Kilichotokea kwa Aziz Ki kimenifanya niamini kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa kibongo wanatumia ndumba kwenye mahusiano

"Sometime you gotta pop up and show niggaz" - K.Dot "Not Like Us" 😂😂
Kumbe ni shabiki wa hip hop, tena team k dot.

(Cole world) - 7 minute drill.
I pray for peace, but if a nigga cease these positive vibes.
A falcon f9, enemy this rocket is gonna fly.
 
Hamna cha ushirikina au ndumba, ni tamaa za wanaume kufikiri kwamba wanawake wana jipya la kuwapa, ingekua hivo Mo na Bakresa kila wiki wangekua wana oa wa bongo wenye kufanya ndumba.
MKuu hebu kirudie kusoma vizuri ulichoandika sio kwa ubaya lakini
 
Hivi kuna staa gani mwingine zaidi ya samata maana siwajui😅😅
Ustaa wa mtu unategemea watu walivyoamua kujitoa ufahamu kumpamba kupitia vyombo vya habari. Sometimes kukidhi malengo yao.

Yeyote anaweza kuwa staa tu kulingana na mitizamo
 
Hii nchi ina watu wa hovyo! wanaoana wengine maumivu wanapata wengine
 
Kuna watu wanaandika kama wamekasirika walitaka waolewe wao vile.

Waachieni watu waoe au waolewe wanavyotaka.

Kuwaingilia kwenye maamuzi yao hayo ni ushamba tu.
Labda wanaona waoaji wenye mbwembwe kubwa mfano wa Azizi K wanaharibu soko lo ndoa kwa kupandisha juu sana maturation ya mabinti.
 
Mbaya zaidi jamaa ametoa mshahara wake mmoja tu kufanikisha yote yanayowaumiza,muache apigike hela zikiisha ndio atakumbuka offer zote alizokataa,once dawa zikiisha tu.
 
Sio kila Ndoa ni Ndoa nyingine ni "MUVI"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…