnatazama TBC na star tv na channel ten tu, lakini Azam wametangaza, by the way hiyo ndiyo itaondoa ukweli wa huyo Bashite kufungiwa kwenda USA?
Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, Wamarekani are outsiders, hivyo media ya Tanzania imeshikamana na mteule na kuwapuuza mabeberu.
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, Wamarekani are outsiders, hivyo media ya Tanzania imeshikamana na mteule na kuwapuuza mabeberu.
P
Hizo media zimeporwa freedom of fair and honest reporting na huyo huyo Makondwa akishirikiana na baba yake.

Hata TBC hakuna mshikamano wa kupuuza mabeberu, bali kuna hofu iliyojengwa na vitisho na majaribio ya mauaji.
 
Back
Top Bottom