Kilichopo nyuma ya mzozo wa Niger vs ECOWAS, EU na Nigeria

Kilichopo nyuma ya mzozo wa Niger vs ECOWAS, EU na Nigeria

Kilichopo nyuma, chini, pembeni na juu ni Mwafrica mwenyewe Enzi za suluba walizopata kina Patrice Lumumba na Sankara sio kama sasa waafrika wa sasa wanajiuza kwa Peremende au wanaumizana wenyewe kwa wenyewe....

And they Say its the White Man I should Fear, But its my Own Kind doing all the Killing here.....
 
Zipigwe.... unajitiaje kwa mu-West na unaenda kwa Mrusi... eboooh... ningewaona kama wana akili,kama wangesimama wao kama wao,siyo unabadilisha BEBERU.
Wajinga sana hao IRON BOYS.
 
URUSI INA MARAISI WAWILI WANAOFANANA SANA, MMOJA ANAITWA PUTIN ANATAWALA IKULU MWINGINE NI PRIGO YEYE ANATAWALA UWANJA WA KIVITA.Tutaona mengi sana zama hizi.
 
Kinachosikitisha Africa inatumika kama Battle ground tu kwa Maslahi ya Mataifa makubwa, kitu ambacho kitaumiza raia! Raia watakufa, watakuwa wakimbizi,umaskini utaongezeka, nchi zitaharibiwa!
God help our continent.
 
God left Africa a long time ago.Please help yourselves there’s no one left to help you
 
Back
Top Bottom