Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha madikteta yapinduliwe hayana faidaHatimaye majitu meusi yanakwenda kuuwana Kwa maslahi ya mtu mweupe
Sababu kubwa mbiliHivi nikwanini
Sababu kubwa mbili
-Uranium (Marekani na EU ndio wanufaika wakuu wa uranium ya Niger ,sasa Serikali mpya imefunga uuzwaji wa uranium kwa Marekani na ulaya)
-Trans Saharan Gas Pipeline, ni mradi wa kutoa gasi Nigeria to Europe kama sehemu ya kutafuta mbadala wa gesi ya Russia, Niger ni sehemu ya mradi huo (kupitisha bomba).
Hivi vitu viwili vimewaumiza sana na ubaya zaidi Urusi imeonekana kuinga mkono na Nina wasi wasi hata haya mapinduzi yameratibiwa na Putin
Nigeria yeye amekasirika kwasababu amepotezewa ugali wake wa kuwauzia gesi ulaya, EU nao kama mradi usipo fanyika utawafanya kuwa tegemezi na gesi ya mrusi (Hawana mbadala) , Marekani anataka kumualibia Urusi na kuwasaidia rafiki zake EU
Nimeipenda hii post yako,[emoji2]Urussi na America wanatafutana Sana,ipo siku watakutana Moja kwa Moja na hapo ndipo movie litakapoanzia.Ni suala la muda tu.
Powerful pointRussia alishatibua Syria kupita kwa Bomba kutoka Qatar acha tuone hapa Niger EU nyuma ya mgongo wa ECOWAS watafanya nini.
Umeliweka vizuri sana, kazi ipoSababu kubwa mbili
-Uranium (Marekani na EU ndio wanufaika wakuu wa uranium ya Niger ,sasa Serikali mpya imefunga uuzwaji wa uranium kwa Marekani na ulaya)
-Trans Saharan Gas Pipeline, ni mradi wa kutoa gasi Nigeria to Europe kama sehemu ya kutafuta mbadala wa gesi ya Russia, Niger ni sehemu ya mradi huo (kupitisha bomba).
Hivi vitu viwili vimewaumiza sana na ubaya zaidi Urusi imeonekana kuinga mkono na Nina wasi wasi hata haya mapinduzi yameratibiwa na Putin
Nigeria yeye amekasirika kwasababu amepotezewa ugali wake wa kuwauzia gesi ulaya, EU nao kama mradi usipo fanyika utawafanya kuwa tegemezi na gesi ya mrusi (Hawana mbadala) , Marekani anataka kumualibia Urusi na kuwasaidia rafiki zake EU
Hapo bado hujagusia umuhimu wa Niger katika kuzalisha madini ya Uranium duniani, na umuhimu wa Uranium katika kutengeneza nishati na mabomu ya nyuklia.Kama ulikuwa unajiuliza Kwanini UN,EU ,NATO, Nigeria na Marekani zipo so aggressive kwa kile kinacho endelea west Africa hasa Niger ngoja sasa nikuambie kwa ufupi.
Baada ya mzozo wa Ukraine na Russia nadhan utakuwa unakumbuka EU iliweka vikwazo vya kutonunua gesi ya mrusi , lakini baadae kikwazo hiko kikaja kuwa ni mtihan mzito kwa baadhi ya wanachama wa EU kwa ufupi ilishindikana.
Sasa baada ya kukaa chini na kufikiri kwa kina wakaja na mkakati wa kutafuta mbadala wa gesi ya mrusi, ndipo wakaigeukia Africa ikaandaliwa project ya Trans Saharan Gas Pipeline ambayo itasafirisha gesi kutoka Nigeria to Europe
Niger ilikuwa sehemu ya mradi huo ambao ungesaidia EU kureplace gesi ya Urusi.
sasa kwa situation unayoendelea sasa ni wazi kwamba mpango huo utacheleweshwa au usiwepo kabisa kwasababu tayari Russia inanekana imeshatia mikono maana juzi tu viongizi wa Africa walienda Russia na mara mapindizi na sasa inahofiwa Wagner group(Russia kwa kivuli Cha Wagner) inaweza kupewa mkataba wa ulinzi Niger
Hali inayoendelea sasa kwenye mzozo wa Niger.
-Niger, Mali, na Burkina Faso walikuwa na mkutano nchini Mali kujadili uwezekano wa kutumwa kwa haraka kwa vikosi vya WAGNER nchini humo.
- UN imeipa green light ECOWAS kuingia Niger .
-EU ipo tayari kuisadia ECOWAS kubabiliana na Niger.
-Nigeria imetuma jeshi lake la anga hadi kwenye mpaka wa Niger.
-Marekani inashusha shehena za silaha kuizunguka Niger na ndege zake za kivita na zimetayarishwa kwa mashambulizi (Marekani Ina askari wake 10k wapo Niger)
Hii vita ni kubwa kuliko unavyofikiria ni vita vya kupigania maslahi zaidi.
Dunia inachangamka sana saiv aoseee madude yanashushwa tayar niger
Asante Putin
Sent using Jamii Forums mobile app
Misri ana kitu gani cha maana zaidi ya kuwa strategic area?Hata kule Misri alipopinduliwa Morsi hawakupeleka vikosi, je na Misri naye hakuwa na cha kutoa ?